kufunga

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kufunga minyororo magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho mijini ni utaratibu wa ovyo kabisa

    Siamini kabisa kwamba kuna wasomi walikaa sehemu wakajadili na kulipana posho za kikao kwamba: Magari yanayodaiwa ushuru wa maegesho (parking) Yaanze kufungwa minyororo ili kushinikiza wamiliki kulipia tozo hizo. Huu ni utaratibu wa hovyo sana 1. Huu utaratibu ni Hovyo kwasababu...
  2. The introvert

    JamiiForums Tanzania Olivier Giroud sio kufunga tu mpaka kwenye kudaja yumo

    Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Ni marufuku kwa TRA kufunga Maduka

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha maofisa wa Mamlaka ya Mapato (TRA), kuwafungia maduka wafanyabishara wadogo ni changamoto inayochochea kuwepo kwa uingizwaji holela wa bidhaa za magendo nchini. Nchemba amesema hayo jana Jumatatu Oktoba 2, 2023 wakati akizungumza na wananchi...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele ameshindwa kufunga goli hata 1 wakati timu yake ikiua goli 6 juzi

    Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi kigumu…
  5. Introverted

    JamiiForums Tanzania Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  6. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Usumbufu wa TRA kwenye kufunga ving'amuzi

    Ndugu wahusika kumekua na usumbufu mkubwa kwa kampuni zilizopewa tenda ya kufunga ving'amuzi kwa magari ya Transit. Bei hazieleweki, mtu akiamka ataviuza kwa 60,000/ siku nyingine mpaka inafika 80,000/ system zake zinasumbua, mda mwingine havisomi kwenye system. Vinaleta usumbufu sana kwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

    Yaani kabisa GENTAMYCINE na wana Simba SC Wengine akina rodrick alexander na SAGAI GALGANO tukupiganie halafu Usisikike na Usifanikiwe au Usilishinde tatizo lako linalokukabili? Sasa Phiri anacheza nina Furaha mno kwani ndiyo Mshambuliaji wangu bora kuliko Wote Kikosini Simba SC.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufunga Flat TV ukutani

    Wakuu kwema nyote, naomba nianze tatizo hili kuna jamaa kanunua flat screen na vile vichuma wakampa vya kuvungia ukutani, maana akisema aweke ikae kwenye meza anahofia watoto watasukuma. Sasa anatafuta fundi au jinsi ya kuifunga ukutani afanyeje? Natanguliza shukrani 🙏.
  9. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Hatuna teknolojia ya kufunga nguzo za zege? Naona zimekaa tu

    Kuna sehemu TANESCO wanafunga nguzo za zege? Kuna sehemu kama mbili naona zimekaa tu zaidi ya mwaka. Naona kama walizinunua bila kuwa na utaalamu wa kuzifunga, mbona sioni zikifungwa!
  10. Tarimofundiumeme

    JamiiForums Tanzania Pendezesha mazingira ya nje kwa kufunga Taa Hizi za Solar

    Taa za Solar za kufunga ukutani, Tsh 35000. zinawaka automatic jioni na kuzima asubuhi.unachagua mwanga unaopenda. tupo kariakoo dsm. 0747591578.call/whatsapp
  11. Msanii

    JamiiForums Tanzania Watanzania, huu ni wakati wa kufunga na kuliombea Taifa. Mkataba wa Bandari zetu ni mlango usiopendeza kwa haya yanayoendelea

    Amani iwe kwenu Watanzania Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeainisha wazi kwamba serikali haina dini na imeenda mbali zaidi kwa kutoa hakikisho lenye ulinzi wa Kikatiba wa Uhuru wa Kuabudu. Ingawa kiutekelezaji wake unahitaji ithibati ya serikali isiyojiingiza kwenye masuala ya...
  12. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miili ya walioagizwa kufunga hadi wafe nchini Kenya yafikia 372

    Idadi hiyo imetokana na kupatikana kwa Miili 12 katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, Kenya ambako utafutaji wa Wahanga waliotakiwa na Mchungaji Mackenzie Kufunga hadi Wafe ili kukutana na Mungu ukiendelea Waliookolewa wakiwa hai hadi sasa wamefikia 95 huku uchukuaji wa Vinasaba ukiwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Sanaa Zanzibar: Wanaume Wanaosukwa kama Wanawake kukamatwa, faini ni Tsh. Milioni 1 au kifungo cha Miezi 6

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imepiga marufuku tabia ya wanaume kusuka nywele na anayekamatwa faini yake ni Sh1 milioni au kifungu cha miezi sita au vyote kwa pamoja. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne, Julai 11, 2023, Katibu Mtendaji Baraza la Sanaa, Sensa ya Elimu na Utamaduni Zanzibar, Dk...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kuchakata, kusindika na kufunga bidhaa itatoa mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
  15. African Geek

    JamiiForums Tanzania Nina mwezi mmoja tu umebaki kabla ya kufunga ndoa. Ushauri wenu tafadhali

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni kijana mdogo niko kwenye early 20's. Nategemea kuoa kwa mara yangu ya kwanza na nimebakiza mwezi mmoja kabla ya kufunga ndoa. Je, nini nikifanye kipindi hiki nikiwa naelekea kuwa mwanamme kamili. Natanguliza Shukrani.
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuanzia tarehe 1/07/2023 hakuna kufunga biashara kwa kigezo cha mtu kukiuka taratibu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda, kauli yako ya kufunga Shule ni kama imedharauliwa au haijasikika. Chukua Kipaza Sauti

    Hii tabia ya watendaji wa Elimu kutotii maagizo ya boss wao either ni ishara ya dharau au ni kushindwa kutii maagizo kwa makusudi. Sisi wazazi tunasubiri watoto wetu kurejea nyumbani alafu wanatokea maafisa Elimu na wakuu wa dhule wasio na nidhamu kwa maboss wao kwa makusudi wanaamua...
  18. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam. Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)? Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba...
  19. haszu

    JamiiForums Tanzania Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Kariakoo: TRA wanatufuata nyumbani, wanatishia kufunga biashara zetu

    Mfanyabiashara huyo amesema, "TRA wanatufuata mpaka nyumbani jamani, tunaomba namba wakija ili tuwatumie picha, wanatutishia wanazuia Biashara zetu, kwanini watufuate nyumbani? Waziri Mkuu siwezi kukwambia kila kitu, hapa sio sehemu salama nipe namba nikufuate chemba, la sivyo nitahatarisha...
Back
Top Bottom