kufunguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Maombi ya usiku wa manane kufunguliwa milango yako ya baraka usiku huu ikafunguke🙏🏽

    Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
  2. Magical power

    JamiiForums Tanzania Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini Mungu afanye kwako

    Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini mungu afanye kwako.🙏❤️
  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Waombolezaji watoa Heshima za Mwisho wa Mwigizaji Grace Mapunda (Tessa) bila kufunguliwa Jeneza

    Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa. Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa hiyo imetolewa na mdogo wa marehemu, Moses Mapunda. Baada ya taarifa hiyo, baadhi ya waombolezaji...
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaahirisha Shule kufunguliwa kwa Mafuriko

    Serikali imeahirisha kufunguliwa kwa Shule kwa Wiki moja kutokana na mafuriko yanayoendelea ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 80. Taarifa ya Waziri wa Elimu, Ezekiel Machogu imeeleza kutokana na athari za Mafuriko si sawa kuhatarisha maisha ya Wanafunzi na Wafanyakazi, hivyo...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwenye makaburi ya halaiki Gaza maiti waliofukuliwa wengine wamefungwa mikono na wengine dripu hazikuwahi kufunguliwa

    Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha na kusikitisha sana baada ya watu waliokuwa wanatafuta ndugu zao kugundua maiti wengi wakiwa na...
  6. ezekeo

    JamiiForums Tanzania Msaada kufunguliwa kwa namba yangu kutumia WhatsApp business

    Wakuu Namba yangu imefungiwa kutumia WhatsApp business. Kuna taarifa nyingi za muhimu sana nazihitaji kutoka kule WhatsApp Business. Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya ili namba yangu iweze kuruhusiwa kutumia tena WhatsApp Business. Ahsanteni
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kufungwa mashine, kutasababisha maji kufunguliwa bure Bwawa la Nyerere

    Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo. Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa linapaswa kufikia Mita 184 kutoka usawa wa bahari. Kusua kusua Kwa mradi na kuchelewa Kwa kufungwa...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Daraja la Kigamboni lakusanya bilioni 83 tangu kufunguliwa 2016. Makusanyo yafikia 1.3B kwa mwezi

    Daraja la Kigamboni ambalo linaunganisha mji wa Kigamboni limekusanya bilioni 83 kama tozo za kuvuka daraja kwa miaka saba iliyopita.Daraja la Kigamboni lilijengwa kwa gharama ya $ 135 bilioni(337.5 bilioni)na kuwa la aina yake Afrika Mashariki. Daraja la Nyerere ni mradi wa pamoja kati ya...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kituo Cha Kimataifa Cha Biashara Afrika Mashariki (Ubungo), Kufunguliwa June 2024

    Mkurugenzi Mkuu wa kituo Kituo Cha Kisasa Cha Biashara Afrika Mashariki Cathy Wang akizungumza kwenye maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa (Sabasaba) yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam amesema kituo hicho kinatarajiwa kufunguliwa mwezi June mwakani...
  10. Sagungu 1914

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya kesi kutupiliwa mbali kisheria?,na je ikiwa imetupiliwa mbali haiwezi kufunguliwa Tena?

    Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nchi inazidi kufunguliwa, ukizubaa shauri yako

    NCHI INAZIDI KUFUNGULIWA, UKIZUBAA SHAURI YAKO. Anaandika, Robert Heriel Naona nchi inazidi kufunguliwa, wageni Kutoka Nchi za ng'ambo wanazidi kumiminika. Majiji makubwa yamesongwa na wageni wa tabaka za Kati na zajuu. Kazi kwenu vijana na wamama kuchangamka. Nchi ikifunguliwa inakuwa na...
  12. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tawi la Yanga Afrika kufunguliwa Lubumbashi

    INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩 Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo Nchini Dr Congo, Wanachama wapya wa klabu hiyo Nchini DR. Congo wameiomba klabu hiyo ikazindue matawi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Malawi yatangaza kuchelewa kufungua Shule kutokana na Kipindupindu

    Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...
  15. Congo

    JamiiForums Tanzania Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  16. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Bei ya chakula na dhana ya kufunguliwa kwa Mipaka Nchini

    Na Taban J Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na Kenya hivyo kusababisha upungufu wa chakula na kupelekea bei ya mazao kupanda. Huku lawama ikibebeshwa...
  17. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  19. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA? Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo? Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
Back
Top Bottom