Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo.
Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
Nakumbuka mwaka 2013 nikiwa machimboni huko Geita, machimbo mapya ambayo yalikuwa ndo kwanza yameibuka na hivyo kulikuwa na ukame wa totoz.
Mademu waliokuwepo walikuwa wakitoa huduma kwa kuringa sana kwani demand ilikuwa kubwa kuliko supply
Sasa siku moja tukiwa bar mshenzi tukipiga vitu(bia)...
Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)...
Noamba kwa mwenye kujua tafadhari....
Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa.
RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Senegal kuhudhuria mkutano wa ngazi ya juu wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Kimataifa (IDA20), Mkutano huu utawezesha nchi ya...
Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi.
Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
Kila Mwanamichezo nchini jicho lake lipo katika Uchaguzi huu,,hata wale wa upande wa pili, Agenda yao Kwa sasa ni uchaguzi wa Mabingwa wa Taifa.
Kinachofurahisha hadi Wanaharakati wapinga kila kitu cha Wananchi nao wamesimama na Content ya Chaguzi kuu la Machampioni.
Yes, hawa tunakosea...
Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha.
Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
Ndugu zangu,
Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha.
Hii...
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae.
Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
Leo nimenunua sufuria moja dogo kwa shilingi 2000 na bei ya unga mtaani kwangu kwa kilo ni sh 2200.
Kwa lugha nyepesi ni rahisi kula masufuria na mboga kuliko kula ugali na mboga.
Yapi maoni yenu wakuu.
03 Julai 2022
Unguja, Zanzibar.
Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30.
Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo.
We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie.
Hizo za doggie...
Habari wakuu, ni furaha iliyoje kuwa mmoja wa wanajamiiforums. Natumai utakuwa mwanzo wa kuhabarika, kujifunza, na kushirikiana kwa namna moja au nyingine. Nisiwachoshe, asanteni.
Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam.
Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI...
Huwezi kuongelea siasa ya nchi yetu Tanzania pasi na kuwepo vilabu vya Yanga na Simba na huo ndiyo ukweli.
Sasa ndani ya Taasisi ya Simba kuna huyo binti Babra ambaye ndiye CEO wa klabu ile hakika ndani ya muda mchache ameshagombana na kila aliyehisi ni kirusi kwenye nafasi yake!
Utulivu...
Chama Cha walimu Tanzania, kwasasa wanatumia nguvu kubwa kuwashawishi walimu kujaza form ya TUF 15 ambayo ukiisoma inataka mwanachama aijaze ili kuridhia makato yanayokatwa na mwajiri kwenda CWT.
Swali ninalojiuliza kama makato yao yamekuwepo miaka yote Tena wakati mwingine bila ridhaa ya...
Waandamanaji katika mjini Accra wamekusanyika kwa siku ya pili ya maandamano dhidi ya kuongezeka kwa mfumuko wa bei na matatizo mengine ya kiuchumi.
Ghana ikiwa moja ya nchi zenye uchumi mkubwa zaidi wa Afrika Magharibi na ilishuhudia ukuaji wa uchumi ukipungua kwa hadi asilimia 3.3 mwaka hadi...
Kwema Wakuu!
Licha ya Tanzania kuwa na mikoa mingi lakini Mkoa wa Morogoro ndio mkoa namba moja kwa uzuri kwa kuishi. Nitaeleza sababu kama ifuatavyo;
1. Tabia ya nchi na Hali ya Hewa
Mkoa wa Morogoro tabia yake ya nchi na hali ya hewa ni nzuri. Hakuna joto sana wala hakuna baridi sana.
Jua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.