kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msajili wa vyama vya siasa, kama unaweza kum summon Mnyika kuhusu No reoforms No election, basi Amos utamsummon kwa m-pox na ebola saga

    Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka. Soma Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Kuhusu Wasomi Kusoma VETA!, Kila Msomi Anayeendesha Gari, Udereva ni Ujuzi wa VETA, Hivyo Hakuna Ajabu Wasomi Kusoma VETA!.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu katika gazeti la Nipashe la leo. Paskali
  3. E

    JamiiForums Tanzania Naomba maoni kuhusu utendaji wa simu ya M Horse S24

    Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna Nini kuhusu hii mashariki

    Kuna mashariki ya congo yaani Rwanda na sudan.na kuna mashariki ya kati hii migogoro Toka nazaliwa naikuta.. mashariki ya congo anakula Belgium Yuko mezani na washirika wake wa ulaya.. Mashariki ya Africa ni kwa UK MASHARIKI YA KATI NO CHIMBO LA USA JE ANACHUKUA NINI PALE TUJIULIZE KUPITIA...
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Biblia ni nini? Maelezo ya kina kuhusu kitabu hiki ambacho shetani anakichukia kuliko vitabu vyote!

    Biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi mbalimbali kwa muda wa takriban miaka 1,500, lakini vyote vina ujumbe mmoja unaotuelekeza kwa Mungu na jinsi ya kupata wokovu kwa njia ya Yesu Kristo. Biblia imegawanyika katika sehemu kuu mbili: Agano la Kale – Linaeleza uumbaji wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia nchini DRC kuanzia Machi 20, 2025

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025 Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Onesmo Olengurumwa: Sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji

    Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema: Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo, sina uhakika kama Watu wengi wanafahamu kuhusu Uandikishaji, zoezi linaweza kupita na Watu wakakosa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Summary ya Matukio na Maoni Yangu Kuhusu Derby ya Kariakoo

    Hii ni summary ya matukio yaliyojitokeza kuhusu Derby ya Kariakoo na Maoni yangu. Nagusia mambo muhimu tu, sitaorodhesha maoni sijui ya wachambuzi maana wengi wapo na bias: Inatangazwa tarehe ya Derby ya Kariakoo kama itachezwa tarehe 8 March Maandalizi yamepamba moto huku kila pande...
  9. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Waislamu nijibuni maswali haya kuhusu Iftari

    LENGO la kufuturisha ni nini? Ni kuwapa FUTARI wasiojiweza au NI kulisha wasanii WA kizazi kipya na machawa? Inakuaje kunaandaliwa FUTARI halafu yanayoongelewa hapo ni mambo ya MPIRA WA miguu? (mpira si Haramu?) au kufuturisha ni kuandaa chakula halafu mnakua mnakula huku mnapiga story zozote...
  10. FestoKaguo

    JamiiForums Tanzania Jifunze utofauti uliopo kati ya Coin vs Token kwenye Cryptocurrency

    Habari wana JF, ni mda sasa sijapost kitu kuhusu blockchain and cryptocurrency ila leo nikapata idea nikaona nilete uzi mwingine unaoelezea kuhusu blockchain and cryptocurrency. Huenda ukawa unaijua au ushawahi isikia au unaifahamu ila bado kuna vitu vinakuchanganya unashindwa kuvielewa basi...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kuhusu uongozi kuanzia Machi 2021 hadi sasa!

    Kuanzia mwaka 2021, nimepata uzoefu mkubwa katika uongozi na uongozi wa watu kupitia mbinu mbalimbali zisizo za kawaida. Katika kipindi hiki, nimejifunza kuwa uongozi si tu kuhusu mamlaka, bali pia ni kuhusu uwezo wa kuhamasisha na kuungana na watu. Katika mazingira ya kisasa, ambapo viongozi...
  12. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha. Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu. Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa. I mean no malice to nobody.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi kutoa ripoti kwa Mamlaka kuhusu jumbe na simu za kitapeli

    Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
  15. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania KUNA MAONI GANI KUHUSU WANAFUNZI WA VETA KUPEWA MKOPO

    Mimi kwa mtazamo wangu wanafunzi wa VETA wapewe fedha za kujikimu na Ada pia . Wewe je?
  16. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la sonona

    Habari za asubuhi wana JF, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, kuna ndugu yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Yeye ni mhitimu wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita, alisomea Bachelor of Human Resources Management. Alipohitimu tu;akabahatika kufanya kazi ya muda kwenye ofisi moja ya shirika la...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huu ni upotoshaji mkubwa sana kuhusu kitimoto

    Huyu Sheikh aache mara moja kulisha watu matangopori kuhusu huyu mnyama.
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS

    Wale uliodhani ni watumishi wa TISS sio watumishi wa TISS, ni wababaishajitu na watafuta sifa. Mtumishi mwaminifu wa imani ya TISS hajulikani na wala hutakuja hata kumhisi abadani.
  19. MR BINGO

    JamiiForums Tanzania Kuhusu plate number za "SSH25 30"

    Kwenye mkoa ninaoishi nimeona utitiri wa gari zenye plate number za "SSH 25 30" Nimekuwa na maswali kadhaa ninayojiuliza kuhusu usajili huu wa magari 1.Je magari yote haya yamelipiwa private plate number za "SSH 25 30" 2.Kama yamesajiliwa kwa usajili huo ni kipi kinachoyatofautisha maana...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Moderator:umenikose heshima kuanika ukweli ukaniunganisha kwenye kuchania kuhusu Bar kubwa na TRA

    Nilieleza uzi kuhusu: Kilicho fata ukapeleka kuunganisha mada watu wakwepe ukweli. Shida hipo wapi wakati naeleza kuhusu kodi na TRA
Back
Top Bottom