Mkasa wa Marcelo kufuga nywele ili tu watu wasimchanganye na Robinho

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
328
1,209
Baada ya Marcelo kwenda Real Madrid walikutana pale na Mbrazil mwenzake Ribson Robinho aliyekuwa star wa timu.

Marcelo akiwa ananyoa kipindi hiko akajijuta anafanana sana na Robinho kiasi cha baadhi ya mashabiki kushindwa kuwatofautisha mpaka waangalie namba za jezi.

Marcelo akaona isiwe tabu, akaanza kufuga nywele ili tu ajitofautishe na Robinho, bahati mbaya walicheza msimu mmoja tu kabla ya Robinho kutimkia zake Man City ambapo huko nako upepo haukumuendea vizuri.
IMG_0092.jpeg
 
View attachment 2922296

Aisse kweli walikuwa wanafanana.
 
Back
Top Bottom