kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kufanya kazi baada ya Kuanzisha Online TV

    Wakuu habari Nataka kuanzisha online tv. Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja Ni pm namba ya simu tuyajenge
  2. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Ukifungua macho yako, kila kitu kiko wazi

    No one will be part of the New World Order unless he carries out an act of worship to Lucifer. No one will enter the New Age unless he receives Luciferian initiation. Maana yake: Hakuna mtu atakayekuwa sehemu ya New World Order Hadi afanye kitendo cha ibada kwa Lusifa. Hakuna atakayeingia...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Natamani kufungua kesi dhidi ya WHO. Kwanini ugonjwa mmoja una chanjo zaidi ya 24?

    Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mshirika tufungue Zahanati

    Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo. Tuwasiliane kwa namba 0713851751
  5. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi za biashara zipo nyingi lakini tumeshindwa kufungua macho na kuziona

    Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
  7. Bullshit

    JamiiForums Tanzania Gharama za kufungua kampuni

    Hello JF members Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi. Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3. Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote kuhusu mavazi) Nyingine itajihusisha na maswala ya chakula (Grocery and food) Ya mwisho...
  8. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua namna ya kufungua Sanduku la Posta

    Jf ni sehemu ambayo najua inafikika kwa urahisi na kwa haraka kaliko kufika mpaka mjini kupoteza nauli kwenda ofisi za posta kupata taarifa hizi. Ninataka kufahamu na namba ya kupata Sanduku la barua lengo sio kuandika barua bali kwa ajili ya kupokea vitu ninavyoagiza.Vitu vya msingi kabisa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kufungua kesi kushinikiza Mbowe aachiwe

    Tutakwenda kufungua kesi Mahakama Kuu ili kushinikiza Mwenyekiti wetu wa CHADEMA, Freeman Mbowe aweze kuachiwa. Haya yamesemwa na John Mrema, Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA. Akihojiwa na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC)
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi tunaweza kufungua kesi ya madai kwa Wazungu kutokana na nyara walizochukua Afrika?

    Wakati wa Ukoloni Wazungu waliwinda wanyama na wakisafurisha nyara bila ridhaa yetu. Pichani ni urembo wa vichwa vya wanyama na ngozi, haya yalikua ni mapambo ya kawaida kwa Wazungu matajiri. Wanasheria wanaweza kufungua kesi ya madai?
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) hamuwatendei haki waonyeshaji/wafanyabiashara kwa kuchelewa kufungua mabanda

    Tangu maonesho ya 2021 SabaSaba yaanze hapa Kilwa Road Dar es salaam hapa kwenye Banda la Karume wafanyakazi wa TANTRADE wanachelewa sana kufungua mabanda/Maholi makubwa wanafungua saa nne au saa tatu na dakika zilizozosonga sana. MADHARA YA KUCHELEWA KUFUNGUA Waonyeshaji wanakosa muda wa...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania Sheria au Sera gani inayotuongoza katika kufungua uchumi kwa hisani ya wawekezaji?

    Salamu! Ni vyema tunaposema kuwa tunaenda kufungua uchumi kwa kualika wawekezaji wa nje tuwe na sera mahsusi na sheria dhibiti zinazotuongoza katika utekekezaji. Iwapo Sera na Sheria zetu ni duni katika hili tutegemee kuanguaka kiuchumi. Je, Sheria au Sera ya kufungua uchumi kwa hisani ya...
  13. Darren2019

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa dini husoma sala kwenye karatasi wanapokaribishwa kufungua shughuli?

    Nimekuwa naona mara nyingi kunapokuwa na ziara ya rais wale viongozi wa dini wanaokaribishwa kufungua shughuli kwa sala/swala wanakuwa na vikaratasi wanakuwa wanavisoma, najua ntaambiwa eti ili wasikosee wakatamka visivyo, mara protokali n.k, Hivi kwenye sala/swala kiongozi anaweza kuteleza...
  14. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kufunga na kufungua shule za serikali kwa likizo ya kumaliza muhula wa 1, 2021

    Waalimu naomba mnisaidie hii, Ratiba ya mwaka inaonesha ni tarehe ipi shule za serikali zinategemea kufungwa kwa likizo hii ya June 2021 na tarehe ya kufungua pia...?
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya: Baada ya msiba kuna ambao wanaibuka na kufungua midomo?

    Kuna anae ongelea Ranch ya Taifa kuwa imekufa as if amerudi juzi kutoka Ughaibuni.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Serikali mtusaidie kufungua mifumo tupate mikopo

    Jamani serikali fungueni basi mifumo ya mishahara ili Maafisa utumishi waweze kuingiza makato ya mikopo,sasa imekuwa kero zaidi ya wiki mbili sasa watu wanashindwa kupata mikopo Benki kwani tatizo nini? Watu wanahitaji ada za watoto, kuna wagonjwa na mengineyo lakini mifumo haifanyi kazi wiki...
  17. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Kusajili Domain yako kupitia UCC ya UDSM unapaswa ujaze fomu kwenye word document

    Kuna mambo fulani ukiyafikiria unaishia kuhuzunika tu. Ukienda University Computing Center ya University of Dar es Salaam, kama unataka usajili Domain Name kupitia UCC, unapaswa kujaza form iliyoko kwenye word format, kisha uwatumie. Ati hizi ndio taasisi za serikali zinazopaswa kutuondoa...
  18. Gamlemilwe

    JamiiForums Tanzania Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

    Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi
  19. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Raia wa kawaida nitafunguaje kesi dhidi ya mtu anayevunja Katiba ya Tanzania?

    Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja. Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo katika hili please share. Mimi na wenzangu kadhaa tumedhamiria kwa dhati kabisa kufungua kesi dhidi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, mauzo yanapungua kwenye duka langu

    Jamani kwema leo nikuja kitofauti kabisa. Mimi ninapenda kufanya biashara, sijaajiriwa ila nimejiajri kupitia taaluma yangu(...) Lakini pia nina biashara ndogo ya duka lengo nikubusti maisha. Sasa imekuwa mwanzoni nikifungua biashara mpya huwa inalipa sana yaani utauza juu kweli lakini baada...
Back
Top Bottom