kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukijisaidia haja kubwa unajisafishaje? Jibu hapa tujue level ya maisha yako

    Dunia nzima inaenda haja kubwa sasa jibu hapa wewe binafsi unatuma njia gani? 1. Gunzi 2. Mchanga 3. Maji mkono mavi 4. Preshawota 5. Pepa 6. Kochespa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hungary inanuniwa huko ulaya: Kisa inauza mafuta na gesi kwa raia wake kwa bei ndogo, akija raia wa nchi nyingine anauziwa kwa bei kubwa!

    Hungary ni nchi ya ulaya ambayo ilikubali mapema kabisa kulipia gesi ya urusi kwa ruble, na ni nchi pekee kwenye umoja wa ulaya iliyokataa kuiwekea vikwazo binafsi urusi na pia ilikataa kuisaidia ukraine silaha. Halafu hungary pia hairuhusu nchi nyingine kupitishia silaha nchini mwake...
  3. JamiiForums Tanzania Abraar Education Centre tumeunda pavers zenye faida kubwa kiafya

    Katika muendelezo wetu wa kubuni vifaa vya ujenzi vya kipekee vyenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, sasa tuna pavers paving bloks za kipekee Tanzania (kama sio duniani). Pavers zetu hizi tunaziita Abraar Massage Stepping Stones. Kwanza jioneneezi zilivyo, halafu tutaendelea kuwaelezea...
  4. JamiiForums Tanzania Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

    Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu...
  5. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chongolo na kongamano kubwa la mafunzo ya uongozi na uwajibikaji

    KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII. Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kula tunda kwa punguzo kubwa la bei?

    Nakumbuka mwaka 2013 nikiwa machimboni huko Geita, machimbo mapya ambayo yalikuwa ndo kwanza yameibuka na hivyo kulikuwa na ukame wa totoz. Mademu waliokuwepo walikuwa wakitoa huduma kwa kuringa sana kwani demand ilikuwa kubwa kuliko supply Sasa siku moja tukiwa bar mshenzi tukipiga vitu(bia)...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Site gani yenye traffic kubwa kutangaza real estate?

    Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)... Noamba kwa mwenye kujua tafadhari....
  10. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa

    Rais Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika zinazonufaika na dirisha la Maendeleo la Kimataifa. RAIS Samia Suluhu Hassan yuko nchini Senegal kuhudhuria mkutano wa ngazi ya juu wa utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Kimataifa (IDA20), Mkutano huu utawezesha nchi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Akamatwa kwa kuchezea mifumo ya vidhibiti mwendo vya mabasi ili madereva waendeshe kwa kasi kubwa

    Issa Said Mbogo ambaye ni fundi wa vifaa vya umeme anashikiliwa kwa tuhuma za kuchezea vifaa vya kudhibiti mwendo kwenye mabasi (VTS) akidaiwa kuwa anavuruga mifumo hiyo ili madereva wa mabasi waendelee kwenda mwendo kasi. Mtuhumiwa amekamatiwa Nzega Mkoani Tabora wakati wa oparesheni maalum...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact...
  13. JamiiForums Tanzania Ukubwa wa Yanga unajidhihirisha kwani hata uchaguzi umegeuka kuwa Agenda kubwa,, kila kona mpaka kwa wanaoichukia Yanga hawakwepi kuizungumzia

    Kila Mwanamichezo nchini jicho lake lipo katika Uchaguzi huu,,hata wale wa upande wa pili, Agenda yao Kwa sasa ni uchaguzi wa Mabingwa wa Taifa. Kinachofurahisha hadi Wanaharakati wapinga kila kitu cha Wananchi nao wamesimama na Content ya Chaguzi kuu la Machampioni. Yes, hawa tunakosea...
  14. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa wanawake wanaingia katika mahusiano na ndoa kutafuta unafuu wa maisha

    Huu ndo ukweli wanawake walio wengi wanaingia katika mahusiano au ndoa kutafuta angalau unafuu wa maisha. Katika mahusiano na ndoa wanawake wengi hutumia kama opportunity chance ya kupunguza shida zao ndogo ndogo kupitia mwanaume kwa sababu wanachoamini mwanaume kazi yake ni kumuhudumia...
  15. JamiiForums Tanzania Janga kubwa katika Tanzania ni viongozi kutaka kuwa ma-celebrities

    Ndugu zangu, Awali ya yote naomba niseme naijua kiasi fulani historia ya taifa hii. Kwa mtazamo wangu, kuna 'legacy tricks' zinazotoka toka kipindi cha ujamaa ambazo tumezishikilia, hasa systems za nchi hii, kwa kuwa kwa mtazamo wao zilifanya kazi huko nyuma kwa hiyo hawataki kuziacha. Hii...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Karia umefanya Kosa Kubwa kuonana na Manara na akifungiwa tegemea kuona Unafiki wake na atakavyokuchafua na TFF yako

    Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae. Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Sasa rasmi bei ya unga ni kubwa kuliko sufuria

    Leo nimenunua sufuria moja dogo kwa shilingi 2000 na bei ya unga mtaani kwangu kwa kilo ni sh 2200. Kwa lugha nyepesi ni rahisi kula masufuria na mboga kuliko kula ugali na mboga. Yapi maoni yenu wakuu.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa SMZ aweka wazi mikataba iliyokuwa siri kubwa, Je Rais wa Muungano ataweza?

    03 Julai 2022 Unguja, Zanzibar. Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30. Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
  19. JamiiForums Tanzania Mnafanya kosa kubwa kufanya hivi katika ndoa na kwingineko. Hii haikuwa imepangwa kuwa hivi. Tuna force tu na haya ndo matokeo yake

    Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo. We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie. Hizo za doggie...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni furaha kubwa kujumuika na wakuu wa JF!

    Habari wakuu, ni furaha iliyoje kuwa mmoja wa wanajamiiforums. Natumai utakuwa mwanzo wa kuhabarika, kujifunza, na kushirikiana kwa namna moja au nyingine. Nisiwachoshe, asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…