Habari wakuu...
Kwa sasa kuna kundi kubwa sana la watu wanaofanya ujenzi kwa watu binafsi kwa mkataba, ukitembelea instagram utaona ni jinsi gani walivo wengi.
Changamoto kubwa iliyopo ni kujua yupi anayeweza kufanya kazi kweli maaana picha baadhi wanatoa tu mtandaoni na wengine ku copy za...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuri ya Muungano wa Tanzania (Kiitikio - wote)
Ama baada ya salamu, dhumuni la andiko hili ni kuleta hoja niliyoletewa na rafiki yangu wa kiume akiomba ushauri kwangu. Mimi kwakweli nilishindwa kumshauri vema isipokuwa kwakuwa nafahamu kuwa kuna jukwaa hapa nikaonelea...
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020
Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020
CHAMA CHA MAPINDUZI
MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025
UTANGULIZI
1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
Natambua kuwa Kamati tajwa imepewa hadidu za rejea kadhaa ili kumashauri Rais kuhusu msimamo wa kupokea kukubali chanjo ya Corona au la.
Ni wazi kuwa Kamati imepewa maswali na hadidu za rejea kadhaa kuhusu ugonjwa huu. Napenda niwaongezee jambo muhimu la kufuatilia japo linaweza kuwa nje ya...
Mashekhe wa Uhamsho wamekaa ndani kwa tawala za Marais watatu mfulululizo. Lakini taasisi ya urais urithishana baadhi ya mambo. Mfano Jk alimwekea ngumu Babu Sea lakini JPM alipoingia akamwachia. Jpm ALIKUWA na kesi nyingi za uhujumu uchumi ambazo Rais aliyepo Sasa anaona nyingi hazikuwa na...
jamani nilikuwa naomba kuuliza dirisha la udahili kwa kozi za afya september intake kwa ngazi za stashahada na astashahada kwa mwaka wa masomo 2021/2022 litafunguliwa lini kwa vyuo vya serikali?! msaada tafadhali
Nimejipiga nimepata kaeneo kakujenga katikati ya makazi ya watu wengine! Kulingana na udogo wake nimetenga kuwa "kanyumba"kangu ka kuishi kachukue eneo la ukubwa wa futi 40 urefu kwa futi 25 upana.
Ninaombeni ushauri hivi kwa ukubwa huo ninaweza kupata nyumba ya vyumba vingapi ikiwa nyumba...
Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics.
Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
Yeereeeeeh!
Alipokuja bongo kuuza sura kwa kula wali maharage alishindwa kabisa kuopoa madem wakali nchini? Uvumi umeshaanza kuenea kiichosababisha ndoa ya Bill Gates kuvunjika ni kutembea na huyu demu wa miaka 36 Zhe 'Shelly' Wang mtafsiri katika foundation
yake ya Bill and Melinda Gates.
Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi yalisiyothibitika hapo nyuma kuhusu watu kukutana na vyombo au viumbe kutoka sayari nyingine.
Kwa sasa msimamo wa...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma amesema ofisi yake haina taarifa rasmi za maandamano ya BAWACHA hivyo atakayeandamana atakutana na mkino wa dola.
Kamanda Muroto amewataka akina mama hao waliopanga kuandamana waje na computer na madaftari ya kuchukulia notisi ili waandike kile watakachokutana...
Mimeona huku kwenye mtandao watu wengi wangependa kujua kuhusu nchi za Botswana na Afrika Kusini (South Africa).
Niulize chochote nitakujibu, nimeishi huku miaka 25 sasa na naahidi nitajaribu kusaidia.
Wanabodi, hakuna mtaa au Kijiji au mji ambao waalifu hawajulikani. Hawa waalifu tunaishi nao na kushirikia katika shughuli mbalimbali za kijamii.
Lakini pia tunaona namna waalifu walivyo na ujasiri mitaani mwetu kupelekea kuogopwa hata kulipotiwa kwenye vyombo husika. Ujasiri wa kuwafichuwa...
Kwa miaka mingi sasa tumeacha wanasiasa wakijadili mitazamo mbalimbali ya mustakabali wa elimu yetu hasa wakiangalia output ilioko mtaani bila ajira. Haya ni maoni yangu ya nini kifanyike.
Mosi - Kwa wanaohisi mtaala wetu una mapungufu mengi sikubaliani nao changamoto kubwa katika elimu yetu...
Habari za jioni waungwana
Nilikua naomba kuuliza kuhusu hii Value Retention Fee ambayo ilikua inatozwa kwenye mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu
Kulingana na tamko la muheshimiwa Rais kwamba hii tozo imefutwa rasmi, lakini sasa nashindwa kujua je kwa wale ambao washaongezewa mzigo wa deni...
Habari za jioni wadau.
Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya SALES OFFICER . Ni maswali gani wanapendelea kutoa?
Asanteni sana.
Hotuba ya Susan Kiwanga, Mjumbe wa Kamati Kuu
Tarehe 20 April 2021 Naibu Spika alitoa kauli Bungeni kwamba ofisi ya Spika haikuwa na taarifa rasmi ya CHADEMA kuhusiana na kuvuliwa uanachama kwa waliokuwa wanachama wake 19.
Ibara ya 67 (1)(b)ambayo imeweka masharti na sifa za mtu kuteuliwa kuwa...
Hii mimea kwa kiingereza
1.Unaitwa -chamomile
2.Unaitwa-nutmeg
nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa.
Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji.
Cha kushangaza Mwambe...