kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kuingia Zambia

    Wakuu Salam kwenu. Naomba kujua namna ninaweza kufika Lusaka Zambia. Nauli hadi kufika, gharama za maisha na mambo mengine muhimu. Pass imeexpire so nitahitaji emergency travelling documents, je ninaweza kuzipata pale uhamiaji mpakani? Na kuhusu visa, je inahitajika au ni visa free? Na kama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Law School of Tanzania: Imeondoka kwenye lengo la msingi na kuingia kwenye biashara /upigaji, kilichotokea ni mwangwi wa mhamo huo!

    Kimsingi Law School of Tanzania inapaswa kushughulika na kuwawezesha wanafunzi kupata ujuzi kwa vitendo ndiyo maana inaitwa LEGAL PRACTICAL TRAINING! Inalenga kuwapatia wanafunzi weledi katika utekelezaji wa majukumu yao kwa vitendo zaidi. Hawajaenda pale kushindiliwa tena elimu ya sheria kwa...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Israel na Lebanon zaendelea kushikamana na kuingia makubaliano mengi

    Inapaswa waswahili mliopandikizwa chuki na waarabu za kuichukia Israel muanze kubadilika maana wenye dini zao huko wanaendelea kushikamana na kuingia makubaliano ya kindugu, mpunguze povu huko kwa Mtongole. Israel's Security Cabinet on Wednesday voted in favor of the U.S.-brokered maritime...
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ghost voters walimsaidia Ruto kuingia Ikulu

    Najua wengi mnakumbuka kura za maruhani kule Pemba zilivyoishangaza nchi yetu sasa ukistajabu ya Pemba ambapo maruhani walizaliwa baada ya kutokuwa na wagombea wa CUF ujayaona ya Nairobi. Ghost voters (kura za mizimu) ndizo zilizomnufaisha rais Rutto ambapo zinakadiriwa kuwa zaidi ya 500k sawa...
  5. Championship

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

    Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari. Quran 23:14 Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya...
  6. Alexander von Humbolt

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuingia kwenye Siasa na Uongozi

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania........ Naamini wengi wetu tuko salama na tunaendelea kupambana na maisha. Karibuni kwenye mada tusaidiane mawazo ikiwa ni elimu kwangu mleta mada, lakini pia fundisho kwa wengi wetu tunaopenda kujishugulisha na siasa na uongozi. Mimi ni...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Njia pekee nyepesi ya kuingia Ulaya kwa wale wanaohitaji kujilipua ni hii...

    Habari zenu wana JF wenzangu, Wakati wabongo wakiwa busy kulaumiana kuhusu Panya Road, tozo, kuendekeza siasa uchwara na kuangalia video za porn ili baadae wakajichue. Kwa upande wa Burundi maelfu kwa maelfu wanazidi kujilipua katika nchi mbali mbali za Ulaya kupitia Serbia. Kinachotakiwa ni...
  8. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rostam kuingia kwenye biashara ya anga Shirika letu litapona?

    Kwa mjibu wa gazeti la The Citizen tajiri Rostam Aziz amenunua hisa nyingi za Coastal ambayo ni Kampuni inayojishughulisha na usafiri wa anga. Kwa umafia wa kibiashara wa Rostam Aziz Air Tanzania itapona kweli?! ====== Mfanyabiashara Rostam Aziz ameingia kwenye sekta ya usafiri wa anga baada...
  9. polokwane

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwanini huduma ya taarifa za pesa kuingia au kutolewa kwe bank account imeondolewa

    Ile huduma imetolewa huenda sababu ikawa makato na tozo za wizi kwenye account zetu yaani ukichukua bank statement ndio utajua serikali hii imeamua kuchukua pesa za wananchi kwenye account zao isivyo halali Ili kuficha hilo waibe kiwepesi wameamua kuondoa huduma ile haipo sasa, hivyo kwa sasa...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tufumue mfumo wetu wa soka kwa kuingia mkataba na Ujerumani

    Tanzania tumekuwa tunahangaika kutafuta dawa ya matatizo yetu ya mpira. Uzuri mmoja katika soka letu tuna desturi nzuri ya timu za Simba na Yanga ambapo ni mtaji mzuri sana. Kwenye timu ya taifa au mashindano ya kimataifa ya vilabu tumeendelea kuwa dhaifu ukiacha mafanikio ya mara kwa mara ya...
  11. Mbaga Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  12. Shark

    JamiiForums Tanzania Tundaman Kuingia na Jeneza, Simba SC yaomba Radhi

  13. RAFA_01

    JamiiForums Tanzania JF imekuwa ikinijibu maswali yangu mengi mpaka nimeamua kuingia mazima

    Habari kila mmoja, Nimekuwa nikipitia baadhi ya nyuzi za JF kwa mda sasa nimekuwa nikipata majibu ya maswali yangu, sambamba na vicheko, maana kuna members humu wana excellent sense of humour na mimi napenda utani mzuri. Basi kusema hayo nmeamua nijiunge na huu mtandao ulio wa kipekee kwa aina...
  14. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Chupa zikirushwa baada mzee wa "Bugaa", kuingia mitini

    Naama kijana mwenye maringo ya kutosha Kizz daniel anaendeleza zile tabia zake na saafari hii kafanya yake jijini dsm We unaambiwa warembo ndiyo walikuwa warusha chupa wakubwa.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Yanga kusheherekea kuingia fainali CAF (Caf final pre party), Manara ataongea

    Ujue ile billions 12 ya sportspesa imejumuisha kama watachukua ubingwa wa Afrika lakini hilo halisemwi ,wewe unaweza kuogopa ila wajuba wa jangwani/ salamander mwaka huu wamesema wanatoboa hadi fainali ya CAf champions league ndiyo maana boss kubwa lao lishaahidi billion moja kwa hilo. Tarehe 6...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ulifanya nini mwanamke alipotishia kupiga kelele kuwa unambaka baada ya kukataa kufanya mapenzi?

    Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa mbususu ..... ile umeanza kama kulazimisha hivi analeta ubishi hataki na anatishia kupiga kelele...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuingia lebo ya Wasafi, Rayvanny na Harmonize walikua wapi? Walipofikia leo wangeweza bila Wasafi? Label ipi ina karibia WCB hapa Bongo?

    Hakuna kitu kinaitwa "Unyonyaji" kwenye dunia ya mabepari. Umepewa mkataba, unapewa muda ukausoma na kutafakari, ukaona unafaa, ukatia saini. Hakuna la ziada hapo. Nitaamini Wasafi ni wanyonyaji siku akitokea mtu akatae mkataba wao mwanzoni kabisa kabla ya kupata umaarufu. Kama unaona ni...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wamarekani 61 marufuku kuingia Iran

    Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya mauaji ya watu 17,000 Nchini humo kwa miaka kadhaa iliyopita. Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Bodaboda na Bajaj zapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia Aprili 21, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mali yazuia utaratibu wa wanajeshi wa UN kuingia nchini humo

    Mali imesitisha utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia mpango wa amani wa MINUSMA kwa sababu za kisualama. Hatua hiyo imefikiwa hadi makubaliano mengine yatakapofanyika japo haijawekwa wazi itakuwa lini, tamko ambalo limetolewa na Wizara ya Nje ya Mali. Tamko hilo limetolewa siku nne tangu...
Back
Top Bottom