kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  2. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  3. Criss

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikitokea Mbowe ameahamia CHAUMMA, nini hatma ya ile nafasi yake ya mjumbe wa kudumu?

    Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi. Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli . Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

    Habari zenu wakuu Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana, Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kati ya mtaji million 20 au ajira ya kudumu mshahara 700k, utachagua kipi?

    Wakuu, Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi. Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi Utachagua kipi mdau?
  6. Bibianna

    JamiiForums Tanzania Dkt Batilda: Bomba la mafuta la shilingi trilioni 12.5 la Uganda Tanga limelipa fidia ya TZS9.4 watu 800 wanaajira za kudumu Tanga mambo ni safi

    Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
  7. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania UJASIRI WA KUFIKIRI UPYA: SULUHISHO LA KUDUMU KWA TATIZO LA AJIRA TANZANIA

    Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
  8. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viwanda ili vikue kwa kasi na kudumu havihitaji huruma za kibinadamu

    Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi Kuweka minimum wages Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu

    Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu Betri ni moyo wa gari lako – bila betri yenye nguvu, gari halitaweza kuwaka wala kuendesha mfumo wake wa umeme. Kutunza betri vizuri ni muhimu sana ili iweze kudumu muda mrefu na kuepuka matatizo yasiyotegemewa barabarani. 1. Angalia...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania "Nahitaji Wakili Mwenye Leseni Halali kwa Ushirikiano wa Kudumu wa Kitaaluma

    Ndugu wana JF, Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu. Vigezo ninavyotafuta: Awe na leseni hai (valid practicing certificate) Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
  12. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Hivi maana halisi ya 'Madhabahu' ni nini? Kwanini Bwana huwapa baraka ya kudumu wanaomjengea 'Madhabahu'?

    Nimejeuka kusoma soma Biblia kwa hii miezi michache, kuna jambo kama limeitekenya akili yangu. Kwanza, kwenye agano la kale, waliopewa uongozi wote waliishia kumjengea Bwana Madhabahu. Nuhu, Abrahamu, Daudi etc etc Na kwenye agano la kale, 'Madhabahu' imetajwa sana. Katika kusoma kwangu, kwenye...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Je simu tunazonunua madukani zenye kaneno"powered by android,ni salama na za kudumu?

    Naomba kujuzwa juu ya hili?, Tulizoea ukininua Nokia,au Tecno,au Samsung, wakati wa kuiwasha ,kwenye main screen ya simu lilikuja neno moja tu, TECNO!.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kero za kudumu

    Hizi hapa ni kero za kudumu hapa nchini. Hapa nitataja zile ambazo zinaendane na maisha bora kwa kila mtu. Kero: 1. Ukosefu wa maji safi na salama: Kama nchi bado tumechemka sana. 2. Miundombinu ya barabara 3. Elimu: Hapa kuna shida kubwa. 4. Huduma hafifu za afya 5. Umeme: 6. Uhuru wa...
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimependwa na Mzungu; tunaweza kudumu bila kumlamba chumvi? Nisaidieni wazoefu

    Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba. Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
  16. Zirconium

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza Meno huna Ulazima wa Kubaki na Mapengo Kuna Suluhisho la Kudumu

    Iwapo Umepoteza Meno halisi unaweza pata huduma ya meno bandia ya kudumu kutoka offisini kwetu Faida za Meno bandia .Kulinda meno mengine yasiharibike .Kulinda Mfupa Wa Taya usipotee . utatafuna Chakula Vizuri . Muonekano Mpya Na Kujiamini .Uimara /Ubora wa Meno utaongezeka Tunapatikana...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ipi siri ya wewe kudumu muda mrefu na huyo mwenza wako?

    Either ni katika ndoa or mahusiano ya kawaida.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kailima aonya watakaovuruga zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
  19. Kindred Spirit

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Wanandoa Uliopelekea Umauti na Makovu ya Kudumu

    Tukio hili lilitokea China ndani ya hifadhi ya wanyama pori huko Beijing. Wanandoa na mama mkwe (mama wa mke) walikuwa ndani ya hifadhi mke aliposhuka kuelekea upande wa dereva alikokuwa amekaa mumewe. Inadaiwa alikuwa anasubiri mumewe ahamie kwenye siti ya abiria ili yeye aendeshe. Punde...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani

    Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani vp matokeo yenu , je Kuna aliebahatika ili mtupe hamasa na sisi ndugu zenu tujaribu bahati
Back
Top Bottom