Msemaji wa Serikali sema ukweli kuhusu wastaafu umejitetea visivyo na kusema kitu ambacho hakipo

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,340
2,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni.

Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote.

Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
 
Mbususu Enthusiast

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,015
2,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Tuwe wakwwli ama waongo nchi hii haitawahi kuendelea hadi CCM itoke.
 
mwanamanzi

JF-Expert Member
Feb 15, 2017
263
500
Ubaya wa nchi hii inaongozwa kwa uongo na kibaya zaidi kurithishana uongo ndio kanuni kuu katika uongozi wao
Huwezi ukamtuhumu kiongozi muongo ikachukuliwa hatua na kiongozi wa juu ambae ndio muongo zaidi.
Hili la wastaafu halina wa kulisemea kabisa na tutabaki kuteseka tu. Hakuna sababu ya mtumishi kustaafu na kusimishiwa mshahara mwezi unaofuata lakini ikashindikana mtu huyo kuingiziwa malipo yake mwezi huo akiwa anasubiri mafao yake.
Labda iundwe taasisi/chama/commission ya kusimamia maswala ya wastaafu.
Waathirika ni wengi
 
Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
2,046
2,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Mkuu kumbe wewe ni mstaafu !! Ongera sana. Usijali mwaka huu hauishi utakuwa ushalipwa.
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,340
2,000
Ni swali aliulizwa wiki jana akaambiwa alete ufafanuzi, sasa leo kaja na maneno ya ajabu sana sijui nani kamwambia, mara oh nyaraza za wengine hazijakaa sawa mara oh kuna kazi inafanyika, haya sawa ambao nyaraka zao zimekaa sawa si wawalipe. hajui kwenye hizo ofisi tulikagua siku nyingi kutaka kujua kama kuna dosari turekebishe, yeye anakuja na majibu kwamba Tayari wamelipwa na kila mwezi wanalipwa, kichwa chake sikilaumu nalaumu mfumo mzima
Hivi mnapataga wapi muda wa kufuatilia mambo hayo? Mana kazi yake huyo msemaji huwa ni kusifia kila kitu.
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
6,462
2,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Mifuko ya hifadhi ya bara ina urasimu sana. Nimekua naona wastaafu wa taasisi za Tanzania bara (mf. TRA or migration, ttcl, post office n.k) wanapata sana usumbufu wa kupata stahiki zao. Tofauti na huku Zanzibar.

Yaani wafanyakazi wa taasisi za zanzibar pekee wakistaafu tu na mambo yao from zssf yapo tayari.
 
Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
6,462
2,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Pole sana mkuu.

Hii kitu Inakera mno. Mie nliona nlipodai fao la uzazi tu psssf story nyingi utasema ile hela wanataka kuila wao.

Sijui inawezakana nihamishe michango yangu kwenda zssf. Mie ni mwajiriwa katika moja wapo ya taasisi za muungano. Nikiona wenzangu wanavopata shida kudai stahiki zao nachoka kabisa
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,917

Alifundishwa uongo na huleeeeeeee
 
road master

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
1,917
2,000
Ubaya wa nchi hii inaongozwa kwa uongo na kibaya zaidi kurithishana uongo ndio kanuni kuu katika uongozi wao
Huwezi ukamtuhumu kiongozi muongo ikachukuliwa hatua na kiongozi wa juu ambae ndio muongo zaidi.
Hili la wastaafu halina wa kulisemea kabisa na tutabaki kuteseka tu. Hakuna sababu ya mtumishi kustaafu na kusimishiwa mshahara mwezi unaofuata lakini ikashindikana mtu huyo kuingiziwa malipo yake mwezi huo akiwa anasubiri mafao yake.
Labda iundwe taasisi/chama/commission ya kusimamia maswala ya wastaafu.
Waathirika ni wengi
Anaongea uongo ili kuwafurahisha wakubwa zake ile anonekane ni mtetezi wa wakubwa
 
Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
700
1,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Ni ukweli kabisa hakuna walicholipa mpaka sasa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,292
2,000
Msemaji wa Serikali hajasema ukweli, amesema pensheni zimelipwa tar 22 mwezi huu, watu wameenda Ijumaa tar 24 Benki Hakuna Mafao wala Pensheni. Watu wote walio staafu mwezi wa 2 mwaka huu hawajapewa hata pensheni wala Mafao sisi ni miongoni, pia kusema mpaka mwezi wa 9 serikali inaendelea kuwalipa ni akina nani hao na sisi tupo hatuja lipwa.

Tukiwa wakweli nchi hii itakuwa na Maendeleo makubwa sana, kuweka siasa kwenye maslahi ya watu binafsi haifai mtaendelea kuwa waongo siku zote. Nyaraka zilipokelewa mwezi wa 3 PSSSF na wakasema hakuna dosari yoyote ziko sawa hadi leo hamjalipa halafu wewe msemaji wa serikali unasema sio kweli. Sisi ndio wastaafu ndio tunaoongea sio wewe ambaye hujastaafu.
Waliipenda na kuichagua wenyewe hao wastaafu

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,340
2,000
Hamisha tu maana ndio utakuwa umepata unafuu vinginevyo mateso makubwa sana
Pole sana mkuu.

Hii kitu Inakera mno. Mie nliona nlipodai fao la uzazi tu psssf story nyingi utasema ile hela wanataka kuila wao.

Sijui inawezakana nihamishe michango yangu kwenda zssf. Mie ni mwajiriwa katika moja wapo ya taasisi za muungano. Nikiona wenzangu wanavopata shida kudai stahiki zao nachoka kabisa
A
 
Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,340
2,000
Pensheni ilitoka tarehe 24/9 mida ya jioni.
Hayo mengine uliyoyaeleza sijayafanyia utafiti wa kuuelewa ukweli wake.
Mkuu wako kasema ilitoka tar 22 wewe unakuja na 24 jioni sasa mnufaika kaenda tar 24 saa 2.30 usiku ATM hajakuta kitu nani muuongo kati yenu na mimi niliyeenda saa 2.30 usiku
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom