Aisee shughuli ya kuhamisha vitu while looking for a house ni kimbembe si cha dunia hii.
Hivi business people wameshindwa kabisa kuweka kama warehouses for people to rent kasehemu hapa mjini kuweka vitu kwa muda kwa mwezi kwa bei nafuu kwa sisi walala hoi Jaman.
Kuliko kuanza kutafuta nyumba...