Urusi yafungua shauri UN kuhusu maabara za Silaha za Kibaiolojia huko Ukrainia

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,735
6,292
Urusi imelitaka baraka la usalama la umoja wa mataifa kutumia “article VI” kuunda tume ya kuchunguza uwepo wa maabara za Silaha za kibaiolojia nchini Ukrainia zinazofadhiliwa na Marekani.

Moscow urges UN probe into Ukrainian biolabs​

Russia has filed an official complaint over US-backed biological activities in Ukraine

Russia is calling on the UN Security Council to establish a commission to investigate alleged violations of the convention prohibiting the production or use of biological weapons by Ukraine and the United States.

“We requested a meeting in two days in line with Article VI of the Biological Weapons Convention,” the Russian mission to the United Nations said on Tuesday.

Moscow’s ambassador, Vassily Nebenzia, circulated a draft resolution ahead of a meeting set for Thursday, along with “a variety of documents and evidence that shed light on the true nature of military biological activities of the US and Ukraine on the Ukrainian territory.”

Russia was forced to invoke Article VI of the convention to raise the issues with the Security Council after its repeated inquiries were largely ignored by Washington and Kiev, who “have not provided necessary explanations, nor have they taken immediate measures to remedy the situation,” Nebenzia explained.
READ MORE: US conducted ‘inhumane’ lab experiments in Ukraine – Russia

Moscow has alleged that the two counties conducted secretive, joint biological research on Ukrainian soil, claiming it had obtained incriminating evidence of those activities during the ongoing military operation.

The Russian Defense Ministry has gradually released said materials to the public in batches since March.
“The data analysis gives evidence of non-compliance by the American and Ukrainian sides with the provisions” of the BWC, Nebenzia said.

Last month, Russia convened a meeting of BCW member states in Geneva, which failed to provide any tangible result, with delegates from 35 out of 89 nations either dismissing the Russian claims or expressing support for the kind of research the US and Ukraine were conducting, according to the US State Department. Only seven nations expressed support for Russia: Belarus, China, Cuba, Iran, Nicaragua, Syria and Venezuela.

In the wake of the meeting, Moscow proposed amendments to the BWC, floating three ideas to reinforce the landmark international agreement and make it more legally binding for its parties. Namely, Russia called for negotiations on a “legally binding protocol,” an “effective verification mechanism” and a “scientific advisory committee” within the group.

Russia also proposed making the control mechanisms more transparent, with additional “confidence-building measures,” suggesting BWC participants must be obliged to declare their “activities in the biological sphere outside the national territory.”

The US and Ukraine have dismissed Russia’s bioweapons claims as disinformation and a conspiracy theory. Back in June, the Pentagon published the ‘Fact Sheet on WMD Threat Reduction Efforts with Ukraine, Russia and Other Former Soviet Union Countries’. The US military claimed that following the collapse of the Soviet Union, Washington has “worked collaboratively to improve Ukraine’s biological safety, security, and disease surveillance for both human and animal health,” by providing support to “46 peaceful Ukrainian laboratories, health facilities, and disease diagnostic sites over the last two decades.” These programs have allegedly focused on “improving public health and agricultural safety measures at the nexus of nonproliferation.”
 
Wao waendelee kushusha mvua ya mabomu wateketeze maabara zote wanazozishuku,wapaache pasafi.
 
Urusi haeleweki anachokiamini .., UN walipopiga kura na kuamua kwa kauli Moja kwamba hawatambui kile kiinimacho anachoita referendum na kuyanyakua maeneo hambayo ni sehemu halali ya taifa la Ukraine, jamaa walikuja juu huku wakidai hawaitambui UN ,wakaongea kila lililo BAYA kuhusu UN ..,Leo hii hao hao wanakimbilia UN kupeleka madai Yao..,hazijapita hata wiki 2 wanarudia matapishi Yao,

Ndio maana siku zote tunasema huyu dikiteta wa urusi ni kama kuku aliyekatwa kichwa, hajui lipi afanye, lipi asifanye..,Kwa Sasa ni kama anarusharusha miguu kwa mara ya mwisho kabla ya kukata roho
 
9720f514-50b1-46e7-bd2a-c7f3458097fa.jpg

Hawa hapa walikuwa kwenye maabara
 
Russia alikuja juu lini kisa kutotambuliwa kwa sehemu zilizopiga kura ya kujitenga? Unafikiri Urusi hakujua kama uko UN kuna mataifa pinzani dhidi yake? Kama Crimea haijatakbuliwa na UN anzia 2014 kuwa iko Urusi ndo ategemee wazitambue hizi seeious? Nikuambie tu kuna Vitu wakifanya hawa wakubwa wawili we utambue usitambue hawabadiliki katu.

Nakukumbusha America alienda vitan nchi Iraq bila idhini ya UN, Majuzi hapa US aliitakbua Jerusalem kama makao makuu ya Islaer ijapokuwa Jerusalem ni sehemu yanye mgogoro kati ya Israel na Palestina wote wakisema ni sehemu yao, baada ya US kuitambua walikuwa wahadhina wenzake wakamuunga mkono japo kitu kama hicho wakienda kwenye UN hakiwezi kukubaliwa katu.

Alichokitaka Russia ni kufanyike uchunguzi wa uwepo wa hizo maabara za kibailojia ambazo pia kwasasa ziko hatua ya mwisho kutengeneza bomu chafu, anatoa tahadhari mapema ili yakija kutokea huko mbele wafadhali wa michezo michafu wajulikane wazi.
 
Na baada ya urusi kuyatambua maeneo yaliyonyakuliwa kama ardhi yake huko ukraine kipi kimebadilika
 
Wao wanatengeneza Nyuklia mbona Ukraine hawajafungua mashitaka , pia wao wanazo BIOLABS ila inawauma kwa Biolabs za Ukraine
 
Urusi haeleweki anachokiamini .., UN walipopiga kura na kuamua kwa kauli Moja kwamba hawatambui kile kiinimacho anachoita referendum na kuyanyakua maeneo hambayo ni sehemu halali ya taifa la Ukraine, jamaa walikuja juu huku wakidai hawaitambui UN ,wakaongea kila lililo BAYA kuhusu UN ..,Leo hii hao hao wanakimbilia UN kupeleka madai Yao..,hazijapita hata wiki 2 wanarudia matapishi Yao,

Ndio maana siku zote tunasema huyu dikiteta wa urusi ni kama kuku aliyekatwa kichwa, hajui lipi afanye, lipi asifanye..,Kwa Sasa ni kama anarusharusha miguu kwa mara ya mwisho kabla ya kukata roho

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin mpumbav muoga na hajielew , Hitler alikuwa na msimamo alipowasha moto alitembeza kipigo bara la Ulaya mbaka kwa wanywa vodka , washukuru USA kuingilia kati kipind Hitler kadhoofika , ila nayeye angejaa kweny 18 mwanzon mwa vita angeisha mapema tu
 
Russia alikuja juu lini kisa kutotambuliwa kwa sehemu zilizopiga kura ya kujitenga? Unafikiri Urusi hakujua kama uko UN kuna mataifa pinzani dhidi yake? Kama Crimea haijatakbuliwa na UN anzia 2014 kuwa iko Urusi ndo ategemee wazitambue hizi seeious? Nikuambie tu kuna Vitu wakifanya hawa wakubwa wawili we utambue usitambue hawabadiliki katu.

Nakukumbusha America alienda vitan nchi Iraq bila idhini ya UN, Majuzi hapa US aliitakbua Jerusalem kama makao makuu ya Islaer ijapokuwa Jerusalem ni sehemu yanye mgogoro kati ya Israel na Palestina wote wakisema ni sehemu yao, baada ya US kuitambua walikuwa wahadhina wenzake wakamuunga mkono japo kitu kama hicho wakienda kwenye UN hakiwezi kukubaliwa katu.

Alichokitaka Russia ni kufanyike uchunguzi wa uwepo wa hizo maabara za kibailojia ambazo pia kwasasa ziko hatua ya mwisho kutengeneza bomu chafu, anatoa tahadhari mapema ili yakija kutokea huko mbele wafadhali wa michezo michafu wajulikane wazi.
Kisa kaka ako ni shoga na ww ukiwa shoga ni sawa tu ?
 
Tena wapigwe nazo waangamie kabisa!
yeye aliyofanya katika nchi ya Ukrane ni sawa?
Mshezi na katili mkubwa sana huyu Putin!
 
Back
Top Bottom