kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?

    Nchi ya Rwanda chini ya Kagame imekua kwa muda mrefu ikishutumiwa kukisaidia kikundi cha kijeshi cha Watutsi cha M23 kinachotaka kulidhibiti jimbo la kivu mashariki ya congo. Rwanda imekua ikikanusha kusaidia M23 lakini ukweli imekua na majeshi yake yakiungana na waasi hao kudhibiti maeneo ya...
  2. Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

    Shalom, Ukiheshimiwa jiheshimu, sasa ukweli ni kwamba miaka 10 Ikulu ni mingi sana, ukihudimu kama Makamu wa Rais na Rais kwa nusu vipindi kiapo chako na kikanuni na kikatiba ni Cheo chako Cha umakamu, chama kimekupa ridhaa ya miaka 10 tu ya umakamu hicho kiti cha juu ni bonus kutokana na kifo...
  3. Polisi Bihalamuro yafuturisha Wananchi, yawaomba kuendelea kuchukia uhalifu

    POLISI BIHALAMURO YAFUTURISHA WANANCHI, YAWAOMBA KUENDELEA KUCHUKIA UHALIFU. Na Mwandiahi Wetu Jeshi la Polisi Bihalamuro Kagera. Jeshi la Polisi Wilaya Bihalamuro Mkoani Kagera katika kuhakikisha wanaaendelea kuungana na Jamii katika Mwezi Mtukufu wa Radhamani April 07.04.2024 wameungana na...
  4. G

    Teknolojia ya usb 2.0 imepitwa na wakati, wafanyabiashara wetu wametugeuza kuwa dampo la kupigia pesa, jitahidi ununue bidhaa za usb 3.0 na kuendelea

    ni juzi hapa niliweka post ya kununua hard disc kuigeuza iwe external lakini speed yake ya kuhamisha mafaili ilikuwa ndogo sana, wadau wakanipa elimu ndio nikagundua tatizo lipo kwenye kasha / case ya harddisk ni usb 2.0. wafanyabiashara wameshazoea mteja akienda dukani anaulizia bidhaa flan...
  5. Zanzibar msiposimama imara kuendelea kulinda mila na tamaduni zenu, heshima yenu duniani itashuka

    Friends and Our Enemies, Beautiful Islands Of Africa, Zanzibar... Fahari pekee iliyobakia Africa na inayozidi kuwakilisha ubantu na TAMADUNI za heshima ni wewe Zanzibar. Watu wengi wakitaka kujitambulisha Kwa wageni WASIO ifaham Tanzania basi utawaskia wakisema huko kuwaambia wageni kuwa Mimi...
  6. Kampuni za kuuza viwanja zinaumiza wananchi, Serikali iingilie kati

    Ni jambo la kushangaza unapopita mitandaoni kukutana na matangazo ya kampuni zinajinadi kuuza viwanja vya SQM 200, 300 nk, katika maeneo mbalimbali nje ya Jiji. Tena, mbaya zaidi wanaviuza kwa vipimo vya futi. Hivi kweli tunaruhusu viwanja vya SQM 200 miaka hii? Je, haya makampuni hayana...
  7. I

    Kwanini wapo watu wanamuomba Rais Samia Suluhu kuendelea kuwa Rais wa Tanzania?

    Na Mwl Udadis, DSM-CBD Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine. Natumia falsafa ya kweli hiyo ninayoiishi kukupa ujumbe ambao unaoweza kukupa picha ya yajayo katika uga wa siasa za...
  8. J

    MJADALA: Nini kifanyike kuondoa Uhaba wa Sukari kuendelea kujirudia kila mwaka Tanzania?

    Uhaba wa sukari nchini Tanzania ni tatizo linaloathiri sana wananchi na uchumi kwa ujumla. Hali hii inaweza kusababishwa na sababu kadhaa, ikiwa ni pamoja na: Uzalishaji duni: Uzalishaji wa miwa, malighafi ya sukari, unaweza kuathiriwa na mambo kama hali mbaya ya hewa, magonjwa, au mbinu duni...
  9. Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  10. Makelele ya vyombo vya habari vya Magharibi hayazuii China kuendelea kuchangia ukuaji wa uchumi wa dunia

    Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa pato la taifa la China la mwaka 2023 liliongezeka kwa asilimia 5.2 ikilinganishwa na mwaka 2022. Lakini likihesabiwa kwa dola za kimarekani, lilikuwa sawa ama hata chini kidogo kuliko mwaka 2022. Wakati huo huo, pato la taifa...
  11. F

    Dawa ni kuendelea kuwaunga mkono CHADEMA hii italeta heshima na adabu kwa chama tawala

    Kwanini viongozi wa nchi yetu wanakuwa na dharau kwa wananchi wakati mwingine? Ni kwasababu wanajua hata kama hawafanyi vizuri majukumu yao wataendelea kuwa madarakani tu. Kwa wenzetu wa nchi zilizoendelea ni nadra kwa chama kukaa madarakani kwa zaidi ya vipindi viwili. Hata chama kikiongoza...
  12. Hivi hii ya Mgawo wa Umeme kuendelea hadi June 2024 nimeisikia mahala jana peke yangu tu au?

    Rais Samia alituambia kwa uhakika kuwa hadi Mwezi ujao Machi Mgawo hautokuwepo tena na TANESCO nao wakasema hadi Mwezi huu wa Februari kutakuwa hakuna tena Mgawo wa Umeme na hatimaye jana nimesikia ( labda niwe nimesikia vibaya ) kuwa sasa Mgawo wa Umeme tutaenda nao na utaisha Mwezi June...
  13. Ivory Coast kuendelea kuisifu na kuiabudu Morocco ni upuuzi uliopitiliza

    Katika mechi za mwisho hatua ya makundi katika mashindano ya AFCON 2023, Ivory Coast walikuwa wanahitaji Morocco ishinde mechi yake dhidi ya Zambia ili iweze kuinusuru Ivory Coast kuweza kuvuka hatua iliyofuata ya 16 bora. Na kweli, Morocco ilishinda 1-0 na Ivory Coast ikavuka kama best loser...
  14. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  15. Barabara Zinazounganisha Tanzania na Nchi Jirani Kuendelea Kujengwa na Kukarabatiwa

    BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara zinazounganisha Tanzania na nchi zote jirani ikiwemo nchi ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC) kwa awamu...
  16. Barabara ya Mbeya - Mkiwa Kuendelea Kujengwa kwa Awamu

    BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi - Rungwa - Mkiwa (km 503.36) kwa awamu ambapo sehemu ya Mbeya - Chunya - Makongolosi (km 111) ujenzi...
  17. TMA: Mvua za El-Nino kuendelea hadi Aprili 2024

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema bado kuna viashiria vya uwepo wa El-Nino hadi Aprili mwaka huu. El-nino ni mfumo wa hali ya hewa unaosababishwa na ongezeko la joto la bahari katika eneo la kati la Kitropiki kwenye Bahari ya Pasifiki. Mwaka jana, TMA ilieleza kuwepo kwa El-Nino...
  18. Wananchi Wavamia maeneo ya Maji, Mgomo wa Maji waendelea na maji kuendelea kwenye mkondo wake

    Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani. Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na...
  19. E

    Bei za vifurushi vya intaneti kuendelea kuwa juu ni ishara ya kubinywa kwa uhuru wa kutoa na kupata taarifa

    Sio mbali sana. Ni miaka mitatu kurudi nyuma bei za vifurushi vya intaneti ilikuwa ya kawaida sana. Kwa 1000 mtu angeweza kupata kifurushi cha GB1 kwa wiki. Leo hii, GB1 ni 3000. Hebu fikiria kwa sasa, ni watu wangapi wameathirika na mabadiliko hayo? Mimi kipindi hicho, kulingana na bei kuwa...
  20. Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa

    Waziri Mhagama Awaomba Wananchi Kuendelea Kulinda Amani na Mshikamano wa Kitaifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa rai kwa wananchi kuendelea kuzilinda tunu za umoja wa kitaifa za utulivu, amani na ushirikiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…