Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,688
- 5,446
Huu mjadala nimeukuta mahali, kwanini pesa ya Kenya inathamani kubwa kuliko ya Tanzania?
Mjadala ulikuwa mkubwa sana watu kidogo wazichape, mkenya alikuwa mmoja tu watz tulikuwa kama wote.
Wapo waliodai utofauti wa pesa yetu na yao ni namba tu, kwa mfano 500 ya kenya ni sawa 10k ya tz watu wakaenda mbali zaidi wakadai Kenya wameamua kuipa thamani kubwa 500 kwamba hii 500 unaweza kwenda nayo buchani na ukanunua nayo nyama.
Ni kama ilivyo hapa tz utitaka nyama safi kabisa unaipata kwa 10k kwa kilo moja.
Lakini mimi sikukubaliana nao, tukirudi miaka ya nyuma kidogo nakumbuka pesa yetu ilikuwa na thamani sana, miaka ile ukiwa na 500 unakula chakula kwa mama ntilie na unashiba.
Miaka ile wakati nasoma mzee kila siku alikuwa ananipa 200, nauli ya daladala 50 kwenda na kurudi nitatumia 100 mia inayobaki nitatesa nayo sana kipindi kile ubuyu ulikuwa sh. 5 barafu sh10, hapo nitabana hamsini ibaki nikaangalie movie kibanda umiza.
Wanauchumi embu nitoeni matongotongo, nini kimepelekea pesa yetu kuporomoka hivi? Mbona ya wenzetu imebaki palepale.