Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,417
- 7,568
Heshima zenu Wasomi wa jukwaa hili.
Naomba kuelekezwa hatua kwa hatua za kufuata kwa ajili ya ku apply kujiunga na vyuo vya Elimu ya juu hapa Tanzania,kwani nina mtoto wangu amemaliza kidato Cha sita mwaka huu wa 2025.
Naileta kwenu hoja hii ili mnipe maelekezo na njia zinazotumika ku apply kujiunga na masomo kwa vyuo vya Elimu ya juu.
Ninachoomba kwenu ni njia zipi zinazotumika kwa mwanafunzi anaetaka kujiunga na vyuo ili niweze kuzifuata mtoto wangu aweze kujiunga na chuo.
Naomba kuwasilisha