Mwalimu wa kujitolea CHEMISTRY and BIOLOGY

wa log

Member
Jul 1, 2015
71
47
Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022)

Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea.

Napatikana mkoani Mbeya.
 
Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022)

Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea.

Napatikana mkoani Mbeya.

Solution ni kujiajiri tu. Tafuta sehemu kopa au azima pesa ya kujifungulia kituo kisha anza kufundisha tuition.

Mwezi wa 6 umekaribia utavuna wanafunzi wengi pia wapo wa pre form V sasa hivi wa PCM, PCB na CBG..

Kujitolea sasa hivi hawakupi hata 100 mzee wako anakusomesha toka chekechea mpaka chuo kikuu unafanya kazi bure na wakati umegharamia elimu yako hata yeye akisikia atakupa laana.

Usiwe mnyonge.
 
Acha upuuzi huo muda wa kufanya kazi Bure tafuta kibarua Cha ten fanya,hata ukijitolea hutoajiriwa
 
Watu wanatafuta walimu Kama wewe kwanini ujitolee ???

Je kwanini usifungue center?
 
Kazi tunayo,wasomi Kuna siku niliona tangazo la kujitolea kufundisha shule shule ya serikali masomo ya biashara kwa mwezi 200k,na km unavyojua form 1 to 4 na uhakika wa ajira badae uongo,nikasema big no
 
Mimi ni mwalimu wa chemistry na biology bachelor(2022)

Ninatafuta shule ya serikali yenye uhitaji wa mwalimu wa kemia na baiolojia. Iniajiri kama mwalm wa kujitolea.

Napatikana mkoani Mbeya.
Mkuu kamwe kamwe usije ukajaribu kujitolea shule za serikali kwa lengo la kuajiriwa, kutafuta pesa ndogo ndogo ya kujikimu.

From my experience vijana wengi wanajitolea mashuleni mwisho wao huwa ni mbaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom