kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo/masharti gani wkt wa kufungua case CMA

    Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures hazikufuatwa Naomba kujua nikifungua shauri CMA...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

    Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) - Ubungo, leo Agosti 1, 2025

    Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/khT-HcF4C3w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua holding Company

    Habari zenu Wakuu, Naitwa Augustine na miaka 28 nimefanya kazi kwenye kampuni mbili tofauti ya civil engineer na Insurance broker yote hayo ndani ya miaka mitano. Hivi sasa na miaka 28 na nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu binafsi nilikuwa naomba mnishauri procedure nazo takiwa kuzifata...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kufungua saloon ya kiume kwa ajili ya usafi na urembo.

    Huduma kama 1. Kusafisha kucha Wanaume wengi wanajisahau sana suala la usafi wa kucha, unakuta kucha zimeweka weusi pembeni, nadhan pia ndio wanachangia kuongezeka kwa UTI na infection kwa wadada, kucha sharti ziwe safi. 2. Kupuliza perfume Wanaume wengi wanaharufu kali wengine asili wengine...
  7. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Nimefikiria kufungua mahakama yangu ya kimila je haitakuwa kosa kisheria?

    Mimi ni mlozi, tena ni mlozi mzuritu. Nimepata wazo nyumba yangu niigeuza mahakama ya asili (kimila au kichawi) Yaani niweke bango barazani niandike kalibu mahakama ya asili. Majukumu yake ni Kushughulikia haki, mali ndoa nk Mfano Umeibiwa na unataka kumloga mwivi wako unakuja...
  8. McLaren

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Sudan iko mbioni kufungia WhatsApp calls na WhatsApp videos wakitaja sababu za kiusalama

    Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano na Posta Sudan imetangaza kufungia huduma za simu na video kupitia WhatsApp kuanzia Ijumaa, 25 Julai, ikidai sababu za kiusalama. Ujumbe wa maandishi na makundi ya mawasiliano hayajaathirika. Uamuzi huu umekosolewa vikali na wanaharakati na wataalamu wa sera...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Jopo la wawekezaji kutoka India kufungua fursa za kiuchumi Zanzibar

    JOPO LA WAWEKEZAJI KUTOKA INDIA KUFUNGUA FURSA ZA KIUCHUMI ZANZIBAR
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nina Millioni 1 nataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua grosari (mini pub)

    Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub. Nianze na nini na nini? Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Waliochukua fomu karibuni kwa Mwamposa

    Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote. https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
  12. L

    JamiiForums Tanzania Haya ni mambo matatu ya kuzingatia kabla ya Kufungua Kampuni

    Kampuni ni model ya biashara inayopendwa sana na ambayo infant ni rahisi sana ku scale. Lakini Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla hujafanya maamuzi ya kufungua Kampuni; 1. Capital Mtaji una play part kubwa sana ya Kampuni, ni lazima ujue unahitaji kuandika ni capital kiasi gani utaanza...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Poverty- watu hawajawahi kufungua bomba!

    kuna mamilioni ya watu tanzagiza tangia wazaliwe hawajawahi kufungua bomba la maji, hapo wala sijaongelea switch ya umeme kuwasha taa. let that sink in, karne ya 21 mtu hajui jinsi ya kufungua bomba la maji na hajawahi kuliona, na siyo mtu mmoja mamilioni ya watu, thats how poor na backward we...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya kufungua collage ya urembo, mapambo na cherehani

    Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k Sasa huwa ninakosa pa kuanzia. Sijui. Cost yake yaani kiufupi sijui pa kuanzia Natamani kupata mtu wa...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jukumu la Mangungu pale Simba ni kufungua na kufunga vikao tu

    Mangungu pale Simba ni sawa na jibwa lisilo na meno Mashabiki wa Simba ambao hawaijui hata kurasa 1 ya katiba ya Simba ndo hutokea na kumlaumu Mangungu pale timu inapofanya vibaya 1. Mangungu pale Simba ndo Mwenyekiti upande wa Wanachama ila kwenye bodi yeye ni mjumbe tu, hana maamuzi Mkubwa...
  16. Abdu khalifa rehani

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikifungua X (Twitter) inanipa option ya ku verify na nikibofya haikubali?

    HABARI WAKUU NAOMBA MSAADA WA KUFUNGUA TWITTER KILA NIKIFUNGUA INALETA NI VERIFYING ILA NIKIJALIBU HAIKUBALI SHIDA NINI WAKUU HAPO?
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wanaharakati kufungua kesi dhidi ya serikali juu ya kukamata mali zake kwa utekelezaji wa hukumu

    Habarini, Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani. Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi. Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel huruhusiwa kwa makusudi ili uwe ushahidi wa kufungua milango ya kuhalalisha vita pana ?

    Tunavyoona baadhi ya makombora yakitua Israel, Je kuna yanayoruhusiwa maksudi ili Israel ipate uhalali wa vita pana ? Ni ajabu kidogo, japo Iran wanajikongoja kwa kutungua baadhi ya maeneo ya Israel yenye madhara makubwa kwenye video zinazorekodiwa ila ni ya kawaida kwenye casulities lakini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani yabariki mtu binafsi kufungua mashitaka yanayohusu "Haki za Msingi na Majukumu" ( Basic Rights and Duties Enforcement )

    Sijui kama tafsiri yangu ni sahihi lakini the take home message ni hii kama nilivyoinakiri kutoka Tweeter kutoka kwa Olengurumwa Asante timu y’a mawakili na jomo la Majaji Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa...
  20. xbin40

    JamiiForums Tanzania Yahusu: kufungua kampuni ya ulinzi

    Naombeni kujia tips za kufungua hii biashara na atakaenipa mawazo chanya ntamtumia zaidi kama msaidizi wangu katika kampuni yangu ijayo.. Twende kazi
Back
Top Bottom