kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia Suluhu Amezindua Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact) uliozinduliwa leo unalenga kuwiwezesha Tanzania kuunganisha umeme kwa kaya milioni 8.3 zaidi ifikapo mwaka 2030. Rais Dkt. Samia ameyasema hayo...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rais Dr. Samia amezindua Mapango Mahsusi wa Kitaifa Kuhusu Nishati (National Energy Compact)

    Rais Dr. Samia amezindua Mapango Mahsusi wa Kitaifa Kuhusu Nishati (National Energy Compact)
  3. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayejali kuhusu wewe

    Je huwa unaogopa kuishi maisha yako kwa kuhofia watu watakuonaje? Huwa unaogopa kuchangia mijadala mbali mbali ili usionekana hauna uelewa wa kutosha? Huwa unaogopa kupost kwakuwa unadhani sio mwandishi mzuri? Huwa unaogopa kujichanganya na watu kwakuwa unahisi wewe sio mzungumzaji mzuri...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri Kuhusu ajira Tazara

    Naombeni Ushahuri, Nina mdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili cheti kilichotumika ni cha Form 4 na gharama za masomo na kila kitu inaweza fikia 5M Je, Ndugu zangu kwa mnavyoiyona Shirika la...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania What is so special kuhusu kurudisha watoto kayumba hadi mje kudiss shule za English Elementary humu? Mtutajie basi na matumizi mengine mnayobana

    Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kwenda bar kwa maana chupa 2 mbili tu kwa kila siku 364 za mwaka mzima sio chini ya 500,000 kwa mwaka. Ndio, tunataka kujua kama mmeamua kuacha kuchukua wale mademu wa Telegram kwa maana demu mmoja tuseme 30,000 mara tatu kwa mwezi ni sawa na 90,000 kwa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    𝗟𝗜𝗩𝗘: 𝗠𝗸𝘂𝘁𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮 𝗡𝗶𝘀𝗵𝗮𝘁𝗶 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗸𝗮 (𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮 𝗘𝗻𝗲𝗿𝗴𝘆 𝗦𝘂𝗺𝗺𝗶𝘁) 𝟮𝟳-𝟮𝟴 𝗝𝗮𝗻𝘂𝗮𝗿𝗶, 𝟮𝟬𝟮𝟱 Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 – 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  8. Mr Beltashezah

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  9. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kinshasa yatuma hati ya kumpinga Umoja wa Afrika (AU) baada ya mazungumzo kuhusu M23

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetangaza kwamba barua rasmi ya maandamano hivi karibuni itatumwa kwa Tume ya Umoja wa Afrika (AU) mjini Addis Ababa. Uamuzi huu unafuatia taarifa zilizochukuliwa kuwa hazikubaliki na rais wa Tume ya AU, Moussa Faki Mahamat, ambaye hivi karibuni...
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kesho mkutano wa wakuu wa nchi kuhusu nishati huku Arusha-Arumeru tumekesha na Giza: Tatizo ni Nini?

    Naibu waziri mkuu na waziri wa Nishati anatuambia nchi Ina umeme wa ziada, Cha ajabu kukatika kwa umeme kupo pale pale. Huku Arusha wilaya ya Arumeru halmashauri ya Meru tangia usiku mpaka sahizi hakuna umeme tuko gizani shida ni Nini? Wakati huo KUANZIA kesho Marais wa nchi za Africa wanaanza...
  12. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kwa ugeni huu wa siku mbili kuhusu mkutano wa nishati, serikali ingetoa mapumziko

    Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
  13. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu CHADEMA, CCM na Watanzania

    1:Chaguzi Dodoma vs Mlimani city. Hapa naipongeza chadema kama chama,wajumbe kama watoa maamuzi na wagombea Kwa kuwa kuonyesha utayari wa kupokea matokeo yoyote ambayo wangeyapata. PONGEZI zaidi ziende Kwa wajumbe wa chadema Kwa kufanya uchaguzi uwe uchaguzi na sio kikao. HUKU DODOMA Bado tupo...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji Tanzania Bado Lina Hoja ya Kujibu Kuhusu Suala la Kuwapa Uraia Hao Wachezaji wa Kigeni

    1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu. 2...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Mwenyekiti wa CCM, Mapendekezo ya Lissu kuhusu mchakato wa Katiba ningeyakubali wakati huu na kuyafanyia kazi haraka!

    Kuna msemo unaosema no one knows tomorrow! Lissu kaja na mapendekezo mazuri sana kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mapendekezo ya Lissu ni Bunge kuongezewa muda, uchaguzi kupelekwa mbele alafu reforms za Katiba kufanyika ndipo twende kwenye uchaguzi. Kama...
  16. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Trump anataka mafaili yote ya siri kuhusu mauaji ya Rais John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy yawekwe wazi kwa umma

    Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma ili umma uweze kujua nini hasa kilijiri. Ni takribani miongo sita imepita tangu ndugu hao wauwawe...
  17. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tafakuri kuhusu matokeo ya kidato cha 4 mwaka huu

    Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.? Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la? Au zamani elimu ilikuwa ngumu? Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie? Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuhusu ile ndoa ya yule jamaa niliyoiharibu,mambo yamezidi kunikalia kooni.

    Wakuu habari za asubuhi? Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/ So kilipita kipindi flani cha mpito jamaa akawa anaendelea kunitafuta huku ananipa mikwara mingi sana mara...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa ICU kuhusu siasa za Chadema kwa hiki kipindi cha miaka kadhaa hatimaye tumeponywa, Mbowe tutamheshimu kama tulivyoahidi

    Mungu amefanya kazi, nimezaliwa upya baada ya kuponywa kutoka ICU. Nilijeruhiwa na siasa mufilisi za chama changu CHADEMA ambazo ziliniliza kwa miaka kadhaa. Ama kweli sasa nipo tayari kuwajibika kwenye kipindi kipya na kukitumikia chama kwa kila hali. Soma Pia: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu...
  20. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Napenda kuwafundisha somo moja vijana kuhusu Network na connection.

    Vijana wengi wanachomini kuwa hauwezi kufanikiwa pasipo Connection . Ila ukweli ni kwamba kuwa hauwezi kufanikiwa Pasipo network. Nini maana ya Connection - Kuungana wewe na mtu Fulani . Mfano mwaka fulani pale UDSM nilikuwa na ndugu yangu (RIP) alikuwa ni lecturer huyu jamaa alikuwa...
Back
Top Bottom