Ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili shahada ya Computer Science

Habari Zenu Wakuu. Mimi ni kijana wa miaka 22. Nilimaliza kidato cha nne mnamo​
mwaka 2018. Mwaka 2019 nikajaribu kuapply course ya Computer Science DIT pale baada ya kupiga short web development course kwenye college fulani hivi (Kwa kipindi kile sikuwa na ufahamu kuhusu course za computer na sikuwa na mtu wa kunionesha njia kwahiyo sina uhakika kama nilitaka kuapply Computer Science au IT,etc ila nilikuwa tu interested na masomo ya technolojia).

Kwa bahati mbaya nilikataliwa kujiunga na course hiyo sababu nilifeli somo la Chemisry kidato cha nne. Kwakweli hio sababu haikuniingia akilini ila nikasema sawa. Kipindi hiko pia nilikuwa niko interested na masuala ya Production. Niliweza kujifunza video production, graphics design pamoja na 3D animation kwa kutumia internet. Niliendeleza hii process mpaka mwaka jana 2021 baada ya kuwa na experince ya kutosheleza na kuwa comfortable kwenye production pipeline.

Niliona ndio muda sahihi wa kuanza kujifunza Computer Science mtandaoni. Nikafatilia kazi mbali mbali za computer science na njia zake za masomo. Nikachagua language yangu ya kwanza ambayo ni python. Nikakomaa nayo mwaka mzima nikafanya na baadhi ya projects ndogo ndogo. Baada ya kuwa comfortable na python nikaingia kwenye web development. Haikunichukua muda nikapiga HTML, CSS na Javascript pia nikawa comfortable nazo nikafanya na baadhi ya front-end projects. Muda huu ninavyo andika huu uzi niko zangu napiga back end development ili niwe Full stack web developer na nina malengo ya kuongeza ujuzi zaidi.

Dhumuni la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri kuhusu kurudi chuo kwa ajili ya​
Degree au niendelee kuchapa vitu mtandaoni. Na kama ni kurudi chuo. Je itanibidi nianzie wapi ili niweze kupata angalau barchelor's degree. Asanteni.
Kama unataka ajira ya makampuni na serikali hapa bongo kasome degree otherwise komaa kazi ikionekana watu watakuamini
 
Kama umemaliza form four na una D nne we nenda kaanze kusoma certificate then diploma badae ndo uende degree afu chuo sio DIT tu Kuna vyuo vingi Dar wanataka D nne tu so Toka 2018 ungeapply kwingine now mwaka huu ungeenda kusoma degree changamka mzee rudi kasome
 
RUDI DARASANI DOGO, ELIMU YA DARASANI MUHIMU ITAKUSAIDIA BAADAE
 
Kama unataka ajira ya makampuni na serikali hapa bongo kasome degree otherwise komaa kazi ikionekana watu watakuamini
Kama umemaliza form four na una D nne we nenda kaanze kusoma certificate then diploma badae ndo uende degree afu chuo sio DIT tu Kuna vyuo vingi Dar wanataka D nne tu so Toka 2018 ungeapply kwingine now mwaka huu ungeenda kusoma degree changamka mzee rudi kasome
Kama unataka ajira ya makampuni na serikali hapa bongo kasome degree otherwise komaa kazi ikionekana watu watakuamini
Asanteni wakuu. Nitafanyia kazi mashauri yenu
 
Mkuu ushauri wangu USIENDE CHUO .....hiyo hela ya kulipia bando tengeneza YOUTUBE channel utakayokua unaelezea hizo vitu unazojua na jinsi zinaweza kusaidia baadhi ya makampuni hiyo itakuwa njia nzuri ya kuonyesha unajua kipi na kipi sababu huna vyeti....otherwise apply online cousers za kilipiwan zenye mitihani na kutoa vyeti...
 
Back
Top Bottom