kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mke na watoto wawili lakini napenda sana mabarmaid

    Wakuu, hii inaenda kunipoteza, hapa nilipo nimetoka kidogo kupiga vyombo ila kuna huyu barmaid nisipoondoka nae leo sidhan kama nitalala. Yaan hii kama ni fetish basi nimekamatwa mwenzenu, naenjoy sana kubaiolojiana na mabarmaid kuliko pisi za kawaida wakifuatiwa na masecretary. Wataalam...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi moja, kwanini Prof. Mbarawa aseme aliyosema kuhusu mkataba wa bandari

    Katika mkutano wake hivi karibuni na viongozi wa bandari, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, alitoa taarifa kwamba Zanzibar haikuwemo katika mkataba uliosainiwa kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji katika bandari. Sababu ya kutolewa taarifa hii ni kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuwapa bandari DP World tumetafakari kuhusu usalama wa nchi yetu?

    Watanzania, Bunge letu, Bandari ni zaidi ya tunavyofikiria. Usidhani kwamba ni kupokea containers za mizigo ya kawaida tu. Yapo mambo mengi mno ya kijasusi ambayo hatujayafanyia upembuzi yakinifu. 1. Asilimia kubwa ya zana zetu za KIVITA hupitia Bandarini. Je, tukiwapa DP kutakuwa Tena na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitahadharisha Kenya kuhusu ongezeko la Kodi

    Benki ya Dunia imeionya Kenya kutokana na ongezeko la kodi katika mwaka mpya wa fedha ujao, ikisema ongezeko hilo linaweza kupunguza na kuathiri shughuli za kiuchumi katika nchi hiyo. Muswada wa Wizara ya Fedha wa 2023 Kenya unapendekeza ongezeko la kodi kwenye maeneo kadhaa na kupendekeza kodi...
  6. JamiiForums Tanzania Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

    Baada ya kufanya utafiti mdogo imebainika kuwa wengi wa wapiga kelele kuhusu bandari ni wale walio zoea kupitisha mizigo kimagendo yaani kupitisha mizigo kwa kukwepa kulipa malipo halali. Lakini wengine ni lile kundi ambalo lina danganya nyaraka mfano mtu kaingiza kontena 100 akidai kwamba...
  7. JamiiForums Tanzania Na sisi Watanzania tufanye nini kuhusu DP World?

    Watanzania tambueni haya kuhusu DPW:- Eneo lihitajilo wafanyakazi 100 kwa kawaida Dubia Port hupunguza na kubaki 2 pekee hii ni kwa sababu ya mifumo ya TEHAMA. Tarajieni CEO na wasaidizi wake wahindi kama ilivyo mahali pengine palipo wao. Wenye maroli wajiandae kulia maana wale CEO's wa DPW...
  8. JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari: Je, ni serikali ilimtafuta mwekezaji au mwekezaji aliitafuta serikali ya Tanzania?

    Habari, Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ameonekana akiongea bungeni na kumbi zingine nje ya Bunge akiwataka Watanzania wafungue moyo kupokea neema kutoka kwa Mwekezaji sijui anaitwa D World. Swali la wananchi kwa serikali liko hivi: Je, ni serikali ilimtafuta Mwekezaji au mwekezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

    Vijana wa Kitanzania, Msione tabu au uvivu kukisoma kilichopo chini, ni kwa manufaa yenu na ya Tanzania kwa ujumla. Jana kuamkia leo ilibidi nifanye mawasiliano na Diaspora wa Tanzania waliopo Dubai. Nia na dhumuni ilikuwa ni kutafuta connection ya kuwatafutia vijana fursa za kazi ndani ya DP...
  10. JamiiForums Tanzania Fahamu Kuhusu Outsourcing and Managed Ventures

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Leo nimeona nilete mjadala mdogo kwa ajili ya wale ambao wanatamani kuazisha biashara ila hawajui ni aina gani ya biashara waanzishe na watumie mfumo gani wa kuianzisha na kuiendesha.Mada ya leo...
  11. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais mbona hamumsaidii kujibu hoja za Mkataba wa Bandari!

    Wateule wa Rais Katibu Mkuu, Katibu Mwenezi, Makamu Mwenyekiti Taifa, Wenyeviti na Makatibu wa CCM Mikoa, UVCCM, UWT na Mawaziri, siwaoni wakimsaidia Mama Samia, Rais na Mwenyekiti wa Chama Taifa kujibu hoja za uwekezaji wa bandari! Kwenye maamuzi ya Rais Samia siku za nyuma waliitisha press...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu mgomo uliopo katika mtandao wa 'Reddit'

    Habari wapenzi wasomaji! Leo nataka kuongea nanyi kuhusu mgomo unaoendelea kwenye Reddit na API yake. Kama mnajua, Reddit ni moja ya mitandao maarufu zaidi ya kijamii ambapo watu wanaweza kushiriki maoni, habari, picha na video za kuvutia. Lakini hivi karibuni imeingia katika ugomvi mkubwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Propaganda (uzushi) maarufu kuhusu kupunguza uzito (unene) na vyakula (diet)

    Uzito mkubwa na unene ni moja ya changamoto kubwa inayowapata watu wengi sana katika maeneo mbalimbali hapa duniani. Katika bandiko hilii tutazungumza baadhi ya mambo ambayo ni propaganda juu ya hii inshu na mambo ya vyakula,na namna unaweza kufanya ili kupungua uzito. NAWASALIMU KWA JINA LA...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Kumekuwa na shutuma nyingi sana za kumshutumu Magufuli kuvuruga uchaguzi wa mwaka 2020 lakini watowa lawama wote ukiwauliza alivurugaje au aliiba vipi kura hakuna atakayekupa jibu. Sasa leo nimewiwa kuwaondowa gizani, kama mtakakumbuka Magufuli aliwaita maafisa watendaji wote wa Kata Tanzania...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ufafanuzi kuhusu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

    Wataalam naomba aliyeelewa sentensi hizi zinahusu hii barabara ya pugu-mbezi- mwisho hadi bunju anisaidie ufafanuzi. Make mimi mchanganyiko wa maneno sikuuelewa kabisa. Naomba mtu anayeelewa anifafanulie hii barabara niielewe plz
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiti unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao hata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu, sijui kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija kama vijana wanawaza mambo yasiyo na maana na hawawezi kujitegemea. Kundi la watu angalau wapo timamu ni over 35.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

    Wengi wa vijana mawazo yao ata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu ,sijui Kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija Kama vijana wanawaza: Ushoga Ukahaba Hawawezi kujitegemea,wanalishwa na wamama Tena wazee Kamari Kula bange Ulevi na shisha Kulelewa na majimana Trisome Unga...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya rasmi ya Shirika la Nyumba (NHC) kuhusu utekelezaji wa Sera ya Ubia wa Uwekezaji

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limetoa ufafanuzi kuhusu taarifa za wapangaji wa majengo ya nyumba za shirika hilo waliopo Kariakoo Jijini Dar es Salaam kutoa malalamiko kuwa wanahamishwa pasipokuwa na mazungomzo yoyote baina ya oande zote mbili. Hii hapa taarifa kamili kutoka NHC…...
  19. JamiiForums Tanzania Waraka wa wataalam wa maabara Tanzania kuhusu ajira za TAMISEMI na Wizara ya Afya

    Habari ya majukumu wana JamiiForums, Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, kuna waraka ambao umetolewa na wataalamu wa maabara kuhusu ajira zinazotolewa na serikali. Binafsi Nimesoma na kuelewa lengo, pia naunga mkono hoja za wataalamu wetu. karibuni kwa nyongeza ya maoni...
  20. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa

    (Kwa mujibu wa Katiba ya JMT. Ibara ya 18(2): Ndugu Waandishi wa Habari, Kwa kutumia Haki yetu ya Kikatiba, “ Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za Wananchi, na pia juu ya maswala muhimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…