Kosa hasa lililogusa ukristo ni nini?
SIMBA wameomba radhi tu kuonesha uungwana lakini hakuna connection yoyote hapoKosa hasa lililogusa ukristo ni nini?
Waliochochea ni hawa vibwengo wa Utopolo na wakapokewa na maaskofu wa mchongo Kilaini na GwajimaWakristo huwa hawana shida...
Connection ni ile kanzu pamoja, msalaba n kama sikosei alibeba kitu kama BibleSIMBA wameomba radhi tu kuonesha uungwana lakini hakuna connection yoyote hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu sijakuelewani pale tutembee na lile mnalokwenda kuzunguka maka lije uwanjani tuzunguke nalo
Mhh katazame tena ile video aiseeSIMBA wameomba radhi tu kuonesha uungwana lakini hakuna connection yoyote hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mzima akikosea huchutamaNi jambo zuri ila sioni kosa la kiwango cha kuomba radhi
Ushabiki usikufanye uonekane hamnazo. Wangefanya Yanga ungeona wana kosa, wamefanya Simba haina connection na Ukristo.SIMBA wameomba radhi tu kuonesha uungwana lakini hakuna connection yoyote hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa ni lipi hapo,kuigiza kuaga mwili? kwa hiyo maigizo yamekatazwa?Mhh katazame tena ile video aisee
Naorodhesha mnaojitoa ufahamu sababu ya mapenzi.Ni jambo zuri ila sioni kosa la kiwango cha kuomba radhi