kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu Muungano, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Adai ni Zanzibar Pekee iliyopoteza Sovereignty, Je Yuko Sahihi?

    Wanabodi, Wale wenye access na Plus TV, watch now kipindi cha Uso kwa Uso, Makamo wa Kwanza wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman asema uongo wa wazi wa mchana kweupe kuhusu muungano wetu. Mhe. Masoud anadanganya u kuwa Tanganyika na Zanzibar tulipoungana, ile 1964, ni nchi moja tuu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Hoja kwamba eti Haji Manara bado ana mapenzi Na Simba ni uthibitisho kwamba watanzania wengi Wana uelewa mdogo Sana kuhusu" Human Psychology"

    An evarage Tanzanian person is presumed to possess a very little understanding about human phsycology. Yani kwenye uelewa kuhusu saikoloji ya binadamu, watanzania wengi ni bure kabisa.. Ukitaka kujua kwamba watanzania wengi Wana mafuta ya taa kwenye vichwa vyao Na kwamba Hawana hata uelewa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali sema ukweli kuhusu wastaafu umejitetea visivyo na kusema kitu ambacho hakipo

    Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kwako Mama Samia Kuhusu Elimu

    hali ya elimu kwa sasa ni mbaya, hilo halina mjadala! 1. Ushindani umegeukia kwenye kufaulisha wanafunzi wote na kufuta 'zero'. Kutokana na hilo, suala la kukutana na lundo la wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika ni kawaida huku kwenye masekondari yetu ya kata. Kumkuta mwanafunzi anayeitwa...
  5. JamiiForums Tanzania Namimi najiuliza hivi kuhusu hili janga!

  6. N

    JamiiForums Tanzania Mmegundua nini kuhusu ITV?

    Nitaeleza kutoka hivi karibuni kurudi nyuma! 1. Siku hizi wanaripoti kweli kweli habari zihusuzo 'kuijenga' serikali. Natumia mfano wa leo kwanza; ‐ wameripoti 'kikamilifu' tukio la machinga aliyefariki wakati wa kuokoa mali zake. Mwandishi alitembea kweli kweli kufuatilia suala hilo huku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu chanjo... Part 2 – uviko 19 (muendelezo wa uzi wa elimu kuhusu chanjo)

    Kabla ya kuendelea tafadhali piti andika linalohusu chanjo kwa ujumla Elimu ya jumla kuhusu chanjo (yoyote inayotolewa hapa nchini) UVIKO 19 NI NINI? Kwa Kiswahili tunaita UVIKO 19, yaani “Ugonjwa wa Virusi vya Korona wa mwaka 2019” ikiwa ni tafsiri sisisi ya maneno “Corona Virus Disease 2019”...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni kuhusu issue hii ya Ardhi na District Council authorities

    1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted? 2...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Kuna ukweli kuhusu Mungu?

    Moja kati ya mijadala ambayo imezua ugomvi mkubwa duniani na kusababisha vifo kwa watu wengi ni katika suala zima la kuwepo au kuto kuwepo kwa Mungu mmoja.kila imani imejaribu kueleza kivyake kuhusu mtazamo wake juu ya suala la imani ya Mungu lakini katika mengi basi lazima lipo jawabu sahihi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changia damu, okoa maisha"Ukweli kuhusu zoezi la uchangiaji damu"

    UTANGULIZI "Changia Damu,Okoa Maisha"hii ni kauli mbiu ya mpango wa taifa wa damu salama inayotumika kuhamasisha uchangiaji wa damu ili kuokoa maisha. Watu wengi,watoto kwa watu wazima wanahitaji damu kila panapoitwa leo kutokana na ajali,maradhi,baada ya kujifungua n.k Moja ya taarifa...
  11. JamiiForums Tanzania Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

    Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia.. Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tafadhali: Mwenye habari kamili kuhusu kuuawa kwa mwalimu huko Kinyerezi Dsm, mtaa wa Kifuru- Msitu wa Nyuki.

    Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kuhusu Machinga Jijini Mwanza

    Wamachinga ni wafanyabiashara wadogo wadogo wanaotafuta riziki zao kama wafanyabiashara wengine. Wana familia, watoto, wajukuu ndugu n.k. Wamachinga wanashiriki pia katika kukuza uchumi wa nchi na hivyo wasipuuzwe. Katika siku za karibuni kumetolewa tangazo kuwa Wamachinga wanaopanga bidhaa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu udahili wa kozi za afya awamu ya pili 2021/2022

    Tarehe 17/09/2021 NACTE kupitia ukurasa wao waliweka tangazo na ndani ya hilo tangazo wamesema wale wanafunzi ambao hawakuchaguliwa na ambao hawakuomba nafas za vyuo basi wafanye hivyo katika awamu hii kwani ndio awamu ya mwisho kwa muhula huu wa masomo. Sasa hapa tangu juzi naingia kwenye...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Malalamiko/ Ufafanuzi na Ushauri kuhusu Ushuru wa Maegesho Ilala, Temeke na Kigamboni Jiji la Dar es Salaam

    Ascerics LTD ni Kampuni ya Kitanzania yenye uzoefu mkubwa katika zoezi zima la kukusanya Ushuru wa maegesho nchini Tanzania. Ili kuboresha huduma zetu za maegesho (Parking services ) kwa system mpya ya E-parking katika Jiji la Dar-es-Salaam. Kanda no 2 ambao tunasimamia Ilala, Temeke, na...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba Kujulishwa Kuhusu wale watuhumiwa wengine kesi ya akina Mbowe

    Kwa Mujibu wa Taarifu Tulizopata ni kwamba waliokua wametuhumiwa na Mheshimiwa Mbowe katika kesi ya Ugaidi walishahukumiwa na wameanza kutumikia kifungo? Iweje leo wamerudishwa mahakamani? Au walikata rufaa?
  17. K

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu binafsi kuhusu mkopo wa Trilioni 1.3 ya COVID-19

    Jana kwenye taarifa ya habari tulihabarishwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Tanzania imepokea mkopo wa 1.3 trillioni ili kupambana na ugonjwa hatari ya Covid-19. Binafsi sisemi au sikatai mkopo huu ila nasema fedha hizi ni nyingi sana kwa ajili ya mkopo. Kama juzi juzi tulipokea dozi millioni...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwaheri Kapteni Zacharia Hans Poppe: Tuna mengi ya kujifunza kuhusu maisha yako

    Leo jumatano ya tarehe 15 Septemba 2021 mwili wa Kapteni wa zamani wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Zacharia Hans Poppe utapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele mjini Iringa mahali ambako pia baba yake Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi Hans Poppe alizikwa tarehe 26 Mei 1979. Hans...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Ismail Jussa na machache kuhusu Katiba Mpya

  20. M

    JamiiForums Tanzania Wanayanga epukeni propaganda zilizoanzishwa na wajinga wachache kuhusu kocha Nabi

    Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na kulivuruga benchi la ufundi, hakuna kikao chochote kilichojadili kitu Kama icho nikiwa mmoja wa wat u...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…