kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video: Tundu Lissu alisema ukweli mchungu sana kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. CCM walimshambulia vibaya, lakini waliufyata kwa hoja zake

    Hii ni kutoka katika maktaba ya mjadala na michango ya wajumbe mbalimbali wa bunge la kupata katiba mpya mwaka 2012/2013 huko Dodoma. Bahati mbaya CCM walivuruga mchakato huo na hivyo kukwama na taifa kupata hasara mabilioni ya fedha zilizopotea bure bila kuleta matokeo... Katika bunge hilo la...
  2. J

    Wamasai wadai hawaondoki Ngorongoro kwa sababu wanalindwa na UTATU wa kikatiba yaani Wenyeji - Hifadhi - Utalii

    Wamasai waishio kwenye vijiji vya hifadhini Ngorongoro wamesema kamwe hawatahama kwani Ngorongoro ni mafiga matatu ya Wenyeji, Hifadhi na Watalii na ukiondoa figa moja Ngorongoro inakufa. Wamedai wao wanaishi vijiji vya hifadhini kwa mujibu wa sheria. === Wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
  3. Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
  4. Uliza Chochote Kuhusu Magari ya Mitsubishis Fuso Canter Pamoja na Spare zake

    Kama unatafuta Mitsubishi fuso au Canter gari madogo , pamoja na Spare zake kutoka Japana wasiliana nasi kupitiana namba hii chini pia Spare za mtumba zenye ubora zipo aina ya Fuso na Canter utapata . Tuambie aina ya Spare unayotaka au Gari gani unataka nikupe bei serous buyers wasiliana...
  5. Kuhusu Kusafiri Usiku; Waziri Mkuu awaagiza ama RC, DC

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kupitia kamati za ulinzi na usalama za mikoa na wilaya ziendelee kufanya tathimini juu ya utoaji wa vibali vya mabasi ya abiria kusafiri usiku. Majaliwa alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Sophia Mwakagenda katika kipindi cha...
  6. MISA-Tanzania yatoa tamko kuhusu kufunguliwa kwa magazeti manne

    10 Februari 2022 TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi nchini kwa miaka kadhaa sasa. Magazeti hayo binafsi ambayo leo yamepewa leseni na serikali kuanza...
  7. Fahamu zaidi kuhusu Business Angel Investors

    Mwaka 2012 nilibahatika kuhudhuria mafunzo fulani kuhusu biashara na uwekezaji.Mafunzo haya yalifanywa na wataalam ambao walikuwa wanalenga kuhamasisha uwekezaji ili kukuza biashara ndogo na za kati.Lilikuwa somo zuri sana.Katika moja ya mijadala tulizungumzia kuhusu vikoba na kwa hakika...
  8. Tafakuri Jadidi ya Maggid Mjengwa kuhusu afya ya Profesa Jay ambaye amelazwa Muhimbili

    Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi... Ndugu zangu, Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay. Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni rafiki kwangu pia. Mwingine atauliza; Wapi mlikutana kwa mara ya kwanza? Jibu: Ilikuwa ni Jumatatu...
  9. Naomba ufafanuzi kuhusu sheria mpya

    wiki hii kuna miswada imepelekwa bungeni kufanyiwa marekebisho, ikiwemo sheria ya kwamba polisi hawaruhusiwi kumpeleka mtu mahakaman had wakamilishe upelelezi. Je na ile sheria inayowapa nguvu upande wa mashtaka na police kumkamata mtu pindi mahakama inapomuachia baada yakukaa ndani muda...
  10. K

    Ushauri jinsi ya kuboresha anwani za makazi ili kuleta tija zaidi

    Kuwa na utaratibu wa anwani ya makazi ni jambo jema lakini maboresho makubwa yanahitajika. Faida kubwa ya kuwa na anwani ya makazi ni kujulikana kwa sehemu au eneo, mtaa mtu anapoishi ili kufika kwa urahisi bila kuelekezwa na mtu. Hapa Mwanza katika Wilaya ya Nyamagagana tayari utaratibu huu...
  11. Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

    Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
  12. J

    Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto?

    Tarehe 4 na 15 Februari ni siku za maadhimsho ya siku ya Saratani na Siku ya Saratani kwa Watoto ulimwenguni. Lengo la maadhimisho hayo ni kuokoa maisha ya mamilioni na kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika kila mwaka kwa kuongeza ufahamu na elimu kuhusu saratani ya utotoni, pamoja na kushinikiza...
  13. Mambo 7 kuhusu Sadio Mane wa Senegal, Liverpool ikiwemo alivyogoma kuitwa MFALME

    Sadio Mane ametimiza ndoto yake ya kihistoria ya kuisaidia timu yake ya taifa Senegal kushinda kwa mara ya kwanza taji la AFCON. Mane ambaye ni staa wa Liverpool ana utofauti na mastaa wengi matajiri hasa katika matumizi ya fedha zake. Ametokea familia ya kimasikini ambayo ilikabiliwa na...
  14. UFAFANUZI KUHUSU MILABAHA ILIYOTOLEWA MANENO NI MENGI MH RAIS LIANGALIE NA HILI NI TATIZO

    Habari Mh Rais! Kuhusu kinachoendelea kwenye suala la milabaha kinachoonekana mahesabu take yametengenezwa katika mazingira ya kiupigaji na kizurumati , Kuna wasanii wakubwa sana wa zamani hawapo kwenye list na hiyo milabaha na wengine kupewa pesa kiduchu sana Sasa kwa inavyoonekana ni kama...
  15. S

    Rais Samia ingia mtandaoni umsikilize Tundu Lissu kuhusu yanayoendelea Ngorongoro

    Mhe. nakushauri uingie mariaspace muda huu (kama haujaingia) umsikilize Lissu akichambua yanayoendelea na ambayo yamekuwa yakiendelea huko Ngorongo na nakushauri usome na kitabu chake alichoandika kuhusu Ngorongoro. Ukikosa nafasi, basi sikiliza hotuba yake ambayo bila shaka itapatkana ikiwa ni...
  16. Lusinde amjia juu Polepole, amsifia Bashiru, ni kuhusu wanaotaka Urais wa Samia

    Nukuu za aliyoyazungumza Mbunge wa Jimbo la Mvumi, Livingstone Lusinde, leo Jumatatu Februari 7, 2022: "Sikiri kuwa, kuna makundi yanayoutaka urais kwa maana wanasubiri ratiba kugombea, bali kuna makundi haramu yanayotaka kugombea urais 2025 ambao wanaanza mapema kabla ya wakati, mimi kundi...
  17. Rais Uhuru ana la kujifunza kuhusu namna Rais Samia alishughulkia mauaji yanayofanywa na Polisi Tanzania

    Rais Samia bila kumumunya maneno amelishambulia jeshi la polisi kwa mauaji Tanzania na kusema lenyewe haliwezi kujichunguza, ameagiza iundwe tume huru pembeni iwachunguze hao mapolisi. Wakenya tuna la kuiga hapa, haya mambo ya polisi kufanya mauaji halafu wanalindana kwenye uchunguzi yataisha
  18. Zitto Kabwe acha unafiki wa kutumika, hesabu yenu na CCM kuhusu Mbowe tunaijua

    Zitto huu unafki hsutakufikisha popote Wallah nakuapia. Ulisema mwenyewe kua hukumaanisha kwamba ulimuombea Mbowe msamaha kwa Rais isipokuwa CHADEMA walikuelewa vibaya, halafu leo unapigilia msumali kua ulimaanisha? Ipo siku utajutia tabia yako hii. Nia yako ni kutaka Mbowe ajinyenyekeze kwa...
  19. Sheria inasemaje kuhusu kuzaa na mke wa mtu?

    Habari Wakuu, Ninaomba kufahamishwa sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine. Na unatakiwa kufata utaratibu gani kumchukua mtoto anapo fikisha umri wa kulelewa na baba. Hii imenitokea...
  20. Rais Samia afanya makubwa, wafanyakazi walipiwa mikopo yao

    Hakika Nani Kama mama, hakika anaupiga mwingi! Pongezi kwako mama wetu mpedwa!! Mungu akupe na kukujalia kila lililo la kheri.!! Ni hivi kwa wale watumishi wa umma, hebu chungulieni salary slip zenu hakika mtaona Kuna tofauti kubwa sana imefanywa na huyu Rais wa watu, yaani Kama una mkopo Bank...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…