CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi.
Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya.
Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
"Ni wazo tu lilinijia ghafla. Je, kuna wachezaji wowote waliowahi kuwa legends wa kweli kwenye vilabu vitatu au zaidi? Sizungumzii wale waliochezea timu kubwa tu au kushinda vikombe viwili vitatu, nazungumzia wale walioweka alama halisi, wakakumbukwa na mashabiki, waliotengeneza historia."...
Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu.
Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba.
Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
Habari wadau.
Kuna jambo limenishangaza sana.
Katika mtaa wa lumo, kata ya yombo vituka, wilaya ya temeke kuna shule ya sekondari iliyojengwa awamu ya 4 rais akiwa Kikwete katika mradi wa shule za kata. Shule hiyo ya sekondari ilipewa jina la Lumo secondary. Then ikabadilishwa jina na kuitwa...
Salaam Wakuu,
Kama mtakumbuka, mwezi Februari mwaka huu, TRA walitangaza nafasi za Kazi kwa Watanzania wenye SIFA. Na takribani Watanzania laki moja na kitu, waliomba zile nafasi, na baada kufanyiwa Usaili uliofanyika tarehe 29 & 30 Mwezi Machi. Baada ya Usaili, Matokeo yalitoka Mwezi April na...
Wakuu
Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe.
SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA.
Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha:
WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA.
1. Taifa hili bila CCM imara...
Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
Mko poa wajumbe wa jukwaa hili?
Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview?
Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs.
Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
Nitashukuru mkinijibu manake kuna Dada Mmoja hapa Mtaani amekuwa ni Mjumbe wa Kata yetu tokea Mwaka 2021 na hakuna anachofanya zaidi tu ya kupenda Umbea, ila nashangaa wana Mtaa Wenzangu wamemkubali hadi kufikia kumuita Mama wa Taifa la Mtaani, ila Mimi mpaka sasa sijaona Maendeleo ya hapa...
by Prof Shivji
Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education.
HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA .
1. Awadees msitumie hizo titles before...
Kama ni MTAZAMO sidhani kama alistahili labda Hit song ya Darubini Kali.
Historia kidogo.
Mwaka 2004, Mfanyabiashara Mwandishi wa Vitabu, Eric James Shigongo, alianzisha Shindano la kumtafuta Mkali wa kughani muziki wa Rap nchini. Shindano hilo aliliita "Mfalme wa Rhymes 2004".
Kupitia Kampuni...
Niliwahi kusikia kuwa Klabu ya Yanga huhonga Makocha wa Timu za Taifa za Kigeni ili wawaite Wachezaji wao kwa ajili ya Kuwaongezea Thamani katika Mauzo ya baadae na pia kuingozea Thamani Yanga SC Kibiashara na Kimichezo na kwa Kitendo cha Kocha wa Timu ya Taifa za Zambia kuwaita Wachezaji...
Bila kupoteza muda twende kwenye mada Kwa kunukuu moja ya sehem ya barua ya bodi ya ligi;
""Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maOfisa wa mchezo na vyanzo vingine, Kamati ilibaini kuwa klabu ya Simba,
Wakati ikielekea kutumia haki yake iliyoainishwa kwenye kanuni ya 17:45 ya ligi...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
Talent sourcing solutions
UTUMISHI is a government organization...
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga.
Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.
Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano
Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.