kufuga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Natamani kufuga kobe na tausi nitawapata wapi naombeni mwongozo.

    Nataka niweke hao wanyama nyumbani kwangu kuna mtu akaniambia tausi wapo ikulu na labda wanaopewa ni viongozi wakiomba.Nani anajua wapi nitawapa tausi kuhusu kobe nashangaa wameadimika sana mashambani ila nina imani nikitoa offer atafutwe lazima atapatikana.tausi nampataje na bei zake zipoje wakuu.
  2. L

    Niwekeze kwenye kufuga nguruwe au nifanye biashara ya duka?

    Habari wana JF husika na mada tajwa hapo juu' Mimi ni kijana wa miaka 23 baada ya kupambana na vibarua nimejikusanya mpaka nimepata milioni 7 ambapo nilitoa milioni tatu nikanunua kiwanja milioni moja nikaweka dharura ya kiafya pamoja na kodi za nyumba wakati mapambano yanaendelea hivyo...
  3. Ushimen

    Mpenzi wangu anakula sana kupitiliza, nimechoka hii tabia yake...

    Tumekua wachumba kwa muda na tulipanga kufunga ndoa lakini nimeshindwa aiseee. Kwanza kila tukitoka kwenda batani hajawahi kula kwa stara, yaani hajiheshimu kabisa kwenye kula mbwa huyu. Jana tumetoka out nikaagiza kongoro yeye akaagiza kuku mzima, minikajua atakula kiasi then abaki tunamfunga...
  4. chiziwafursa

    Je kibali cha takiwa ukitaka kufuga samaki kibiashara ?

    Nimesikia ukitaka kufuga samaki kibiashara watakiwa uwe na kibali maalum kinacho kuruhusu uweze kufanya huo ufugaji 1,je ni kweli au? . 2,kama ni hivyo je nitahasisi gani ina husika ? Nimekuja huku nahisi kwa urahisi na weza kupata watu wenye uzoefu na ufugaji wa samaki kwa...
  5. Planet Data bundles

    Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
  6. S

    Nataka kufuga bundi, lakini jamii hainielewi

    Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute! Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    Mkasa wa Marcelo kufuga nywele ili tu watu wasimchanganye na Robinho

    Baada ya Marcelo kwenda Real Madrid walikutana pale na Mbrazil mwenzake Ribson Robinho aliyekuwa star wa timu. Marcelo akiwa ananyoa kipindi hiko akajijuta anafanana sana na Robinho kiasi cha baadhi ya mashabiki kushindwa kuwatofautisha mpaka waangalie namba za jezi. Marcelo akaona isiwe tabu...
  8. Mhaya

    Mitume hawakuvaa kanzu au kufuga ndevu kwa sababu ya Uislamu

    Back in history, many years ago... Kulikuwa hakuna teknolojia, hivyo wengi walikuwa hawanyoi ndevu... Muislamu kusema kufuga ndevu ni culture ya uislamu, sio kweli... Maana nimekuta Sheikh anasema, watu wote kwenye biblia ni waislamu, mpaka yesu... Na ndio maana hata kwenye Movie za Yesu...
  9. Lycaon pictus

    Serikali za miji zingekataza kufuga maeneo ya miji na majiji.

    Nimeona mdau mmoja analalamika kero ya jirani yake anayefuga ng'ombe. Kwa nini serikali za miji hazikatazi kufuga maeneo ya mjini, badala yake wanakataza kulima mahindi na alizeti, vitu visivyo na madhara yoyote kwa mji? Huwa tunawaza kinyume nyume sana. Binadamu alianza kusumbuliwa sana na...
  10. chiembe

    Haji Manara hajui kufuga ndevu ni Sunna na amrisho la Mtume (S.AW)? Afananisha wanaofuga ndevu na mabeberu ya kihutu

    Haji Manara mi mwalimu wa madrassa na pia ameenda Umra, leo katika mitandao yake ya kijamii, amefananisha kufuga ndevu kwamba ni kufanana na beberu la kihutu. Hii ni sawa ndugu zangu waislamu? Binafsi naona haya ni makufuru ya hali ya juu na kuutukana uislam. Kufuga ndevu ni moja ya maamrisho...
  11. M

    Je, inaruhusiwa kuwekeza kwenye biashara ya kufuga nguruwe?

    Naombeni umshauri wale ambao mnaifahamu kuhusu dini Mimi ni muislamu Jina kwa maana siswali Ila familia yetu ni waislam. Katika kutafuta Biashara ya nyumbani hisiyo na usumbufu sana nikagundua NGURUWE wanafaa sasa ninaamini kwamba nikifuga nitatengwa au nitaonekana nimehasi dini. Sasa...
  12. BARDIZBAH

    Nataka kufuga mbuzi naomba ushauri wa yafuatayo

    Habari, Kwasasa nipo mkoa X nafanya kazi pahala kwenye kampuni fulani. NAfikiria mwez wa 12 nitoe kama 500k ninunue mbuzi kama 5 huko Tabora kwa bibi yangu. Namna ninayowaza ya kuwafuga ni kutafuta kijana wa hapo kijijini niwe namlipa 30k mwisho wa mwezi awe anawazingatia kwenye swala la...
  13. Minjingu Jingu

    Mbwa Mbegu nzuri ya kufuga

    Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote. Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale...
  14. KING MIDAS

    Je, unajipenda wewe na ndugu zako? Usithubutu kufuga hizi jamii 25 za mbwa, ni HATARI SANA

    Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako. Airedale Terrier Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu mno. Mbwa hawa wanajulikana kama Mfalme wa Uharibifu. Airedale Terriers wanapenda sana kucheza...
  15. CHIEF MGALULA

    Nataka kufuga nyuki kisasa

    Nimefanikiwa kupata shamba la ekarim kama 50 ambapo kati ya hizo 20 ni msitu, lina chanzo cha maji cha ukakika na nimeshauriwa nifuge nyuki kwa kutumia mizinga ya kisasa. Niefikiria kuweka mizinga 200 ya kisasa ambayo kwa wastani nipate madumu ya lita 20 kama 150 kila ninapovuna. Mizinga...
  16. Sambinyakwe kitololo

    Naomba ushauri juu ya kufuga kuku Hawa!

    Habari za mids hii Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa Sasa naomba kuuliza utaratibu ukoje kuhusu chanjo Ni ipi na Kila baada ya muda gani , je wakiwa...
  17. I

    Wasukuma kufuga fisi

    Ningekuwa nikisikia eti Kuna maeneo hapa Tanzania Wana ufugaji wa fisi. Wasukuma watani sijui niseme? Jambo la kujiuliza TANAPA wanalichukuliaje Hilo? Na vipi kwa Nini visiwepo vivutio vya utalii kule sengerema na gamboshi wazungu wakaleta pesa ya kigeni ya kuangalia fisi. Anyway mtwambie...
  18. LIKUD

    Watanzania acheni kufuga "Majini ya kizungu"

    Jini la kizungu ni nini? Jini la kizungu ni bunduki. Kazi ya jini la kizungu ni nini? Kazi ya jini la kizungu ni kuua. Ukifuga jini la kizungu nyumbani kwako jini litatarajia kwamba utalipa kazi yake ya asili( kuua) Litakuwa linasubiri ulipe damu. Usipo Lipa damu litaitaka damu yako...
  19. Mapunu jr

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki

    Niko mwanza maeneo ya igoma mwenye nguruwe wadogo wa kufuga anauza anicheki
  20. Ricky Blair

    Napataje Leseni ya kufuga wanyama pori

    Hivi nikitaka kufuga mnyama wowote pori Tanzania ikiwa nakaa naye mw na ulinzi mkali bila kuhatarisha mtu yoyote na majirani; utaratibu upoje?
Back
Top Bottom