Wamarekani 61 marufuku kuingia Iran

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Serikali ya Iran imetoa orodha ya Watu 61 wa Marekani kuwa hawaruhusiwi kuingia Iran kutokana na madai ya kuunga mkono kikundi cha ugaidi Mojahedin-e Khalq (MEK) ambacho kinashutumiwa kwa kufanya mauaji ya watu 17,000 Nchini humo kwa miaka kadhaa iliyopita.

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa majina hayo wengi wao wakiwa ni maofisa, japokuwa wapo baadhi ambao walifungiwa kwa sababu tofauti akiwemo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo.

Moja ya sababu iliyotajwa katika uungaji mkono ni kushiriki au kuliunga mkono kundi hilo hadhara kwa kuwa wanadai MEK inapingana na utawala wa sasa.

MEK lilikuwa kundi namba moja katika kuunga mkono Mapinduzi ya Serikali ya Kiislam ya Iran mwaka 1979 lakini baadaye likageuka na kuwa mpinzani namba moja wa Serikali.


Source: Aljazeera


------------------------

Iran blacklists US officials for supporting ‘terrorist’ group MEK

Iran says the Americans provided deliberate support to a group that is accused of killing 17,000 Iranians over decades.

The Iranian government has blacklisted United States officials over their backing of a group that Tehran considers to be a “terrorist” organisation.

The Iranian foreign ministry on Saturday published a list of 61 current and former American officials who it said have provided “deliberate support” to the Mojahedin-e Khalq (MEK), a group that openly calls for overthrowing the current Iranian establishment.

Several of the individuals, including former Secretary of State Mike Pompeo, were previously blacklisted by the Iranian government for other reasons.

House Minority Leader Kevin McCarthy, Senators Ted Cruz and Cory Booker, and former National Security Adviser Lincoln Bloomfield were among the sanctioned individuals.

The individuals provided support to the group by participating in its events and “offering political and propaganda support”, the Iranian foreign ministry said.

The Iranian establishment believes the MEK has killed more than 17,000 Iranian people across decades, many of them women and children.

The MEK was among groups that supported Iran’s Islamic Revolution of 1979 that deposed dynastic rule, but it later became one of the main opponents of the clerical establishment and resorted to violence to thwart it.

The group has claimed responsibility for numerous assassinations and bombings in the early years following the revolution. It also aided Saddam Hussein in his eight-year invasion of Iran in the 1980s, and took up arms during the war.

The MEK was also listed as a “terrorist” organisation by the US and European Union, but was delisted more than 10 years ago after it promised to abandon violent operations.
 
Hivi kuna mtu dunia hii anaweza kukaa chini na kuwaza kwenda Iran?Vituko sana.😂😂😂😂
Screenshot_2022-07-17-10-05-21-18_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Hili kundi la MEK ni kama wana agenda nzuri, akina Ayatollah wahamie misikitini waachane na mambo ya siasa.
 
Hivi kuna mtu dunia hii anaweza kukaa chini na kuwaza kwenda Iran?Vituko sana.😂😂😂😂
Watu wengi wanaenda Iran kwa shughuli mbalimabali na hasa kimatibabu,utakua huijui Iran bali ume comment kishabiki na kujawa na chuki binafsi kwa Iran,

Iran ipo kwenye sanction kwa zaidi ya miaka 40 ila maisha yanakwenda na bado inaogopewa,ila wewe wa huko Rufiji unaikejeli.
 
Raia wa kawaida hawahusiki na siasa za kina Ayatollah, wao wanatafuta maisha tu.
... ulishawahi kuwaona raia wa kawaida maelfu kwa maelfu kwenye maandamano yao chanting "death to america, death to israel"?
 
Back
Top Bottom