kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  2. JamiiForums Tanzania Majibu kuhusu bei ya vyakula kupanda

    Kuna hoja imewekewa mkazo na baadhi ya watu kuwa bei ya vyakula imepanda na hivyo wakulaumiwa ni CCM. Kusema kweli hii ni "logical fallacy". Ni kweli vyakula vinapanda bei kwa kasi, na kimsingi hali hii inasabahishwa na upungufu wa mavuno yanayo sababishwa na kukosekana kwa mvua kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania Mbona Serikali ipo kimya kuhusu Meli ya mizigo ya Tanzania ambayo imezama huko Iran?

    Inasemekana sababu za kuzama ni upangaji mbovu wa makontena -- A Tanzanian cargo ship has on Tuesday January 24, sank in a jetty in the southern Iranian port of Assaluyeh, Iranian state media has reported. The official IRNA news agency said the vessel named Anil overturned because...
  4. JamiiForums Tanzania Waraka wa Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko kwa Shule za Tanzania Bara

    Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
  5. JamiiForums Tanzania Maswali kwa TMDA kuhusu virutubisho katika unga wa sembe

    Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu uandishi wa sasa wa barua za Serikali

    Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo? Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii...
  7. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema,Tumesikia sana na kuona kuhusu Magufuli. Mna nini Jipya?

    Bado naona Sera ya sasa ya Chadema ni suala la Awamu ya 5. Ndo imekuwa issue kubwa. Unawasoma hata wengine wanamuda sana chadema but wakizungumzia ujio wa Lissu na kuanza na mikutano wanarudi kumzungumzia marehemu Magufuli. Je hakuna jambo jipya?hoja mpya?sera zao zikoje ukilinganisha na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu CHADEMA, Hayati Magufuli alikuwa mwamba. Rais Samia ukicheka na hawa watakukwamisha sana

    Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu wasikamatwae na kufundisha polisi namna ya kufanya kazi. Ameshaanza uchochezi. Lugha zao ni mbaya...
  10. JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu mnyanduano

    Mwanaume mzuri sura ni mtamu kwenye romance afu mwanaume Mwenye sura mbaya ni mtamu kwenye kuduu especially hatua ya kupiz.....afu ajaaliwe mtalimbo.(nadhani waliogundua threesome wana akili sana,huyu mzuri romance huyu mgumu sura kupiga miti).Mwanaume Mwenye sura ngumu ukizaa nae mtoto wa kike...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu MacOS Computer

    Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima. Nijikite kwenye mada mojakwamoja bila kuchelewa. nimepata changamoto kwenye hii computer ya utoaji wa sauti. Nilimpa fundi anifanyie installation ya Windows 10 pro lakini baada ya kuweka windows hiyo nimekuja kugundua computer haitoi tena sauti kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mnaotupigia Kelele kuhusu Chama nina Maswali yangu haya Kwenu

    1. Hivi Simba SC haijawahi Kufungwa Chama akiwemo? 2. Hivi Simba SC haijawahi kutoka Sare Chama akiwemo? 3. Hivi Simba SC ilipofika hatua ya Robo Fainali ya CAFCL mwaka Chama alikuwepo? Na kupitia hili la Chama GENTAMYCINE nimegundua kuwa 85% ya mnaolishadadia nje ya kuwa ni Wapuuzi na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Gari hizi aina Copper

    Habarini wakuu, Nisaidieni kujua kuhusu Cooper Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages, na hiyo speed 260 sustainable kiasi gani kwa hizi road zetu. karibuni..
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nimejikagua na kujipima upya kuhusu mwenendo wa uchumi, nimekosa raha

    Kujikagua na kujipima ni jambo la muhimu sana , hebu tafakari miaka mitano yako nyuma na sasa, huko ulimiliki nini na sasa unamilki nini , shughuli zako za kiuchumi je zimetanuka na atleast zinatosheleza mahitaji yako au bado mechi Ngumu sana upande wako ukichukua...
  16. JamiiForums Tanzania Leo napenda nitoe Ushauri (unaweza kuuchukua au Kuucha) kuhusu watoto

    Habari za Mwaka Mpya. Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao. NAKUSHAURI; kabla...
  17. JamiiForums Tanzania Kasumba potofu walizopewa Watoto kuhusu "wanaume watakaoolewa nao; na Wanawake watakaowaoa"

    KASUMBA POTOFU WALIZOPEWA WATOTO KUHUSU "WANAUME WATAKAOOLEWA NAO; NA WANAWAKE WATAKAOWAOA" Anaandika Robert Heriel. Baba "Wanaume ni wabaya" "Wanaume ni wakatili, wakorofi na wanatabia za kupiga." "Wanaume ni waongo, watakurubuni, watakuchezea alafu watakudampo" Hizo ni baadhi ya kauli ambazo...
  18. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya baadhi ya Askari Polisi kuhusu ujio wa Tundu Lissu yavuja

    Katika pitapita zangu kwenye Social Media nimekutana na "screenshot" inayoonyesha chats za Askari Police (baadhi). Huenda huu ndio mtazamo wa jumla wa Hawa jamaa wa Form Four.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kuhusu Mikopo ya nyumba

    Salamu, Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!? Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo? Ni Benk gani inatia huduma hii? Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba? Nawasilisha!
  20. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kuhusu Hoteli ya Alkael Mbowe kutumia umeme wa wizi

    Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Mkoani Kilimanjaro limeikatia umeme hoteli ya Aish hotel inayomilikiwa na Mbunge wa Hai (CHADEMA), Freeman Mbowe kwa madai kuwa wamebaini inatumia umeme wa wizi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi milioni 10.8. Akiungumza, Meneja wa Tanesco Mkoa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…