Habari za zenu wakuu.
Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana.
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini.
Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa funguo (ignition key/starter). Yaani yalikuwa yanawashwa kwa kuzungusha "hendeli" kwa mikono.😀...
Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande!
Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...
Unatembea zako ghafla unaitwa,
Zinaanza stori "Vipi, bwana habar za siku nyingi, bado unaish pale pale au"... Mda huo huelewi chochote kombe linajazwa juice basi inadhani ni ukarimu
Mnaendelea na story unajua pengine labda mliishi eneo moja huku ukizidi kuvuta picha umkumbuke.
Mwisho wa...
Habari za Mwamposa nazisoma tu humu. Sasa leo natoka zangu mkoani kurudi Dar kwa shughuli zangu nimebeba shangazi kaja likiwa na mzigo kutoka mkoani huko.
Hawa wapiga debe wakaanza kuniita wa Kwa Mwamposa, nikauliza ni nini wakasema abiria wa mkoani wameongezeka kwa tukio la Mwamposa.
Mind...
Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani.
Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli?
Huyu...
Usaha ni uchafu, usaha unanuka, usaha unaumiza na kuleta maradhi mengi, usaha unasambaa mwilini pindi husipotibiwa na kibaya usaha unaweza kukuua na kukumaliza kabisa. Dawa ya kwanza ya usaha ni kuutoa, kuukamua (Curratage and Dilatation) ndipo unaendelea na antiobitics, kutumia antibiotics...
Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka...
Majina haya ni mabaya n yanatweza utu wa mwanamke lkn yamepakwa nakshi kuyafanya yaonekane mazuri. Kamwe wanawake msiyakubali na msikubali kuingia kwenye makundi yenye majina haya.
Ifuatayo ni tafsiri ya kila jina kwa mujibu wa tafutishi za Sexless unit :-
1. Lishangazi ni kahaba aliyezeeka...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Arusha inasifika kwa utalii.....Arusha ni jiji linalokutanisha watu wa makundi mbalimbali kwa sababu ya hali yake ya hewa.
Katika ukanda wa Afrika Mashariki DAR imeshindwa kushindana na Nairobi kwa sababu hali ya DSM ni joto na hivyo uvutia watu wachache kuishi ikilinganishwa na Nairobi ambayo...
What are the Key Features of Democracy?
Democracy is the most successful political idea in the world. Democracy allows ordinary people a decisive say in who governs a country and how they govern it. It is based on a system of government by all the citizens of a country, typically exercised...
Habari zenu wakuu?
Shirika la posta lilitangaza nafasi za kazi mwaka huu.
Naomba kuuliza majina kama yameshatoka au kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili, binafsi sijapigiwa sina sijapata mrejesho wowote tangu nimetuma maombi.
Nawasilisha.
Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu.
Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana...
Ukikutana na tangazo la nafasi za kazi, tangazo la biashara au tangazo la fursa yoyote ya kifedha na mwishowe unaambiwa njoo Whatsapp hapo kuna harufu ya utapeli kwa 96% -100%.
Ni hayo tu. Ogopa neno njoo Whatsapp!
Azania (Kigiriki cha Kale: Ἀζανία) ni jina ambalo limetumika kwa sehemu mbalimbali za Afrika ya kusini-mashariki ya tropiki .Katika kipindi cha Warumi na pengine hapo awali, jina la juu limekisiwa kuwa lilirejelea sehemu ya pwani ya Kusini-mashariki mwa Afrika inayoenea kutoka kusini mwa Somalia...
Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu.
Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu.
Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.