Wanawake mnakubali vipi kuitwa ombaomba, kausha damu uwo ni unyonge kataa unyonge

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Mwanamke umekamilika na viungo vyako vyote unashindwa vipi kupambana kujisimamia na wewe kawa na vyako na maisha bora bila ya kumtegemea mtu.

Uzuri, shepu na sifa nyingine sio kigezo cha wewe kubweteka na kuvitumia kama kitega uchumi chako, kuna wazuri na wenye shepu zaidi yako wamepambana kuondoa Unyonge na utegemezi kwa mwanaume na wa naishi afu Safi tu.

Pambania ndoto na malengo yako mbona unandoto na malengo makubwa ya kusonga mbele kimaisha tamaa ndogo ndogo zisikudhalilishe na kukushushia hadhi we mtu mkubwa.

Sawa umeolewa usitegemee mumeo akuletee kila kitu pambana mahitaji madogo madogo yasikupige chenga.

Ukiona mumeo anakukataza kujishughulisha na Mbishe yeyote piga chini uyo ana ego wanataka kuku control Ata akipuyanga umkalie kimya sababu yeye ni provider wa Kila kitu.

Kwamba bila yeye hauendi chooni how come zinduka mtoto wa kike chakalika pambana uwe na kwako we vipi.
 
Waambie waelewe wanazidi kujilemaza tu. Hela za kupewa hazisaidii kitu oooh ety lazima tuhudumiwe... yaaani mwenzako apambane we uje unyooshe mkono uo ni upumbavu na ulimbukeni

Sio kwamba me sio wa kike hapana ila pigo za kukinga mikono sizifagilii mwanamke jitume ujenge heshima yako.
 
hata wakipambana ni lazima kupata connection kutoka kwa wababa. usiwape kiburi bure
 
Tunawasaidia kuwapikia, kuwafulia, kuwaliwaza mkiwa na mawazo, na mambo mengine mengi....

Ila kuwasaidia kula kwa jasho ni kutuonea 😭😭😭😭😭 nimelia sana
Basi pole, usilie tena.... tuseme mnatusaidia pia kutumia hela zetu.
 
Waambie waelewe wanazidi kujilemaza tu. Hela za kupewa hazisaidii kitu oooh ety lazima tuhudumiwe... yaaani mwenzako apambane we uje unyooshe mkono uo ni upumbavu na ulimbukeni

Sio kwamba me sio wa kike hapana ila pigo za kukinga mikono sizifagilii mwanamke jitume ujenge heshima yako.
Dada umeolewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom