kufuata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kazanazo

    Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria Nawasilisha
  2. Idugunde

    Idu nacheka ninapofuatilia kesi ya Lissu. Kwamba mtuhumiwa anawafundisha waendesha mashitaka nini cha kufuata kisheria!

    Nakunywa zangu balimi huku nachanganya na Konyagi ndogo. Mtuhumiwa wa kosa la uhaini anatoa shule kwa mawakili wa serikali. Kwamba ushaidi mpya ni tofauti na ushahidi wa nyongeza. Hawa mawakili wa serikali wanalipwa mshahara kwa kodi za mkulima kama Idugunde
  3. Think2

    Tafadhali usivae hii bangili kwa kufuata mkumbo

    Umeona bangili kwa masai wewe ununua tu kisha unaivaa, bangili kama hizi hazivaliwi na kila mtu bali kwa maelekezo maalumu ya mizimu ya ukoo wenu. Katika jamii zetu watu wa kasikqzini mara nyingi hizi bangili huvaliwa na wazee wa ukoo huwa tunaita mate ndele au unakuta bibi mzee kabisa...
  4. Enthusiastic

    KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  5. gallow bird

    Ndege za jeshi la Marekani zaingia kwa wingi uUaya, Iran kufuata baada ya Venezuela!?

    Ndege za jeshi la marekani zinaingia kwa wingi uingereza na nchi zingine za ulaya ikiwemo uturuki Inaongeza wasiwasi kwamba huenda Iran itakumbwa na kile kilichoikumba Venezuela Iran kwa upande wao wameweka bango lenye picha za majeneza yenye bendera za marekani na Israel yenye ujumbe 'jalini...
  6. kimara Kimara

    Je, ni taratibu gani mtu anatakiwa kufuata ili apate hati miliki ya kiwanja/nyumba?

    Habari za muda Huu wadau, naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
  7. R

    Raia wa Kenya wanaoishi Tanzania wahakikishiwa Usalama na kuhimizwa kufuata Sheria za nchi

    Ubalozi wa Kenya jijini Dar es Salaam umeihakikishia raia wa Kenya wanaoishi nchini Tanzania kuhusu usalama wao, kufuatia machafuko yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu Kupitia taarifa iliyotolewa Novemba 5, 2025, Ubalozi huo ulisema kuwa ustawi wa Wakenya walioko Tanzania unabaki kuwa kipaumbele...
  8. S

    Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  9. Chizi Maarifa

    Ritz, Hawa Mayahudi mpaka sasa wangapi wameshafungwa kwa kufuata yale maamuzi ya SA?

    Once a Kobaz always a Kobaz. Nlikuwa namsoma Ritz akishaambiwa maneno na sheikh ubwabwa anakuja anzisha uzi JF na tatizo la Ritz lugha ya Kibeberu pia haifahamu. Ya kisunna pia haifahamu amekariri tu mistari ya Quran. Alikuwa aanzisha nyuzi daily, Netanyau kauawa, Israel wamehukumiwa kufungwa...
  10. Manepesa

    Taratibu za kufuata kitaifa na kimataifa unapotaka kutengeneza app yako ni zipi?

    Wakuu Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya "majangili" ya kuona project za watu na kukopi na kujipatia utajiri kirahisi kwa dhulma. Na kama Kuna...
  11. Isenye

    Huyu mkuu wa mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo kwa kufuata seniority au ni zawadi ili aendelee kulinda maslahi ya boss wake kwenye makaa ya mawe?

    Siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara mkoani Ruvuma ikiwemo kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo na kutembelea migodi ya makaa ya mawe ambayo kwa sasa inasemekana na yeye ni mmbia ,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma alipandishwa cheo ghafla kutoka kuwa kanali mpaka kuwa Brigedia General. Swali...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Ni nani anayeweza kusamehewa makosa yake ya zamani kwa kuanza kufuata sheria leo??

    Matendo ya zamani yanabaki ni makosa mbele za Mkono wa sheria hata kama ukiamua kuanza kufuata sheria leo. Kwa kusema hivyo kumbe mtu yeyote akiamua kuanza kuishi kwa kufuata sheria leo, makosa aliyoyafanya jana bado yanamhukumu. Ndio maana watu huomba msamaha kwanza ili wapate kusamehewa...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Tunaokolewa kwa Imani sio kwa kufuata Sheria

    Tunaokolewa kwa imani katika Yesu Kristo na sio kwa kufuata SHERIA. Tunahesabiwa haki kwa imani ndani ya Yesu Kristo na si kwa matendo ya sheria. Wokovu ni kwa neema kupitia imani ya Yesu Kristo, si kwa jitihada za kufuata sheria. YESU ANASEMA MKINIPENDA MTAZISHIKA AMRI ZANGU. KUSHIKA AMRI...
  14. McLaren

    GE2025 Sheikh Mohammed Mawinda: Walioko kwenye mfumo hawataki kufuata utaratibu. Vyama vinapotaka mambo yao wanatakiwa kufuata utaratibu

    Mmemuelewa huyu Sheikh lakini wakuu? Huyu mnadhani atakuwa ame-target chama gani hapa ambacho hakifuati utaratibu? ========================================== Akiwa anazungumza leo katika Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 amesema kwamba...
  15. matunduizi

    Kwa nini Ilani za vyama zisilazimishwe kisheria KUFUATA dira ya Taifa?

    Taifa liwe na dira ya miaka 50+ ijayo. Ifundishwe KWA Lugha rahisi kuanzia chekechea Hadi kwenye vijiwe vya kahawa mitaani. Kila Chama kilazimishwe kisheria kuandaa Ilani na malengo yake kuonyesha kitawezaje kutufikisha katika dira hiyo. Ni hayo tu Mtumishi Matunduizi
  16. L

    Naomba msaada wa taratibu za kuomba kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania

    Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili. Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025. Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply...
  17. Manyanza

    Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  18. Davidmmarista

    Ukweli kuhusu Dini Ulipo: Je, Tumekubali Imani kwa Kufuata Mapokeo au Uelewa wa Kweli?👇🏻

    Wadau Nina maswali machache hapa ningependa kufahamu: 1. Chanzo cha Dini: Ilianzia Wapi? Je, dini ziliundwa na Mungu au binadamu? Je, zilitokea lini na kwa nini kila tamaduni ina dini yake? Kabla ya Uyahudi, Ukristo na Uislamu watu waliamini nini? 2. Kabla ya Yesu (na Mitume), Watu Waliamini...
  19. Muimba SINGELI

    Sheria na taratibu za kufuata ili kuandaa pambano la masumbwi ni zipi? Kuna member watatu humu nataka niwadunde

    Bila kupepesa macho watu hao ni huyu jamaa anajiita Mume halali wa Ephen, mwingine ni huyu anajiita Mme Mwenza na watatu ni huyu secretarybird. Tajiri Sina BAYA nataka niwakunyuge kisawasawa hawa, tena ulingoni tukaingia wanne kwa pamoja, mimi nitakuwa mwenyewe tu wao watakuwa wananichangia...
  20. R

    Viongozi wa chama na serikali,tujifunze kufuata maelekezo na maonyo!Tumechoka kuzika wanachama!!

    TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao! KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active Kwa mstakabali ujao wa taifa!wao ndio walimshauri kikwete asimamie uandishi wa Rasimu ili baadae owe...
Back
Top Bottom