Mkuu wa jeshi ya Ulinzi ya Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuondolewa kwa vikwazo vya matumizi ya mitandao ya kijamii kufuatia kukamilika kwa mchakato wa uchaguzi nchini humo.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) leo Januari 26...
Kufuatia Askofu Dr Josephat Gwajima kutoa ultimatum ya siku 10 kwa kanisa lake kufunguliwa, taarifa za chinichini zinasema kwamba serikali, kupitia msajili wa vyama vya kijamii, iko mbioni kuandaa press conference kwa ajili ya kujiokoa na zahma ya bomu atakalolipua Gwajima ikiwa siku zitaisha...
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe Paul Chacha ameagiza viongozi wa vyama vya msingi vipatavyo 32 vya wakulima wa Pamba wilayani Igunga wakamatwe mara moja na kufunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi baada ya kubainika wamechezea mizani ya kieletroniki maarufu kama mizani janja ya kupimia uzito wa Pamba...
Tumezoea kuona hizi balozi za nje mfano Marekani, EU n.k zilizopo hapa nchini zikitoa matamko ya kulaani pale zinapoona kuna uminyaji wa demokrasia nchini, lakini hawamu hii tangia kukamatwa mwenyeketi wa CHADEMA taifa Tundu Lissu na kuwekwa kolokoloni ni kimya kimetawala hamna ubalozi uliotoa...
https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb
➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini..
➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umesikitishwa na kukamatwa na kufunguliwa kesi ya uhaini, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu, ambapo wametoa wito kwa mwendesha mashtaka kuondoa kesi hiyo au kubadili hati ya mashtaka ili kumuwezesha kuachiliwa kwa dhamana...
Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona uwanja huu ukitumika kwa michezo rasmi. Uwanja hiu ulifungiwa wiki kadhaa zilizopita, Swali la kujiuliza...
SEKONDARI MPYA YA KIJIJINI BUTATA YAKARIBIA KUFUNGULIWA
Serikali yetu inajenga sekondari mpya tatu (3) ndani ya Jimbo letu la Musoma Vijijini, na kila ujenzi/mradi umepewa Tsh milioni 584 (Tsh 584m)
Sekondari hizo mpya zinajengwa:
(i) Kijijini Butata, Kata ya Bukima
(sekondari ya pili ya kata...
Shule zetu zinafungwa na kufunguliwa siku moja nchi nzima. Inawezekana wazo hili lina nia njema na manufaa.
Hata hivyo, naona utaratibu huu una changamoto ambazo zina athari kubwa mno kwa wanafunzi na wazazi.
Baadhi yake ni changamoto ya usafiri, malazi na chakula safarini. Vyombo vya usafiri...
SEKONDARI INAYOJENGWA KWA NGUVU ZA WANAKIJIJI KUFUNGULIWA MWEZI HUU (Januari 2025)
Kijiji cha Muhoji kimeamua kujenga sekondari yake ili kutatua tatizo la umbali mrefu wanaotembea watoto wa kijiji hicho kwenda masomoni kwenye Sekondari ya Kata iliyoko Kijijini Masinono - umbali wa zaidi ya...
Wakenya wajanja sana.
Wametafuta njia ya kuyachota mahela ya msanii Diamond, njia pekee waliyoona ni kumwalika kwenye show na kutengeneza mazingira ya yeye kuvunja mkataba.
Paap akaingia kwenye mfumo kwa kuvunja mkataba na sasa anaelekea kudaiwa mabilioni kama fidia.
ZAHANATI MPYA KUFUNGULIWA LEO KIJIJINI NYABAENGERE, KATA YA MUSANJA
Utoaji wa Huduma za Afya waendelea kuboreshwa ndani ya vijiji vya Jimbo la Musoma Vijijini.
Kata ya Musanja yenye vijiji vitatu (Mabuimerafuru, Musanja na Nyabaengere) haikuwa na zahanati hata moja - wanatembea umbali mrefu...
Kupata taarifa zote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kila mkoa ingia hapa: LIVE - LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Katika hali isiyokuwa ya kawaida inadaiwa kuwa masanduku matatu (3) ya kura...
Wakati shughuli za uokozi wa jengo la ghorofa kuporomoka zikiingia siku ya tatu leo Jumatatu, Novemba 18, 2024, maduka yaliyo eneo la Msimbazi na yale ya Mchikichini, Kariakoo jirani na jengo hilo yamezuiwa kuendelea na biashara.
Mbali na maduka, usafiri wa umma yakiwamo mabasi ya mwendokasi...
Tunakushukru Eee Mungu Baba kwa pendo lako kuu umetulinda na hatari zote za mwili na roho tumeamka salama tunazo changamoto ndani mwetu kwasababu sisi ni wahitaji Bwana
Tunaomba ututendee wema wako sisi wahitaji katika maeneo yetu ya uhitaji wetu Eee Bwana Tutakapoyakabili majukumu basi...
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo
Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa.
Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa hiyo imetolewa na mdogo wa marehemu, Moses Mapunda.
Baada ya taarifa hiyo, baadhi ya waombolezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.