Wizara ya Afya na TBD watoe tamko kuhusu tetesi za dawa hizi za mbu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,239
103,916
IMG-20221013-WA0004.jpg


Wanajukwaa kuna taarifa zinazidi kuenea kwamba hizi dawa zina sumu ya kuua. Hizo ni dawa za kuchoma kwa ajili ya kuua mbu.

Kuna clip inatembea kwenye groups za WhatsApp ikitutaka kutotumia dawa hizi.

Natoa wito kwa wizara ya afya na TBS kutoa tamko kuhusu ukweli wa dawa hizo. Ikibainika zina madhara wahusika wafunguliwe kesi ya mauaji kwa sababu wana wajibu wa kuzuia
 
Back
Top Bottom