kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba PM Majaliwa amenyimwa uhuru wa kufanya kazi

    Je, Majaliwa wa 2015-2021 ndiye huyo wa sasa!? Ukweli ni kwamba, siye Majaliwa tuliye mzoea. Siye PM Majaliwa aliye wahi kuwa na uwezo wa kuchukua uamuzi mgumu kwa Watumishi wazembe wa Serikali. Na siye Kassim aliye ogopewa na Watendaji wazembe wa Serikali. Kwa hakika, Majaliwa kapoa kawa wa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mzee Wassira apinga CHADEMA kufanya maandamano. Adai viongozi wa chama hicho wanajua utaratibu

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amekosoa hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutaka kufanya maandamano kupinga miswada ya sheria za uchaguzi na ugumu wa maisha akisema ni dalili ya kupungua kwa uvumilivu nchini. Wasira amesema hayo leo Januari...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA kuanzia Mbezi Mwisho na Buguruni hadi Ofisi za UN

    Maandamano ya Jumatano, Januari 2024, yataanza Saa 3:00 asubuhi. Yatahusisha njia mbili kuanzia Mbezi Mwisho (Stand) na Buguruni, na yataishia Ofisi za UN, barabara ya Sam Nujoma, Dar es Salaam. Nakala za barua za taarifa ya Maandamano haya zimepelekwa kwa makamanda wote wa Polisi Wilaya...
  4. JamiiForums Tanzania Chanzo cha Taifa Stars Kuchukiwa na kuchangia kufanya vibaya

    Kumekuwa na hili swali watu wengi wamekuwa wakiuliza kuhusiana na team yetu ya Taifa. Ambayo imekuwa mara nyingi ikichukiwa na baadhi ya watu. Kwa nchi nyingine teams zao za Taifa zimekuwa chanzo cha upatanisho kwa wananchi. Yaani inapocheza wanasahau tofauti zao za kisiasa, kiimani, kiitikadi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Kushirikiana na Jeshi Kufanya Usafi Tarehe 23 na tarehe 24 Ili kuwela mazingira Safi ya Maandamano

    CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI "Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024

    Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi. John Mrema...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni anapwaya! Trafiki wanajiamulia cha kufanya, magari yanajiendesha

    Waziri wa Mambo ya Ndani ambaye jeshi la Polisi limo ndani yake anaonekana kufeli pakubwa na so far Mama Samia anamvutia pumzi. Waziri Masauni, ama kwa kujua ama kutokujua kuna makosa makubwa sana anayofanya. Watu kadhaa wanahofiwa kufariki baada ya ajali iliyohusisha gari aina ya Fuso (T 861...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wasukuma wanaoendelea kufanya hizi mila za kimabavu zilizopitwa na wakati wapewe kesi za ubakaji, mabinti waheshimiwe.

    Hata wasukuma walioelimika waliachana na utamaduni huu lakini kuna baadhi ya maeneo bado unaendelea kwa kisingizio cha kudumisha mila, Kuna baadhi ya maeneo ya wasukuma bado elimu ya kuachana na haya mambo haijafika kikamilifu, unawakuta wachungaji wa kisukuma wamevaa mavazi yao ya asili...
  10. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Watu wawili wanaodaiwa kuwa Majambazi wamefariki Dunia baada ya kujeruhiwa wakati wakitaka kufanya uhalifu

  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Jeshi litafanya usafi tarehe 23-24, basi CHADEMA ifanye maandamano tarehe 25 wapite njia zikiwa safi

    CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23. Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi. Hata hivyo suala la usafi ni suala muhimu Sana,, Hivyo CHADEMA nawashauri tarehe Hiyo wasofanye MAANDAMANO Yao...
  12. JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa alisema kufanya jambo lilelile kwa njia ile ile utarajie matokeo tofauti ni uwendawazimu

    CDM wamejaribu sanaa ya maandamano si jana si leo. Wameshakuwa na slogani nyingi, ukuta, katiba, M4C. Hakuna hata moja iliyowahi kufanikiwa. Mchungaji Msigwq alisema kwamba unapofanya jambo lilelile kwa njia ile ile, utarajie matokeo tofauti, ni uwendawazimu. Njia ya majadiliano imeleta...
  13. JamiiForums Tanzania Iran yalalamika kwa Houthi kupigwa, ilitaka waendelee kufanya chochote bila kunyooshewa kidole

    Ajabu sana yaani, kwamba hawa magaidi wa kidini ilipaswa waachwe waendelee kulipua meli za watu bila kufanyiwa chochote, jameni Mungu tulinde sana haya mataifa ya uzombi wa kidini yasije kuwa supapawa dunia hii..... In a statement on Friday, Kanaani described the attacks on Yemen as a clear...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa protokali hawana weledi, haikuwa sahihi kumuweka Hafidhi pembeni ya Kikwete Mapinduzi

    Katika sherehe za miaka 60 ya mapinduzi nilishtuka kuona pembeni ya mme wa rais ndugu Hafidh kukaa rais mstaafu Kikwete. Mpangilio huu ulimfanya Hafidh kukosa furaha na utulivu muda wote wa sherehe nadhani hii ilisababishwa na mzee wetu kutokuwa karibu na wanasiasa na wajeda. Kwa mujibu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inapaswa kuendelea kufanya maboresho katika uchaguzi wa shule za kata

    Wakuu habari za uzima? Leo nimeona nigusie kidogo kuhusu shule za serikali zinapofanya uchaguzi kwa wanafunzi waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari kutokea msingi. Kama sitakuwa na nimekosea mchakato wa kumuhamisha mwanafunzi kutoka shule aliyopangiwa kwenda shule nyingine huwa ni...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majeshi yote yanatarajia kufanya Usafi tarehe 23/24 January 2024 siku iliyopangwa kwa maandamano

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila ametangaza kufanyika kwa zoezi la usafi katika Wilaya zote 5 kuanzia January 23 hadi 24 January zoezi ambalo litahusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo vingine vya dola. RC Chalamila ameyasema hayo leo katika ibada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani inafundisha Wanajeshi wa Kiafrika kufanya Mapinduzi nchini mwao? Walioongoza mapinduzi Guinea na Burkina Faso ni zao lao

    Katika majibizano makali mnamo Machi 23, 2023, Congressman Matt Gaetz alimuhoji kiundani Kamanda wa Kamandi ya U.S. Afrika, Jenerali Michael Langley kuhusu Dola za Walipa Kodi wa Marekani zilizotumika kuwafunza Viongozi wa Kijeshi wa Mapinduzi barani Afrika Mnamo Januari 2022, Luteni Kanali...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Profesa Janabi hakuwa sahihi, si kila mtu anahitaji kufanya uchunguzi wa moyo kabla ya kuanza programu ya mazoezi

    Haina uhalisia Kauli yake itawafanya watu wengi waogope mazoezi Hatuna vituo vya kutosha vya kufanya uchunguzi kama huo Ni gharama kufanya chunguzi Watu wangapi umewasikia wakifa kwa sababu ya kufanya mazoezi? Madhara yake hutokea kwa nadra sana. Kumekuwa na elimu nyingi zinazotolewa na...
  19. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Day na DW: Mazungumzo Baada ya Kufanya Kipindi

    Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu. Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mambo ambavyo mwanaume unatakiwa kufanya au kutofanya

    Kwema wakuu Kuna mambo ambavyo mwanaume unatakiwa ufanye na mengine usifanye 1. Mwanaume hutakiwi kurudiana na mwanamke aliyekucheat. 2. Mwanaume hutakiwi kumpa mtu mkono ukiwa umekaa Mengine ongezeeni wakuu ili tuzidi kujengana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…