kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MakinikiA

    Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

    Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
  2. Jacobus

    Natatizwa na BBC kuhusu Kiswahili

    Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia. Mie, natambua Kiswahili chimbuko lake ni Lamu nchini Kenya sasa kama ni mwendelezo wa upotoshaji unaoendelea ni hatari...
  3. K

    Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  4. Background Check

    Kuhusu maana za sare za majeshi yetu

    Good day, Forumers (si-kingereza rasmi). Bila shaka kazi ya kujenga taifa inakuendea sawa sawa namachaguo yako, kama umechagua kuwa mlalamikaji sawa, na kama umeamua kuwa mlalamikiwa sawa. Ok, nijielekeze kwenye ni nini nahitaji kufahamu (kufahamishwa). Naomba ufafanizi kuhusu sale(uniforms)...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Unapaswa ujue haya mapema kuhusu Binadamu

    Kwema Wakuu! Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha; 1. Usiwe na mazoea na binadamu. Iwe ni kazini au unapoishi usiruhusu majirani au wanaokuzunguka kukuzoea zoea. Heshimu kila mtu lakini...
  6. Kijakazi

    Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

    Mimi kama kuna jambo linalonishangaza kuhusu uongozi wa sasa ni ukimya wa Rais wa nchi, mambo mengi yanaendelea watu wana maswali mengi, tunapata habari tofauti, kwa nini Rais wa nchi hasimami na kuweka mambo sawa? Kama hili la Wamasai kuondolewa kwa nini Mkuu wa nchi hatoki na kusema kuna...
  7. Gama

    Gazeti la Mwananchi na habari kuhusu harufu mbaya Vingunguti

    Mimi hupenda kusoma magazeti kwa sababu mbalimbali. Katika magazeti ya nyumbani Gazeti la mwananchi halikosikani katika menu yangu pale inapowezekeana Mada Leo nimesoma article inayosema "Harufu kali machinjio ya Vingunguti yaleta kilio". Kilichonifanya kuandika humu si harufu wala kilio, ni...
  8. Narumu newz

    Usiyoyajua au unayajua kuhusu Vladimir Putin na Volodymyr Zelenskyy

    E bwana huyu mwamba Putin amezaliwa mwaka 1952 , kwa sasa ana takriban miaka 70 , huyu mwamba alizaliwa kwenye familia duni sana ,yeye akiwa wa tatu kwenye familia yake kaka zake wawili waliomtangulia mmoja alikufa kwa njaa, na mwingine kwa kipindupindu Huyu mwamba mama yake alikuwa anafanya...
  9. system hacker

    Book Keeping, Commerce na Economics yawe masomo ya lazima ili vijana wajiajiri

    Duuuu ni ngumu sana kuelewa watu wa Serikali kusisitiza watu wajiajiri; lakini walau watu hawajengewi mentality ya ki business. Kwa Tanzania yetu mandatory subjects yangekuwa: • Book Keeping • Commerce • economics • Computer Studies Imagine wale F.4 wanaomaliza wakiwa na Div. 0 / IV na hawana...
  10. Samson Ernest

    Namna Ya Kukabiliana Na Matamanio/Matarajio Yako Na Ya Wazazi/Ndugu Kuhusu Kuoa Na Kuolewa

    Wazazi wanapitia changamoto ya watoto wao kutoolewa na kutooa kwa wakati waliotarajia wao, vijana wa kiume wakiulizwa kuhusu hili wana sababu nyingi juu ya hili. Wapo watakuambia bado hawajaona wa kumuoa, wengine watasema wasichana wanachagua sana wanaume wa kuwaoa, wengine watakuambia muda...
  11. amadala

    Toa neno lolote kuhusu michango ya Harusi

    Hello Wadau!! Naenda Moja kwa Moja kwenye topic. Mimi binafsi naenda kwenye style ya uombaji michango, Jana mishale ya mchana ghafla najikuta nimeungwa kwenye group la kuchangia mchango wa harusi ya classmate wangu ambae sijaongea nae Toka mwaka Jana japo Kila mtu ananamba ya mwenzake, naona...
  12. Roving Journalist

    Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
  13. Suley2019

    Za ndaani kuhusu kocha ajaye Simba SC

    Imeeleza hadi kufikia jana, kulikuwa na makocha wawili ambao walikuwa wakiangaliwa kwa mara ya mwisho ili mmoja kupitishwa akiwemo kocha wa zamani wa RS Berkane ya Morocco raia wa nchi hiyo, Tarik Sektioui. Mwingine ni Jozef Vukušič raia wa Slovakia. Taarifa ambazo imeripoti Gazeti la Spoti...
  14. BigTall

    Wakili afafanua kuhusu kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, wanaruhusiwa kurudi Mahakamani

    Kuna hili andiko nimelikuta kwa mdau wa sheria anaitwa Na Bashir Yakub ambaye ni WAKILI ============= Maombi ama Kesi inaweza kutupwa na Mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, ama inaweza kutupwa katika namna ambayo...
  15. Saad30

    Mrejesho kuhusu mwanamke muuza bar South Africa 🇿🇦

    Salamu wakuu.. Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae. Wiki iliyopita alienda kwao KZN (Durban) ila mimi naishi Jozi. Sasa bana kipindi napiga mambo yangu na mizuka imepanda ya akili za...
  16. M

    Dk Slaa mbona unakaa kimya? Huoni kinachoendelea? Wale jamaa waliokuwa wanakutonya kuhusu upigaji wapo kimya?

    Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana. Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa. Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia. Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
  17. E

    Msaada kuhusu volunteers

    Wadau naombeni kujua ni vigezo vipi au sheria zipi zinatumika kuhusu kuwahifadhi wageni katika nyumba yako. Nina nyumba yangu nahitaji Ku host volunteers naombeni kujua ni taratibu zipi zinahitajika na document zipi zinatakiwa kwa kupata usajili . asanteni
  18. Google Diggers

    Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  19. K

    Rais umekosea kuwakilishwa na Balozi kwenye mkutano wa EAC kuhusu Congo

    Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya...
  20. Mwachiluwi

    Kuhusu ustawi wa jamii

    Habari Leo nataka kuongea kuhusu ustawi wa jamii hii ni taaluma ambayo imejikita katika kutatua changamoto na matatizo ya jamii Inafanya kazi na wazee watoto walemavu na wanawake lakini na jamii kwa ujumla Watu wasichotambua kuhusu ustawi wa jamii Watu wengi wanahisi ustawi wa jamii ni...
Back
Top Bottom