Ujambazi kurejea: Naamini Ushiriki wa Askari waovu

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
416
462
Wanabodi, hakuna mtaa au Kijiji au mji ambao waalifu hawajulikani. Hawa waalifu tunaishi nao na kushirikia katika shughuli mbalimbali za kijamii.

Lakini pia tunaona namna waalifu walivyo na ujasiri mitaani mwetu kupelekea kuogopwa hata kulipotiwa kwenye vyombo husika. Ujasiri wa kuwafichuwa hawa ukosekana hata kwa viongozi wetu wa mitaa au vijiji husika.

Sababu kubwa ni hofu ya kujulikana kuwa mfichua wahalifu kitu ambacho upelekea kuhayarisha usalama wako, familia na malizako.
Waalifu huwa hawajifichi, niwenye majigambo saana. Hawanaga Siri.

Marazote wanajiani kwa kutumia migongo ya polisi waalifu.

Wanakauli zinazokatisha tamaa kuwaripoti kama vile; Nina Bosi wangu, siwezi kaa selo, mkuu wa kituo mtuwangu nk. Na ikitokea kweli kakamatwa, kesho unamuona kitaa na anafanyiza kweli!!!

Naamini, kama tukio la ujambazi limetoke na halijashirikisha Askari, majambazi hao watspatikana, vinginevyo, hawatapatikana kwa kuwa operations zote za kutafutwa wanapata tararifa.

Tuwachunguze Askari wetu maeneo yanayotokea ujambazi kwakuwa Waalifu wa maeneo yao wanawafahamu na ni watu wao wa karibu saaana
 
Magufuli: mtanikumbuka .

Panya road ni chadema
Mimi nimeanza kumkumbuka kwa kuzuia habari, sasa hivi hata habari za ujambazi/majanga tunazipata wakati kipindi chake wanahabari hawakuruhusiwa kutoa habari zisizomfurahisha.
 
Back
Top Bottom