kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania WHO yatahadharisha Virusi vya Mlipuko Marburg kuendelea kusambaa

    On 27 September 2024, the Rwanda Ministry of Health announced the confirmation of Marburg virus disease (MVD). Blood samples taken from people showing symptoms were tested by real-time reverse transcription polymerase chain reaction (RT-PCR) at the National Reference Laboratory of the Rwanda...
  2. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  3. Pendragon24

    JamiiForums Tanzania Serikali irejeshe saikolojia ya wanafunzi wa shule ya msingi Mbezi Juu ili wendelee vyema na masomo yao

    Siku ya alhamisi tarehe 19.09.2024 katika shule ya msingi ya Mbezi juu palitokea tukio la mwanafunzi mmoja wa kiume wa darasa la tatu kutumbukia ndani ya shimo la choo wakati alipokwenda kujisaidia majira ya mchana. Shule ya msingi Mbezi juu ipo katika kata ya Ndumbi mtaa wa Mbezi mtoni ndani...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania KOMBE LA KINA MAMA KUENDELEA KESHO

    Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Eneo la Jangwani ni tishio kwa usalama kuanzia mida ya saa 5 usiku na kuendelea

    Kama ilivyokuaga Salenda pale darajani sasa uhalifu umehamia Jangwani ikifika usiku saa 5 na kuendelea si eneo salama kupita hasa ukiwa na pikipiki, kuna wezi na vibaka wenye silaha na wasio na huruma. Eneo lile pana giza zito na hakuna ulinzi wa aina yoyote mida hiyo hali inayopelekea wahalifu...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili tuweze kuendelea na kutoka hapa tulipo?

    Tufanye nini ili tuweze kuendelea na kutoka hapa tulipo? Tufanye mjadala serious.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wakiwasili kuendelea na vikao nya bunge Dodoma

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wakiwasili bungeni Jijini Dodoma tayari kwa kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa 16 wa Bunge. Miongoni mwa mambo yatakayoenda kujadiliwa leo Agosti 30, 2024 ni kujadiliwa kwa Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria zinazohusu...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

    Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.
  9. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  10. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob azua jambo kuhusu kingereza cha Msigwa. Msigwa ajibu na kuendelea kuharibu

    Someni, mimi siongezi wala sipunguzi neno: Baadae Msigwa akajibu.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Duniani viongozi wa nchi wanaanzia miaka 40 huku kwetu viongozi wanaanzia miaka 60 kuendelea; tutapata maendeleo?

    Dunia inabadilika sana, inakwenda kasi sana. Siyo Dunia ya busara na heshima tena bali ni Dunia ya akili mpya zinazoweza kutatua changamoto. Hakuna Sehemu Duniani maendeleo yanaletwa na busara na hekima na hakuna uhusiano kati ya umri na busara. Kama ujanani ulikosa busara na hekima siyo rahisi...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tanesco kuendelea kukata Tsh 2000 kwenye LUKU kama tozo ya serikali ni wizi wa pesa za Watanzania.

    Hivi karibuni Watanzania kupitia mitandao mbalimbali walionesha ghadhabu juu ya ongezeko la kodi kwenye LUKU kutoka Tsh 1500 mpaka 2000 pasipo kutoa notice kwa umma. Baadae TANESCO walitoa maelezo kwamba ongezeko hilo ni deni la nyuma kwa baadhi ya wateja, cha kushangaza mambo yamekuwa tofauti...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yaitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea Misako na Doria kubaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata Sheria za Nchi

    Serikali imeitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuimarisha Misako na Doria za kuwabaini Wahamiaji wanaoshindwa kufuata sheria za nchi pamoja na uhalifu unaovuka mipaka. Hayo yamesemwa Julai 5, 2024 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo wakati akizungumza katika Ufunguzi wa...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi Wapo SITE Kuendelea na Ukarabati wa Barabara

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba (Mb) amesema tayari wakandarasi wapo site wakiendelea na ukarabati wa barabara zilizohabika na mvua pia katika Halmashauri ya Kishapu. Mhe. katimba amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Ili awe Mshangazi anapaswa kuwa na umri gani?

    Hapo vip!! Nimekuwa nasikia sana huu msemo wa lishangzi. Sifa za mashangazi ni kama zifuatazo. 1. Awe na miaka kuanzia 30 na kuendelea 2. Awe single mother au single kawaida. Kama unasifa zingine zitaje ili wajitambue.
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CPC na CCM kuendelea kudumisha uhusiano wa kihistoria

    WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi, Komredi Tang Dengjie. Katika kikao hicho kilichofanyika Juni 21, 2024...
  18. Rais wa wapare

    JamiiForums Tanzania Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Kwanza nitangulize shukrani. Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la mdaiwa limekosewa kwahiyo ikabidi utekelezaji usimamishwe. Nilikuwa naomba kujuzwa je inawezekana...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wote wahamishwa kutoka meli iliyopigwa na Houthi

    Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji. Awali baharia mmoja alipotea baada ya shambulio hilo wakati ambapo meli za kivita za Marekani zilijaribu kuzima moto...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuwavuruga vijana ni kujiharibia kwa CCM na Serikali yake

    Kwanza kabisa niseme wazi mimi ni mwanachama wa kawaida wa CCM nisiye na cheo chochote ndani ya chama. Wala siko kwenye kundi la kiongozi yeyote. Kwa hiyo huu uzi naandika bila kujali niko CCM. Nimeamua kwa makusudi kuwakumbusha viongozi wa serikali na chama kuacha kuendelea kuwavuruga vijana wa...
Back
Top Bottom