kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Matumizi ya connect za Upwork

    Kwa Wale wapambanaji Wenzangu wa Mitandaoni nikiongelea Upwork nafkiri sio Kitu Kigeni. Kwa Wale Ambao Hawafahamu kuhusu Fursa za Upwork fuatlia Uzi Mbali mbali upate Mwanga. Moja Kwa Moja Kuna Zile Connect za Kuombea Kazi kule Upwork, Kuna ambazo ni za Bure Kila Mwezi Na Kuna Zile Zinauzwa Kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mkakati mpya wa Marekani kuhusu Afrika haupaswi kutungwa kwa ajili ya kukabiliana na China

    Kwa muda usio mrefu sasa, serikali ya Marekani chini ya rais Joe Biden imeelekeza tena mkakati wake kwa Afrika. Alipofanya ziara yake ya kwanza barani Afrika mwezi Novemba mwaka jana, waziri wa Mambo ya Nje Antony Blinken aliahidi kuwa serikali yake "itachukua mtazamo tofauti" na kushiriki...
  3. JamiiForums Tanzania Mathematics inaweza kutufunulia kuhusu siri za ulimwengu kweli...??

    Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..? Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!. Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu mikopo tunayopokea kutoka kwa wahisani

    Kukopa kutoka nje ni jambo jema sana ikiwa utatumia mkopo husika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi. Tangu tupate uhuru 1961 mikopo tuliopata ni mabillioni ya dollar za Kimarekani. Tujiulize kuwa thamani ya mikopo hiyo na hatua ya maendeleo tuliopiga mpaka sasa inaoana...
  5. JamiiForums Tanzania Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

    Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake: “Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya...
  6. JamiiForums Tanzania Majibu kuhusu Kirusi kipya cha UKIMWI hiki hapa!

    Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza wamegundua virusi vipya vya Ukimwi wanavyoita ‘VB variant’. Wanasema virusi hivyo ni hatari zaidi ikilinganishwa na vile vilivyokuwepo katika sehemu tofauti duniani tangu miaka ya themanini na vimekuwapo nchini Uholanzi kwa muda mrefu...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

    Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao. Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi...
  8. JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu alisema ukweli mchungu sana kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. CCM walimshambulia vibaya, lakini waliufyata kwa hoja zake

    Hii ni kutoka katika maktaba ya mjadala na michango ya wajumbe mbalimbali wa bunge la kupata katiba mpya mwaka 2012/2013 huko Dodoma. Bahati mbaya CCM walivuruga mchakato huo na hivyo kukwama na taifa kupata hasara mabilioni ya fedha zilizopotea bure bila kuleta matokeo... Katika bunge hilo la...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

    Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa. Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria. === Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  11. JamiiForums Tanzania Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata . Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
  12. JamiiForums Tanzania Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  13. JamiiForums Tanzania MISA-Tanzania yatoa tamko kuhusu kufunguliwa kwa magazeti manne

    10 Februari 2022 TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi nchini kwa miaka kadhaa sasa. Magazeti hayo binafsi ambayo leo yamepewa leseni na serikali kuanza...
  14. JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu Business Angel Investors

    Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za kati.Lilikuwa somo zuri sana.Katika moja ya mijadala tulizungumzia kuhusu vikoba na kwa hakika...
  15. JamiiForums Tanzania Tafakuri Jadidi ya Maggid Mjengwa kuhusu afya ya Profesa Jay ambaye amelazwa Muhimbili

    Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni rafiki kwangu pia. Mwingine atauliza; Wapi mlikutana kwa mara ya kwanza? Jibu: Ilikuwa ni Jumatatu...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu sheria mpya

    wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi. Je na ile sheria inayowapa nguvu upande wa mashtaka na police kumkamata mtu pindi mahakama inapomuachia baada yakukaa ndani muda...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri jinsi ya kuboresha anwani za makazi ili kuleta tija zaidi

    Kuwa na utaratibu wa anwani ya makazi ni jambo jema lakini maboresho makubwa yanahitajika. Faida kubwa ya kuwa na anwani ya makazi ni kujulikana kwa sehemu au eneo, mtaa mtu anapoishi ili kufika kwa urahisi bila kuelekezwa na mtu. Hapa Mwanza katika Wilaya ya Nyamagagana tayari utaratibu huu...
  18. JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  20. JamiiForums Tanzania Mambo 7 kuhusu Sadio Mane wa Senegal, Liverpool ikiwemo alivyogoma kuitwa MFALME

    Sadio Mane ametimiza ndoto yake ya kihistoria ya kuisaidia timu yake ya taifa Senegal kushinda kwa mara ya kwanza taji la AFCON. Mane ambaye ni staa wa Liverpool ana utofauti na mastaa wengi matajiri hasa katika matumizi ya fedha zake. Ametokea familia ya kimasikini ambayo ilikabiliwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…