kufanana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nchi Zinazofanania rangi za bendera au Kukaribia kufanana

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡จ Monaco ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ด Romania โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฉ Chad ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Netherlands โ€” ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡บ Luxembourg ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช Ireland โ€” ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Cรดte dโ€™Ivoire ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฐ Slovakia โ€” ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Slovenia ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia โ€” ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฟ New Zealand ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡น Haiti โ€” ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ฎ Liechtenstein (historical) ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia โ€” ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ Slovenia ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Belgium โ€” ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ Guinea โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Mali ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฏ Fiji โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ป Tuvalu ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ...
  2. Tabia ya Mtu kufanana na Mungu na tusio yaamini sana.

    Huenda ni kwasababu ya nidhamu ya uwoga na ujinga ndio sababu tumekuwa watumwa wa kifikra, Mapokeo mabovu ya kidini na Waalimu wanafiki ndio wametufikisha hapa tulipo leo katika fikra za kila mmoja wetu.. Ni maswali kuhusu huyu Mungu na nini anakifanya kwetu hadi sasa. Tabia Wajinga wengi...
  3. Tetesi: Aliyekutana na Trump Alaska hakuwa Putin halisi, alikuwa ni moja ya watu waliotengenezwa kufanana na Putin

    Moja ya tetesi katika ULIMWENGU wa habari njama ( Conspiracy Theories) ni KUWA aliyekutana na Donald Trump sio Putin ni mmoja kati ya watu ambao walitengenezwa kufanana na Putin. Ushahidi unaotolewa... Inaonekana huyu anamashavu makubwa. Pili hatembei kijasusi kama Putin halisi (KGB au...
  4. Gari mbili zenye usajili wa kufanana

    Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
  5. Waingereza wafia nchi(nationalists) wanalalamika taifa leo kuanza kufanana kama la ulimwengu wa tatu.

    Hii ni huko London,
  6. Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

    NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hili Wala siรด Siri ingawaje wร po wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote Wanaume hufurahi Sana na Kupenda pale ร mbapo Mtoto aliyemzaa anapofanana na kuelekeana naye Kwa kiasi...
  7. Msaada: Inamaanisha nini kuona muda na dakika zinazofanana kila mara?

    Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana. Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
  8. Hizi movies zina maudhui ya kufanana, ipi ni bora kuliko nyingine?

    1: Jason Bourne vs Mission Impossible 2: Into The Blue vs Fool's Gold 3: Batman v Superman: Dawn of Justice vs Captain America: Civil War. 4: Snow White and the Huntsman vs Mirror Mirror 5: White House Down vs Olympic Has Fallen
  9. Kufanana kwa hedhi ni Imani tu

    Wanawake wamekuwa wakielezwa kuwa kuishi au kukaa na wanawake kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mizunguko yao ya hedhi kufanana. Lakini wakunga wanapambana kuvunja imani hio, wakionyesha kwamba imani hizo ni za zamani na haina msingi thabiti katika sayansi. Daktari Jen Gunter, daktari wa...
  10. M

    Kwanini Mudathir na Feitoto wametozwa tu Faini, ila kwa akina Chama na Aziz K walifungiwa Mechi 3 na Faini juu kwa Kosa la Kufanana?

    Njooni na Utetezi wote juu ya hili na hawa ila tulio karibu na Wachezaji wa Vilabu vikubwa Viwili hivi, Viongozi wao na hasa Wataalam ( Waganga Wao wa Kienyeji' ) tunajua kuwa kwa hawa Wachezaji Wawili Feisal Salum 'Feitoto' na Mudathir Yahya yuko Mmoja ambaye Nyota yake ndiyo kwa 99% inaibeba...
  11. B

    Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

    Kina Mwabukusi na wenzake wametokea na inayoaminika kuwa ni agenda muarobaini wa matatizo yetu ya muda mrefu kama nchi: "Kupambana na maadui zetu kwa vitendo." Haipo siri kuwa hii itatuvusha, na hatimaye ushindi ni dhahiri. "Kwani ni lini maneno matupu hata yalipata kuvunja mfupa?" Ajabu na...
  12. Kwanini Jakaya Kikwete na Baraka Obama wanasifa za kufanana sana?

    Wakuu hawa watu wawili wanafanana sana mpaka kuanzia tabia zao na muonekano wao. Ukitazama Marekani Rais Joe Biden ni kama mzee asiye kuelewa na wazungu wameshajua Obama bado anahangaika na serikali na nyuma ya pazia obama ndiyo anaye ongoza Nchi. Ukija hapa Tanzania tena Jakaya Kikwete siyo...
  13. F

    Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
  14. Kufanana na watu wengi hii imekaaje?

    Hello JF Nimejikuta nalazimika kuleta uzi sasa maana hii imeanza kunishangaza. Tangu nakuwa ni kawaida kukutana na watu then wananiambia nimefanana na either ndugu yao fulani au jamaa zao. Imefika hatua now nimekuwa wengine mpaka hunipiga picha. Wakawaonyeshe wahusika. Ikafika muda nikawa...
  15. Kuna ulazima sare za shule za msingi kufanana nchi nzima?

    Tangu mwaka 1964 mpaka leo sare ni nyeupe na bluu! Ni nini hiki kisichobadilika? Kwanini kila shule isiwe na sare zake kulingana na jiografia ya eneo husika?
  16. M

    Kila mtu ana zake na kila mtu ana chake. Tusilazimishe kufanana

    Hello Hello Hivi hii kasumba ya watu kutaka wengine wafanane au wawaze kama wao, fikra na mitizamo au maoni viwe kama wao ni uzuzu wa kielimu au ni dhana ya unyani? Upekee wa kiumbaji ni pamoja itikadi, ufahamu, imani, ufuasi, kutumwa, kutumika, unafiki, uoga, etc. Imeonekana kizazi cha...
  17. K

    SoC02 Ni usawa au kufanana kijinsia?

    Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa katika jinsia zote,kutokana na dhulma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki za wanawake na maendeleo ya kiuchumi. Hoja hii imejengwa juu ya msingi kwamba kwa vile heshima ya...
  18. Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  19. Kufanana na Mdingi namna hii, poa sana !

    Beautiful!
  20. Naomba kujua 'Logic behind' Ikulu mpya ya Dodoma kufanana Kiujenzi ( Kiramani ) na hii ya Dar es Salaam

    Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia? Nayasubiri tu majibu yenu Wapendwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ