kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Yoon Suk Yeol: Taarifa za uongo zinaathiri wananchi kufanya maamuzi sahihi wakati wa uchaguzi

    Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol akiwa katika Mkutano wa Tatu wa Demokrasia uliofanyika Machi 18, 2024 ametoa wito kwa viongozi wote Ulimwenguni kuunga mkono jitihada za kukomesha taarifa potofu Yoon ameeleza Taarifa zisizo za kweli wakati wa Uchaguzi huweza kuathiri mchakato mzima wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Ujenzi Yajipanga Kufanya Matengenezo Miundombinu Iliyoathiriwa na Mvua na Kupunguza Foleni

    WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) itajikita katika kufanya matengenezo makubwa katika maeneo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gharama za kufanya Full Body Check-up katika Public and Private Hospitals Tanzania

    Itabidi ujikaze kupima tu, hakuna namna mzee! πŸ˜„, kila la kheri!
  4. JamiiForums Tanzania Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸš¨πŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡ΊπŸ‡·πŸ‡Ί Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze 🚨🚨🚨FLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na matapeli wa "ile pesa tuma kwenye hii namba". Ni kama vile wanapata taarifa tunapofanya miamala

    Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text. Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
  6. JamiiForums Tanzania Vifo vyafikia 80 huku ISIS waki-claim kufanya ugaidi huo Urusi.

    Nafikiri sasa Russia watajionea wenyewe chungu ya hawa radicals na caliphates ambao wamekuwa wakiwa-support kiaina. Wengine wana sema huo ni mpango wa CIA. Wengine wana sema ni mchongo wa Ukraine. Ila all in all, Rest in Peace kwa wahanga wote wa ugaidi wa kipumbavu kwa njia ya udangangifu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ipi sahihi; kufanya kazi kwa bidii au kufanya kazi kwa welevu?

    Wengi wanashauri, ili ufanikiwe lazima ufanye kazi kwa bidii; lakini miaka nenda rudi, kuna wasukuma mikokoteni wanafanya kazi kwa bidii, waponda kokoto wanafanya kazi kwa bidii, mkulima analima kwa bidii, mchoma mahindi anahoma kwa bidii, muuza nyanya anafanya kwa bidii n.k lakini maisha yao...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufanya aina yoyote

    Habari za wakati huu ndugu zangu. Mie ni kijana wa kiume, ninaishi Dar es salaam. Natafuta kazi ya kufanya (kibarua) aina yoyote, walau niweze kuishi na kupata chakula. Hali nayopitia sasa ni ngumu sana. Elimu yangu: Shahada ya Uhasibu Ujuzi: Microsoft office Excel Computer Kazi nazo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

    Yaani kama Roho zote za Timu zina Majeraha makubwa na mabaya bado tunategemea kabisa kumfunga Masandawana tatehe 30 hapa Kwa Mkapa Dar es Salaam? Mwaka jana Simba SC ilipoandamwa na Majeruhi wengi kuna Watu hapa JamiiForums mlifurahi sana hivyo nami GENTAMYCINE leo nafurahi mno kwa Azam FC...
  10. JamiiForums Tanzania Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Israel yashukiwa kufanya mazungumzo na kiongozi wa Doghmush clan, Hamas yaua kiongozi wao

    Hamas yavamia kikundi chenye msimamo mkali Doghumosh Clan Gaza city (13/3.2024) na kuua idadi kadhaa ya wapiganaji wao akiwemo kiongozi wao. Hamas walichukua hatua hii baada ya kikundi hicho kushutumiwa kuwa na mazungumzo na Israel. Hamas imeshawahi kuonya kuwa kikundi au mtu yeyote ndani ya...
  12. JamiiForums Tanzania Je uke wa umpendaye unatoa harufu mbaya? Msaidie kwa kufanya hivi.

    Je, Uke Wako Unatoa Harufu Mbaya? Hii Ndio Jinsi ya Kumaliza Tatizo Lako Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake za siri zinanuka. Inawatoa out of the mood, mwisho wake wanaconcetrate kudo fasta, wamalize hamu zao...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Mimi sikuja kutafuta wachumba, nimekuja kufanya kazi

    Rais wetu wa Jamhuri tukufu ya Tanzania Hayati John pombe Magufuli, u hai. U hai kwasababu Watanzania haipiti siku bila kukutaja kwa mema na kazi yako nzuri. Rais wangu leo hii tarehe 17.03.2024 tunapoadhimisha siku yako rasmi ya kuitwa katika makazi ya milele, majonzi na huzuni hutawala...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Salaam, Shalom. Ili pawe na Amani, huna budi kuwatisha waovu, KAZI hii ya kuhakikisha waovu hawachezei Sharubu za Serikali, Mungu alimsaidia Hayati Magufuli kuifanya kazi hiyo kwa ufasaha. Maeneo yafuatayo, alidhibiti kwelikweli; 1. MTANDAO WA WIZI WA PESA ZA UMMA Tumesikia Rais Samia...
  15. JamiiForums Tanzania Biteko awataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati kuacha kufanya kazi kwa mazoea

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka watendaji Wizara ya Nishati, Tanesco na REA kuacha mazoea na kutatua kero za wananchi. Dk Biteko ameyasema hayo leo Alhamisi, Machi 14, 2024 wakati akizindua mradi wa umeme jua utakaozalisha megawati 150 katika Kijiji cha Ngunga...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi wafurahia DC Katwale kuhamishwa. Wadai alijikita kufanya kampeni za ubunge kuliko kutatua kero zao

    Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari. Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani. Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi. Masalani pamoja na Chato kuwa karibu na ziwa Victoria bado kuna shida ya maji kubwa. Yeye kikubwa...
  17. JamiiForums Tanzania Aron Kagurumjuli, unawezaje kujigawa kufanya kazi za Ukurugenzi na Kazi za CCM kwa wakati Mmoja?

    Wakuu salaam Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi. Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani. Lakini pamoja na yote...
  18. JamiiForums Tanzania Kondomu zilizotumika zakithiri stendi ya Same, polisi waamrishwa kufanya doria usiku kuwakamata wanaotumia stendi vibaya

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amemwagiza Mkuu wa Polisi wa Wilaya hiyo kuanza doria nyakati za usiku katika stendi ya mabasi Same mjini, ili kuwabaini na kuwakamata wanaotumia stendi hiyo kufanya mambo yasiyo na maadili. Amesema kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilitumia eneo hilo la...
  19. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Njia za kutumia ukiwa hujisikii kufanya kazi kazini

    Saa zingine unaenda kazini ila hujisikii kufanya kazi, hizi ni baadhi ya njia ambazo unaweza tumia ili kupata wasaha kidogo usukume siku iende ujafanya kitu. Unawaza jitafakari, kutumia muda wako kujua kwanini hujisijii kufanya kazi siku hio, Umechoka? unamsongo wa mawazo? kuna mazingira ya...
  20. JamiiForums Tanzania Anapanga kufanya kisasi kwa Mke wake

    Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii, Nini maoni yako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…