sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Kila Mwanamichezo nchini jicho lake lipo katika Uchaguzi huu,,hata wale wa upande wa pili, Agenda yao Kwa sasa ni uchaguzi wa Mabingwa wa Taifa.
Kinachofurahisha hadi Wanaharakati wapinga kila kitu cha Wananchi nao wamesimama na Content ya Chaguzi kuu la Machampioni.
Yes, hawa tunakosea kuwaita Wachambuzi, hawa ni WANAHARAKATI ,Mchambuzi halisi huchambua,kupongeza na kukosoa pande zote za shilingi,,ila Mwanaharakati yy tayari ana upande aliouchagua ,aidha Kwa kuuponda au kuusifia,,tunashuhudia WANAHARAKATI wapinga Yanga kutwa kucha eti nao Agenda yao ni Election ya Yanga.
Basi na tusimame humo, Wanaharakati ( Sio Wachambuzi ) nao hivi sasa agenda yao ni Hersi na Uchaguzi wa Yanga.
Ndioooooooooooo, Content kuu ya kispoti nchini ni Yanga na Viongozi wake.
Bila Shaka yoyote hii ni nzuri kwetu kama Club, Yaani hadi Mwajiriwa wa Makolo kujadili uchaguzi wetu, plus Wanaharakati wapinga Yanga.!! Sijui wametoa wapi kiherehere hiki kwa jambo lisilowahusu 😹
Itoshe kusema Yanga kubwa sana 🔥🔥🦾
Nb : Yanga Afrikaaaaaaa ni kama Maji,Usipoyanywa Basi utayaoga au kunaniliu 🙀
Kutoka kwa Manara,,mzee wa kutindua mishono ya matumaini ya makolo