kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais na Waziri wa Kilimo kuhusu chakula nchini mnapotosha Taifa

    Wandugu, Kuna lugha za kujirudiarudia kutoka kwa hawa viongozi wakisisitiza kwamba mkulima lima jiwekee cha kwako na familia yako chakula kingine nenda kauze nje mipaka ya nchi mipaka imefunguliwa. Najiuliza ina maana wananchi wengine kama Dar es Salaam wanaotegemea vyakula hivyo havitawafikia...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa Paul Rusesabagina...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hai, Kilimanjaro: Mgomo kuhusu malipo ya semina ya sensa

    Leo unatarajiwa kufanyika mgomo kuanzia mchana na watu waliopewa semina ya sensa kudai malipo yao ya zaidi ya siku 10. Watu wamejipanga ikifikia hadi mchana wa leo hawajalipwa watagomea semina hiyo.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wanaongea muda huu kuhusu Super League

    kwani clouds fm hamjui kwamba congo hawapo cecafa? Mazungumzo mengii mnazitaja mazembe na as vita, kwani nyie ni vilaza? Hapa teams nane zitatoka south africa, sudan, ethiopia,zambia,angola.. Tanzania nchi hairuhusiwi kutoa zaidi ya teams 3. Hao wacongo wako zone ya central and west africa
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maoni yangu kuhusu uchaguzi Kenya: Wananchi wamefikishwa hatua ya kuchagua liwalo na liwe!

    Naona kuna baadhi yetu tunashabikia uchaguzi wa Kenya bila kuwa na critical analysis. Kwangu mimi naona uchaguzi huu wakenya wameshafikishwa hatua ya kutokuwa na choice au niseme wana choice ya nani mzuri zaidi kati ya ubaya. Hatuna la kujifunza hapo!! SAD BUT TRUTH
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuhusu maboresho ya elimu ya Tanzania

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar. TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi mbalimbali yakiwemo Baraza la Watoto Tanzania, viongozi wa dini...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu cheo cha Field Marshall, ni aina Gani ya mtu anaitwa cheo hicho?

    Katika pekua pekua pamoja na simulizi za hapa na pale nimeambiwa kwamba Dunia nzima ma-Field Marshall hawazidi kumi akiwemo hayati Fidel Castro na Ally Zaqawi . Je, ni kweli kuwa mafied marshall hawafiki kumi Dunia nzima ? Je, cheo hiki hutumikaje katika majeshi?
  8. JamiiForums Tanzania TET: 60% Watoto wenye changamoto ya kufaulu darasani wana tatizo la uoni hafifu

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar kuhusu Mapitio Makubwa ya 6 ya Mitaala ya Elimu ya Tanzania TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania tunajifunza nini kuhusu uchaguzi wa Kenya? Tubadilike

    Naona vyombo vya habari vingi vinajifanya kama havina habari kabisa kuhusu uchaguzi wa kenya yaani wanachukulia kama vile uchaguzi wa kumchagua mjumbe nyumba 10 10. Serikali y a CCM mnalo la kujifanza hapa msijifanye hampo na hamna habari, angalieni chaguzi ya Kenya inavyofanyika pamoja na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Tundu Lissu juu ya Mamlaka makubwa ya Kikatiba aliyonayo Rais wa Tanzania yalitoka wapi. Nyerere hakuwa kama tunavyohubiriwa!

    Kumbe Nyerere hakuwa na demokrasia, alikuwa dictator mkubwa, eti huyo ndiye anakuja kuwa Mtakatifu! Sikiliza kwa makini:
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi, ni kuhusu thamani ya fedha

    Leo asubuhi nilikuwa na Google thamani fedha kwa nchi mbalimbali za Afrika dhidi ya Dola ya Marekani. Nimeshituka kuona kwamba 1$=16.20 kwacha ya Zambia. Kwa kweli sijaelewa, naomba ufafanuzi tafadhali.
  13. JamiiForums Tanzania Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

    Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta nchini

    Leo katika ziara yake Mkoani Mbeya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa kauli kuhusu kupanda kwa bei ya Mafuta nchini.
  15. JamiiForums Tanzania Historia Halisi yenye kusisimua kuhusu rapa Juice WRLD

    Whatsup! Leo nimeona nije na Biography ya Marehemu Juice Wrld, kwa wasiomjua wapate kumjua na wenye kumjua waweze kuyajua zaidi ambayo hawakuweza kuyajua. Lakini pia kupitia uzi huu tutaendelea kujuzana hata yale ambayo unayajua na humu sijaweza kuyaandika kwasababu sio rahisi maisha ya miaka...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu DHL, UPS NA Fedex

    Ipi huduma bora na nafuu kati ya hizo? Je, DHL huwa wanachaji gharama unapopokea mzigo? Mzigo wangu NI bahasha tu ya documents. Ninaipokea kutoka Afrika Kusini.
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

    Yes
  18. JamiiForums Tanzania Baadhi ya imani potofu kuhusu kunyonyesha

    Maziwa ya kwanza ya mama si mazuri kwa mtoto yanapaswa kumwagwa Kunyonyesha humfanya mama anenepe kupindukia Maziwa ya mama pekee hayawezi kumridhisha mtoto wa umri wa miezi 0 hadi sita. Baadhi ya vyakula si vizuri kwa wanawake wanaonyonyesha Ni lazima mtoto mchanga anywe maji mara baada ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mgawanyo wa fedha za malipo ya marehemu

    Habari humu ndani naomba kupata mwongozo kidogo Baba yangu alikuwa na mji hapa dar na amefariki sasa mji wake umetwaliwa na TRC kwa ajili ya ujenzi wa SGR sasa malipo yake ndio naitaji kujua mgawanyiko wake unakuwaje tuko watoto sita na mama , kuna jambo moja nataka kuongeza hapo sisi watoto...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    Habari Hivi claims status kwenye account ya NSSF ikibadilika na kusomeka APPROVED. Huwa inachukua siku ngapi mpaka kuingiziwa pesa zako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…