kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza Sikukuu ya Eid El-Adh’haa kuwa Jumapili Julai 10, 2022

    Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam. Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI...
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola, mdhibitini Barbara la sivyo ataleta sintofahamu kubwa huko mbeleni

    Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli. Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake! Utulivu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatumia nguvu kubwa kutaka wanachama wake kujaza fomu TUF 15?

    Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT. Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
  4. JamiiForums Tanzania Raia nchini Ghana waandamana kupinga gharama kubwa za maisha

    Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi. Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
  5. JamiiForums Tanzania Morogoro ni Mkoa mzuri namba Moja wa kuishi Tanzania

    Kwema Wakuu! Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo; 1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana. Jua...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Uimara na Kasoro Kubwa za Klabu ya Simba

    Timu ya Simba (Simba SC Ltd) ina uimara na kasoro kadhaa. Mazuri yaimarishwe na yaongezwe, na mabaya yarekebishwe. Timu ya Simba ina Uimara katika maeneo makubwa sita: Fun base kubwa – idadi kubwa ya wapenzi, wanachama na mashabiki ndani na nje ya nchi. Wapenzi walio tayari zaidi kusupport...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaume, ukitumia nguvu kubwa/gharama kubwa kumpata mwanamke tambua hapo haupendwi

    Za mchana huu wadau hapo ulipo. na sisi mwenyeji wa hapa mwanza Kisesa kuna moto umetokea mda sio mrefu kwenye nyumba fulani karibu na hospitali ya kisesa ila jeshi la zima moto linafanya kazi kwa welendi mkubwa nawapongeza sana. Turudi kwenye mada.... sio utafiti ila kwa wadada wengi ambao...
  8. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania na Wachambuzi wa Michezo wangekuwa na Akili Kubwa kama za Shaffih Dauda ningewaheshimu mno

    Natamani kuandika andiko la pongezi kwa ubingwa wa 28 kwa Wananchi lakini nasubiri picha ya Mwenyekiti wa klabu, Dr Mshindo Msolla Mwenye picha ya Mwenyekiti akiwa na kombe hata kama imepigwa kwa simu naomba tafadhali Hata mwenye picha ya Kocha Nabi akiwa na kombe naomba. Chanzo: Shaffih Dauda...
  9. JamiiForums Tanzania Simu inavyoweza kusababisha ukapata Ugonjwa wa Bawasiri (kuvimba njia ya haja kubwa)

    Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
  10. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ulinzi ya USA ni kubwa kuliko jumla ya bajeti ya Mataifa yote Duniani

    BUDGET ya ULINZI ya MAREKANI ni USD 778 billion. Anafuata mchina Kwenye 240 USD billion. Ukijulisha BADGET zote za ULINZI ulimwenguni hatufiki 778 billion USD. Anaebisha lete facts sio blah blah. USA yupo sana, Tena sana
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wavuvi wa Vietnam watupa nyavu kubwa

    Wavuvi wa Quy Nhơn, Vietnam, wanatupa nyavu kubwa za bluu-kijani kwenye vitanda vya mwani.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

    Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo. 1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai 2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai 3. Hawapendi kuendeleza watoto wao 4. Hawalipi kodi zozote za maana 5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji...
  13. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambapo ujinga unatetewa na kundi kubwa la watu

    Wasalaam wana JF Katika kipindi cha miaka sita iliyopita nchi yetu ilishuhudia utawala usiofuata sheria na kutojali haki na heshima za binadamu. Watanzania wengi walikua wamekatwa mikia na kugugumia. Haki za kisiasa na kiraia ziliporwa na watu waliumizwa kimwili na kiuchumi na wengine kupoteza...
  14. JamiiForums Tanzania Android 13 kubwa kuliko ndani ya Tecno Camon 19 pro 5g

    Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa miongoni mwa wazalishaji wa kwanza wa smartphone kujiunga na Programu ya Android 13. Bidhaa yake ya hivi...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye Wabunge wenye Poor Thinking kama hii na walio 'very Sycophant' ndiyo mnategemea ipige Hatua Kubwa za Kimaendeleo?

    "Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum. Chanzo: EastAfricaTV Huwa napenda...
  16. JamiiForums Tanzania Hujuma kwa mmiliki wa Bus la Hokas na kilio cha adha ya nauli kubwa kwa wananchi wa kata ya Loya, Uyui -Tabora

    Sumatra-Tabora Takribani miezi mitatu iliyopita Bus la Hokas lilianza safari zake za Loya kwenda Tabora na kuleta ushindani wa kibiashara KWA mmiliki wa Bus la Mama's one na kufikia hatua ya kushusha nauli kutoka 12000/= Hadi 8000,10000 na 7000/= wananchi walifurahia ushindani huo na kushuka...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mbinu wanayotumia wakinga kuchana msamba badala ya kupiga hatua, umoja ndio siri, ni mbinu rahisi mno

    Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini pale kariakoo ni mashuhuda, hawa watu ni kama wameimeza kariakoo, kuimeza kariakoo ni sawa na kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kampeni za kumchafua Hayati Magufuli zimekwama

    Hivi nani hajaona kwa macho yake kuwa kuna mabadiliko makubwa ya kiuchumi ameyaleta hayati JPM? Kuhakikisha sekta ya afya, barabara, elimu , madini na usafirishaji inaimalika. Alafu kundi la wahuni kwa vile tu alidhibiti wasifanye ufisadi ndio watengeneze mikakati ya kumchafua. Hii ni ngumu...
  19. JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa Tanzania wanyama pori wana thamani kubwa kuliko wananchi?

    Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi. Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanahisa nawapongeza sana NMB kwa kutugawia gawio kubwa na inayoridhisha

    Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…