kufungua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunapomaliza mwaka, tunaomba watalaam wa mambo ya kiroho mtuelekeze njia za kujitakasa na kufungua milango ya riziki

    Mwaka unaisha. Tunaingia mwaka mwingine. Katika maisha ya utafutaji, kuna vita nyingi, za kimwili na za kiroho. Kutiana nuksi, mikosi na kufungina riziki ni mambo yaliyojaa huku uswahili. Wakuu watalaamu wa mambo ya kiroho, tunaomba mtupe anglau formula za madawa ya kuoga kujitakasa kuondoa...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mdau una zawadi ya kufungua leo au kuna mchongo unauskilizia?

    Boxing Day inaadhimishwa tarehe 26 Desemba ikihusishwa na desturi ya kugawa zawadi au msaada kwa watu wa hali ya chini Boxing Day au ikifahamika zaidi kama Siku ya Zawadi ni muda wa kufurahia na kufungua zawadi za Sikukuu ulizopewa Mdau, una chochote cha kufungua? Ulipewa au ulitoa zawadi kwa...
  3. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  4. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tulitumia gharama sana kufungua Nchi; Sasa tunajifungia kimzaha mzaha

    Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema sisi huko hatuendi tunakwenda huku pengine...; Filamu tukaitangaza kuliko kutangaza kile...
  6. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhutubia na kufungua Bunge la 13, leo Ijumaa Novemba 14, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=qb1BTEzjtbI Pia soma: ~ Rais Samia kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu, leo Novemba 14, 2025 ~ Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua shule ya sekondari

    Wadau nipeni ushauri kwenye sector ya elimu, nataka kufungua sekondari vipi biashara katika sector ya elimu hasa sekondari Ikoje. Taratibu zipi zakufuata kufungua sekondari na vigezo Gani vyakuzingatia kudumu kwenye biashara na kupata watoto.
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa hewa huwa sio mzuri ndani ya Bus zenye viyoyozi (AC), bora kufungua vioo tu

    Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kufungua makanisa ya Gwajima ni kuchezea moto unaoweza kuliteketeza taifa

    Assalam alaikum Hatuwezi kuruhusu taifa letu liongozwe na fikra za dini moja au kikundi fulani pekee. Linapokuja suala la taifa, dini zote zina nafasi sawa na heshima sawa. Kitendo cha Gwajima kuishinikiza serikali kwa maneno ya vitisho kwamba asipofunguliwa makanisa yake “atamwaga mchele” ni...
  13. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Unataka kufungua biashara? Pita hapa

    Tuna huduma za vifurushi (packages) kwa watu binafsi, biashara ndogo, biashara kubwa, kampuni, na hata mashirika/taasisi. Tembelea ukurasa wa "Packages" kwenye website yetu (www . hamiadigital . com) Kwa wale wanaohitaji huduma moja moja, hizi ndio gharama zetu; T-Shirt za ofisi + Printing =...
  14. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa tusi hili na ushahidi naweza kufungua kesi?

    Kuna jamaa amenitukana matako ya bibi yangu Pia akasema navuta bangi na kuvuta unga mbele ya watu Je naweza kufungua kesi? Ushahidi wa simu ninao pia
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kijiwe cha kitimoto pembezoni mwa barabara. Je, wazo hili ni sahihi?

    Wakuu nimenunua eneo la biashara mji X na lipo pembezoni mwa barabara nzuri tu, moja ya biashara nayotaka kufanya eneo hilo ni kuweka kibanda cha kisasa cha nyama ya kitimoto. Sasa najiuliza Je, nitakuwa nimevunja sheria yoyote kwa kufanya hivyo ikiwa watakaokuwa wanapita eneo hilo ni ndugu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kufungua mfuniko huu!

    Wanajf ninaomba mnisaidie kwa anayejua,namna ya kufungua mfuniko huu wa chemba inayotoka chooni!Choo kimejaa maji nataka nizibue.
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata?

    Wakuu habari, Hivi kuna mfanyabiashara au mwekezaji alikuwa anatafuta betting platform ya biashara ila amekwama jinsi ya kuipata ? Betting platform inahitaji uwekezaji mzuri na wa kiwango cha kati au cha juu. naomba kama kuna mtu alikuwa anafikiria kuwa nayo hivi karibuni tuwasiliane.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo/masharti gani wkt wa kufungua case CMA

    Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures hazikufuatwa Naomba kujua nikifungua shauri CMA...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Termination on fixed contract/ kufungua shauri CMA kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa muda maalum

    Habari za leo wadau na wajuzi wa sheria Naomba msaada wako wa kisheria Ikiwa nimeachichwa kazi isivyo halali nilikua na mkataba wa mwaka moja Ambapo ulianza mwaka jana, Nimeachishwa kazi mwaka huu kabla ya miezi 4 ya mkataba wangu kuisha na sababu zilizotolewa sio sahihi na procedures...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) - Ubungo, leo Agosti 1, 2025

    Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/khT-HcF4C3w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
Back
Top Bottom