Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,213
22,277
Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER. Miongoni mwa waliomshambulia kwa maneno ni msanii maarufu Sean Combs (Diddy).

Binafsi nawaunga mkono weusi wote kwenye harakati zao ila siwaungi mkono kutaka kuminya haki za wengine kwasababu ni weupe. Wakifanya hivyo hawatakuwa tofauti na hao weupe wanaowalalamikia daily. Pia kuingilia uhuru binafsi wa Kanye sio sawa. Kanye yuko sahihi kabisa kusema White lives matter kwasababu kila binadamu bila kujali rangi ana haki ya kuishi. Kina Didy wanakosea sana kutengeneza chuki dhidi ya weupe. Hii itaendelea kuwafanya black Americans kujiona wako chini ya weupe na kuwaondolea kujiamini.

Black Americans wanatakiwa wapambane sana hasa kwenye elimu ili kuweza kujikomboa na sio kila black awe anawaza muziki, basketball na filamu wakati kwenye vyombo vya maamuzi nyeti wakiwa wachache. Anachofanya Didy ni kuzidi kujinufaisha yeye tu. Kina Didy na wenzake wenye mtazamo unaofanana hawana tofauti na makada wa CHADEMA wanaotaka uhuru wa kutoa maoni wakati wao wanaongoza kwa blocks mitandaoni huku wakiwa vinara wa matusi.
 
Sure.....yaani wamezidi kila kona "BLACK PEOPLE'S LIVES MATTER" atalile lengo la usawa limeanza kupotea na kuleta utofauti...."They are calling themselves blacks but they don't want be called blacks "
 
"White lives matter" is a protest to a black man's protest.

Ni sawa leo tuanzishe kongamano na kutetea haki za watoto, alafu aibuke mtu pia aanzishe kongamano hapohapo la kutetea "haki za watu wazima".

Protests are for the weak and the oppressed, not for the strong system-backed privileged majority!

Mbaya zaidi ni Kauli hiyo ya "white lives matter" kutoka mdomoni mwa mtu mweusi. Mtu ambae race yake imekua ikibaguliwa na kugandamizwa kwa vizazi na vizazi.

Malcolm X must be turning in his grave!
 
Not necessarily. Wamarekani weusi ni watu unreasonable na wasiojielewa. Mkiuana wenyewe kwa wenyewe kila siku na kubaguana, of course races nyingine pia zitawachukulia poa. Ili upate heshima kwa wengine, lazima ujiheshimu mwenyewe kwanza.

Leo kwa kwa hao jamaa ukiwa na manzi lightskinned, wanasema unachukia darkskinned sistas. Wanawabagua weusi wenzao wasiotoka Marekani. Na upuuzi mwingine mwingi tu.

Bottom line is, watu weusi tumejiletea shida zote wenyewe. Na badala ya kutathmini tunapofeli, tumekomaa na victim mentality.
 
Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER. Miongoni mwa waliomshambulia kwa maneno ni msanii maarufu Sean Combs (Diddy).

Binafsi nawaunga mkono weusi wote kwenye harakati zao ila siwaungi mkono kutaka kuminya haki za wengine kwasababu ni weupe. Wakifanya hivyo hawatakuwa tofauti na hao weupe wanaowalalamikia daily. Pia kuingilia uhuru binafsi wa Kanye sio sawa. Kanye yuko sahihi kabisa kusema White lives matter kwasababu kila binadamu bila kujali rangi ana haki ya kuishi. Kina Didy wanakosea sana kutengeneza chuki dhidi ya weupe. Hii itaendelea kuwafanya black Americans kujiona wako chini ya weupe na kuwaondolea kujiamini.

Black Americans wanatakiwa wapambane sana hasa kwenye elimu ili kuweza kujikomboa na sio kila black awe anawaza muziki, basketball na filamu wakati kwenye vyombo vya maamuzi nyeti wakiwa wachache. Anachofanya Didy ni kuzidi kujinufaisha yeye tu. Kina Didy na wenzake wenye mtazamo unaofanana hawana tofauti na makada wa CHADEMA wanaotaka uhuru wa kutoa maoni wakati wao wanaongoza kwa blocks mitandaoni huku wakiwa vinara wa matusi.
Kwa nini unahusisha Black Lives Matter na muziki na basketball? Unaelewa BML ni nini?
 
Not necessarily. Wamarekani weusi ni watu unreasonable na wasiojielewa. Mkiuana wenyewe kwa wenyewe kila siku na kubaguana, of course races nyingine pia zitawachukulia poa. Ili upate heshima kwa wengine, lazima ujiheshimu mwenyewe kwanza.

Leo kwa kwa hao jamaa ukiwa na manzi lightskinned, wanasema unachukia darkskinned sistas. Wanawabagua weusi wenzao wasiotoka Marekani. Na upuuzi mwingine mwingi tu.

Bottom line is, watu weusi tumejiletea shida zote wenyewe. Na badala ya kutathmini tunapofeli, tumekomaa na victim mentality.
Why do you think they are unreasonable? Kama ilivyo kwa jamii yoyote, wamarekani weusi wana matatizo mengi likiwemo la Kuuana wenyewe kwa wenyewe, lakini hilo halihalalishi systematic racism.
 
Kama wao kwa wao wanabaguana huoni kama ni rahisi sana kwa wazungu kuwabagua wao?
 
"White lives matter" is a protest to a black man's protest.

Ni sawa leo tuanzishe kongamano na kutetea haki za watoto, alafu aibuke mtu pia aanzishe kongamano hapohapo la kutetea "haki za watu wazima".

Protests are for the weak and the oppressed, not for the strong system-backed privileged majority!

Mbaya zaidi ni Kauli hiyo ya "white lives matter" kutoka mdomoni mwa mtu mweusi. Mtu ambae race yake imekua ikibaguliwa na kugandamizwa kwa vizazi na vizazi.

Malcolm X must be turning in his grave!
Kwa izi akili no wonder mpaka leo waafrica sisi ni watu maskin sana kupita race zooote duniani kiufupi reasoning capacity yetu ni ndogo mno wazee wala tusipate tabu kutafuta mchawi sisi wenyewe ndo tunaojichawia
 
Why do you think they are unreasonable? Kama ilivyo kwa jamii yoyote, wamarekani weusi wana matatizo mengi likiwemo la Kuuana wenyewe kwa wenyewe, lakini hilo halihalalishi systematic racism.

You can't be mad at Kanye and them for shouting out "White Lives Matter", while celebrating rappers glorifying killing and destroying their community. It just doesn't make sense to me. If black lives do matter, then that should be the case all the time and to all.
 
Not necessarily. Wamarekani weusi ni watu unreasonable na wasiojielewa. Mkiuana wenyewe kwa wenyewe kila siku na kubaguana, of course races nyingine pia zitawachukulia poa. Ili upate heshima kwa wengine, lazima ujiheshimu mwenyewe kwanza.

Leo kwa kwa hao jamaa ukiwa na manzi lightskinned, wanasema unachukia darkskinned sistas. Wanawabagua weusi wenzao wasiotoka Marekani. Na upuuzi mwingine mwingi tu.

Bottom line is, watu weusi tumejiletea shida zote wenyewe. Na badala ya kutathmini tunapofeli, tumekomaa na victim mentality.
While i may agree with most of what you said, still Kanye amekosea, na huo ndio msingi wa hoja yangu.

A black man with the "white lives matter" campaign is just plainly suspicious like a nun doing squats in a cucumber field!
 
You can't be mad at Kanye and them for shouting out "White Lives Matter", while celebrating rappers glorifying killing and destroying their community. It just doesn't make sense to me. If black lives do matter, then that should be the case all the time and to all.
Kanye is a hypocrite. If there is something wrong with the black race, he's a celebrity with tremendous influence. He is supposed to be on the frontline to change that.

Tell me something, does screaming "white lives matter" fix any of the problems of the black race?

There is nothing more hypocritical than a black man having anything to do with the "white lives matter" campaign. Kanye should be advocating for a more enlightened and educated black race, not screaming "white lives matter".
 
Back
Top Bottom