kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu digrii ya Mwijaku

    Burton Mwemba anajulikana zaidi kama Mwijaku. Mara kadhaa anasikika akibrag ana degree ya mzumbe university na university of Dar es Salaam. Sijui kuhusu UDSM ila kuhusu mzumbe. Mwijaku hana degree ya mzumbe japo alisoma mzumbe miaka mitatu. Nini kilitokea? Je alifeli? Hapana Mwijaku akufeli...
  2. marongota

    JamiiForums Tanzania Wana jukwaa je hili ni kweli kuhusu bundi

    Ni hilo tu nauliza
  3. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake

    Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa...
  4. Investaa

    JamiiForums Tanzania Bado tunalaumu serikali kuhusu AJIRA?

    Habari mazee! Huyu jamaa kajiongeza sana na elimu imemsaidia kwa kiasi kikubwa, hakutaka kuilaumu serikal bali alichukua hatua na kujiajiri mwenyewe kuliko kuendelea kulalamika https://www.youtube.com/watch?v=ESl_RqbPpb0
  5. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

    Nilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu.. Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane. Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea... Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika?? Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
  6. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa: Leo nihubiriwa na member wa S.DA kuhusu ufunuo

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania msaada wa kisheria kuhusu mchakato wa madai ya kuachiswa kazi

    Habari Nahitaji ushauri nlikua nimeajiriwa na benjamin mkapa foundation chini ya mradi wa USAId Afya endelevu,baada ya agizo la trump la kusitisha miradi ya USAID la january tukarudishwa kazin february then march ikatolewa notisi nyingine ya kusitisha mradi wa afya endelevu,ambao mwajiri ambae...
  9. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mchumba wangu amefosi nimwambie ukweli na uongo kuhusu mimi, sasa ameninunia, nifanyaje?

    Mteja: Madam Penny, nisaidie na hili Mpenzi amefosi nimemwambie ukweli na uongo kuhusu mimi sasa ameninunia, nifanyaje? Money penny: ukweli gan na uongo gan, sijaelewa Mteja: amenifosi nimwambie ukweli kuhusu mimi na uongo kuhusu mimi katika maisha yangu ambavyo sijawahi kumweleza mtu...
  10. Clever505

    JamiiForums Tanzania Sababu iliyotolewa na Quran kuhusu Allah kutokuwa na mwana unailewa?

    Ukiiuliza Quran tukufu ya Muhammad na Allah kwa nini Allah hana mwana wakati mwenzake Yehova anaye wake anamuita Yesu Kristo? Quran inajibu, 6:101 Itakuwaje awe na mwana naye hakuwa na mke? Basi poa, ukiiuliza tena; inamaana Allah hana uwezo kabisa wa kuwa na mwana bila kuwa na mke? Quran...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu university of western cape, naomba unisaidie

    Habarini, nahitaji kuomba MasterCard foundation scholarship katika chuo cha western cape kilichopo south Africa, kama kuna mtu anakifahamu hicho naomba anisaidie kunipa experience kidogo.
  12. Bharka

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize. Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena. Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa sababu za privacy tu sababu ID nayotumia nafahamika personally na baadhi ya watu, kwa hivyo naomba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mawakili wote wanaomshtaki Karia kuhusu endersoment ni wanachama na wapenzi wa Nyuma Mwiko, mnadhalilisha taaluma zenu

    Allyoce Komba, mmoja wa wanachama wa Yanga na wakili wa kujitegemea amefungua shauri kupinga uteuzi wa Karia kuwa mgombea urais wa TFF. Allyoce Komba ambaye amewahi kuwa mwandishi wa gazeti la Nipashe kila mtu anamjua tabia zake, kuwa ni Yanga lia lia. Hoja zote zilizowasilishwa na wenzake...
  14. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Tamko la TLS kuhusu kinachoendelea kwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima pamoja na haki ya kuabudu

    Siku chache zilizopita niliandika uzi unaoitwa: “Watu wanasali, mabomu yanalia. Je, kuna uhuru wa kuabudu?”Ulikuwa ni mwitikio wa kile tulichoshuhudia tarehe 22 na 29 June 2025: waumini wa dhehebu flani wakitawanywa kwa mabomu wakati wakiwa kwenye ibada. Sikuandika kwa lengo la kutetea mtu...
  15. GenuineMan

    JamiiForums Tanzania DPP akikaa Mwaka mzima au hata miwili hajaamua kuhusu hii Kesi ya Uhaini, Ni sawa tuu? Kuna Sheria inambana.?

    Maana jana Hakimu Mkazi kasema hakuna sheria inayoipa nguvu mahakama ya kumamuru DPP atoe maamuzi kuhusu hii Kesi. Sasa mimi nauliza Wanasheria Ukomo upo kisheria?, au hilo file linaweza kukaa kwa DPP hata Miaka 2, 3 hadi 5 bila kufanyiwa maamuzi.?? Kama ni hivyo mfumo wetu wa utoaji haki una...
  16. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  17. FYATU

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mechi zipi/ngapi ambazo tunaweza haswa kumpongeza Kocha Fadlu kwazo?

    Mimi si Mtaalamu wa uchambuzi ila kama Shabiki ningetamani kusikia ufafanuzi wa kitaalamu kwa mechi ambazo tunaweza kusema hapa ufundi wa Fadlu umeonekana?. Hivi ni nini kikomo cha muda wa kujenga timu?maana isiwe tunaenda mpaka miaka miwili tunasema bado tunajenga timu.Tuwe wakweli kama Simba...
  18. dosho12

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

    Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo...
  19. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu v2 wa wimbo :nasonga mbele"

    https://youtu.be/dmc-xxRof60?si=AQyC2o1xsr_iCO7m Bro hebu kaa chini tusimuliane hii ishu ya zamani lakini bado inabamba hadi leo. Kama uliishi enzi za Bongo Flava halisi, lazima utakumbuka ule wimbo mkali wa “Nasonga Mbele” kutoka kwa V2 – mrembo mwenye sauti ya dhahabu aliyewatoa machozi...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
Back
Top Bottom