Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 369,737
- 855,782
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama sehemu ya mkataba wa ndoa na ishara ya utayari wake wa kumtunza mke.
2.Haki ya Mwanamke: Mahari inachukuliwa kuwa haki ya mwanamke na ni mali yake binafsi, si ya wazazi wake wala mumewe.
3.Utambulisho wa Thamani: Kiroho, kitendo cha mwanamume kutoa mahari kinaashiria thamani na heshima anayopewa mwanamke katika kuingia kwenye agano la ndoa
Kwa maana hiyo basi mwanamke hawezi kujilipia mahari, kwa tafsiri nyepesi hawezi kujioa.. Anakosa ule muunganiko wa kiroho wa agano la ndoa! Kwamba agano limeanzia kwake na limeishia kwake
Wanawake wanaojipia mahari hawana tofauti na wale wanaojioa mitandaoni
Yaani kwa kukosa mwanaume (Sahihi ama la) eti anaamua kujioa mwenyewe😀 !!! Hivyo anatengeneza nguo yenye pande mbili, upande gauni harusi, upande suti
Anaamua kutengeneza nywele kichwani na make up usoni, upande kike upande kiume😀
Miguuni hivyo hivyo mguu mmoja kiatu cha kike mwingine cha kiume!
Sina hakika na nduo ya/za ndani😀
Mwanamke anayejilipia mahari hana tofauti na makuku ya mayai yasiyo na baba.. Yale mayai hayana kizazi kwakuwa hayana muunganiko wa kigenetic wa pande mbili..
Hivyo pamoja na wimbi kubwa la talaka humo ndani asilimia 99 ni talaka za ndoa za wanawake waliojipia mahari
Si mnawaonaga mitandaoni wale watu wanaotangaza kujizawadia vitu? Wote hao ni walewale
Mwanamke lipiwa mahali hats kama hutafanya sherehe kwakuwa hilo ndio tendo kuu la kiroho la agano la ndoa!
Mwisho
Mahari sio pesa ya kununua bidhaa! Hivyo huwa hailipwi yote! Wazazi na walezi wanaokomaa ilipwe yote tena kwa mamilioni hao ni wafanyabiashara wanaouza mali mbovu wenye uhakika itarudishwa muda si mrefu!