Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

Mama pretty

JF-Expert Member
May 1, 2020
1,832
3,479
Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu.

Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu.
Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe hatari mno.

Ninaogopa watu, ninaogopa miunganisho mipya, hata katika mahusiano ya kimapenzi inachukua muda mno kujiunganisha na mtu kihisia.

Sina imani na kiumbe binadamu kwenye nyanja zote za kimaisha! Japokuwa haiwezekani, lakini ninatamani niishi mahali nisiyoweza kukutana na binadamu.😔😔😔
 
pole ndugu.
kusema ukweli maisha kwa ujumla wake hayatakuwa maisha isipokuwa uwepo ws binadamu mwenzetu.
ingawa kwa asili kila mtu ni mbinfsi, kwamba nitapata nini kwako na si wewe utapata nini kwangu.
kwa jinsi hio tumekuwa sababu ya kuumia kwa wengi pale tunapopata matokeo yaliokinyume na matarajio.

hata hivyo unaweza kuishi na watu vuzuri bila ya wewe kupata adha pale tu utakapoacha kutarajia chochote kutoka kwa mtu, lakini pia wewe ukiwa wa kwanza kumpa mtu kile akitakacho kwako ikiwa ki ndani ya uwezo wako.
 
O

Asante kwa kweli, matarajio nilishaacha kitambo sana… na ndio yalikuwa yananiumiza. Kwa sasa nipo sawa tu..
 
Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu.

Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu.
Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe hatari mno.

Ninaogopa watu, ninaogopa miunganisho mipya, hata katika mahusiano ya kimapenzi inachukua muda mno kujiunganisha na mtu kihisia.

Sina imani na kiumbe binadamu kwenye nyanja zote za kimaisha! Japokuwa haiwezekani, lakini ninatamani niishi mahali nisiyoweza kukutana na binadamu.😔😔😔
Jamani mdogo wangu
 
Back
Top Bottom