kudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco waliondokana na kupanga wakajenga ofisi za kudumu; Imekuwaje tena wanarejelea kupanga?

    Serikali kupitia wizara ya nishati miaka 5 iliyopita ilijenga ofisi za Tanesco kupitia mfuko maalum Kwa kigezo kwamba kuna upotevu mwingi wa fedha katika kupangisha ofisi ya Tanesco kutoka kwenye nyumba za watu binafsi. Wakaamua kujenga ofisi kuu katika kila wilaya ili kuepusha upotevu wa...
  2. Sognsvann

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

    Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja. Kuhusu Mimi: Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  4. The only

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania jifunzeni kustaafu, bongo mziki bado sio biashara ya kudumu

    Salaam! Ushauri kwa wale wanaojiita ma-regendary wa bongo wakuu ukweli huu hamtaupata popote na auonaye amwambie mwenzie ,wakuu Game ya bongo ya Muziki na hata sanaa zingine sio kazi au biashara ya kudumu ,mtawafariji ooh mbona wa ulaya mpaka leo wanapiga show ,wakuu hilo game la ulaya leo hii...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kufuatia matokeo dhidi ya Al Masry SC, ni vema tukamrudisha Aishi Manula kuwa kipa wa kudumu

    Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila. Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa yale magoli. Bado Manula anamzidi Camara kwa ustadi wa kulinda mipira ya hatari. Sasa ni wakati...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali(PAC) kwenye mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji

    Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeshiriki ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kutembelea mradi wa miundombinu ya Umwagiliaji katika shamba la mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) lililopo Ngaramtoni, eneo lililowekewa miundombinu ya Umwagiliaji Hekta 160 kati ya 200...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), yalidhishwa na maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Shinyanga, ambapo imeeleza kuridhishwa na hatua iliyofikiwa ya asilimia 75 ya...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanya mpana sana kwa wageni na wasio na sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

    Yaani hamna chochote unachoulizwa kuthibitisha uraia wako, afya yako ya akili NK. Hapa kwetu Warundi na Wamalawi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Changamoto mbalimbali kwenye vituo vya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura

    Kupitia Uzi huu tutakuwa tukipost changamoto mbalimbali zinazojitokeza vituoni kwenye uandikishaji wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga Kura.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura inaendelea Dar, Machi 17 - 23, 2025

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar Ramadhan Mapuri leo tarehe 17 Machi, 2025 ametembela vituo mbalimbali vya kuandikisha Wapiga kura vya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania 🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA,

  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa daraja la Pangani

    Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Seleman Moshi Kakoso amesema kazi iliyofanywa kwenye daraja hilo lenye urefu wa meta 525 ni kubwa hivyo Wizara ya Ujenzi na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), wahakikishe daraja hilo linakamilika kwa wakati ili kukuza fursa za uwekezaji katika ushoroba wa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yaimiza Serikali kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani

    Serikali imehimizwa kumsimamia mkandarasi wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Tanga-Pangani ili kuhakikisha anamaliza kwa wakati. Katika mradi huo hatua ya kwanza (lot one) ya ujenzi wa barabara ya Afrika Mashariki, kipande cha kilomita 34 kilichosalia cha Tanga-Pangani, ambacho kwa mujibu wa...
  14. youngkato

    JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi bidhaa za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.

    Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha. Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike. Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa? Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini? Mwaka jana nilikutana na jamaa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala kipi kifanyike cha kudumu ili kukomesha mambo ya mizengwe yanayochangia kughairisha mechi?

    Lawama hazijawahi kuondoa tatizo, Kila jambo lina faida na hasara! Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi! Pasipo kunyoosheana vidole kipi kitakuwa suruhisho la kudumu ili haya mambo ya mizengwe yasiendelee kiasi...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wa kuwa na bunge la kudumu la wabunge wanaolipwa muda wote?

    Sifa kubwa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, kwa mfumo wa nchi yetu mambo mengi ya nchi yanaamuliwa na kuendeshwa na serikali kuu badala ya kuwa na uchaguzi wa wabunge na bunge ambalo wata wanalipwa kila mwezi tunaweza kupunguza gharama sana na kuongeza ufanisi kwa kuondokana na bunge...
  17. Lugano Edom

    JamiiForums Tanzania Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu

    Mwalimu ni mwanafunzi wa kudumu Mwalimu Akiipenda kazi anajituma sana. Na huwa ANAUMIA mwanafunzi wake Wakifeli. Sema hurudishwa nyuma na maneno ya kashifa kutoka kwa viongozi wa juu yake. WENGI Huwadharau Waalimu huona hawana thamani hapa duniani. Wala hawafai kusikilizwa
  18. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  19. A

    JamiiForums Tanzania RAIS MSTAAFU MH JAKAYA MRISHO KIKWETE ALILENGA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU ILA RWANDA WAKASHUPAZA SHINGO

    Sikiliza mwenyewe kupitia hii link https://x.com/EggleVuvu/status/1885185539365564674?t=eqx2xm8OPAYKondHhO_7DQ&s=08
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ZAMHSO: Mradi wa Afya ya Akili Shuleni utaacha athari chanya na kuleta mabadiliko ya kudumu

    Januari 28, 2025 imekuwa ni siku ya pili ya utekelezaji wa mradi wetu wa Afya ya Akili mashuleni, mradi ambao unalenga kuhamasisha na kutoa elimu kuhusu afya ya akili kwa wanafunzi na walimu hapa Zanzibar. Lengo kuu la mradi huu ni kuhakikisha tunajenga kizazi chenye ufahamu wa kutosha kuhusu...
Back
Top Bottom