Rais wa TFF Karia umefanya Kosa Kubwa kuonana na Manara na akifungiwa tegemea kuona Unafiki wake na atakavyokuchafua na TFF yako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae.

Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa hakufanya Jambo lolote Arusha na kwamba ameandaa Jopo la Mawakili ilitosha Kukuonyesha jinsi alivyo Jeuri na Nyodo ila wenye Akili tumekushangaa mno Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kuonana nae.

Sasa Rais wa TFF Wallace Karia jiandae Kuuona Unafiki wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara pale tu Kamati ya Maadili ikimpa Adhabu Kali ambapo nina uhakika kwa kuwa anapenda attention na kutafuta Huruma kwa 'Public' atakachokifanya ni kuitisha 'Press Conference' ambapo atakuchamba mno, atatoa Siri zako na ataichafua TFF yako.

Umeharibu kwa kule Kuonana nae!!!!!
 
Uchafu wa Karia na TFF upo wazi kabisa, wala Manara hana ajenda hizo. Cha kushukuru ni kwamba Jiwe hayupo tena, hivyo uchaguzi ujao utakuwa huru, sio ule wa kukata wagombea wote na kufungia wana football wasijiusishe na uchaguzi wa TFF.
 
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae.

Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa hakufanya Jambo lolote Arusha na kwamba ameandaa Jopo la Mawakili ilitosha Kukuonyesha jinsi alivyo Jeuri na Nyodo ila wenye Akili tumekushangaa mno Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kuonana nae.

Sasa Rais wa TFF Wallace Karia jiandae Kuuona Unafiki wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara pale tu Kamati ya Maadili ikimpa Adhabu Kali ambapo nina uhakika kwa kuwa anapenda attention na kutafuta Huruma kwa 'Public' atakachokifanya ni kuitisha 'Press Conference' ambapo atakuchamba mno, atatoa Siri zako na ataichafua TFF yako.

Umeharibu kwa kule Kuonana nae!!!!!
Wewe unaleta moyo wa kinyarwanda. Visasi havijengi wala si uanamichezo
 
Mkuu Genta unafikiri ni rahisi kwa Karia aliyelambishwa asali na GSM kumchomolea Haji Manara? Na si Karia tu, TFF na Bodi ya Ligi wote wako kwenye wallet ya GSM. Huwezi kuukata mkono unaokulisha.
 
Wewe unaleta moyo wa kinyarwanda. Visasi havijengi wala si uanamichezo
Kwakuwa inamhusu Mtu wenu Haji Manara je, ingemhusu Ahmed Ally wa Simba SC au Tobius Kifaru wa Mtibwa Sugar FC ungesema hivi? Mbona kwa Shaffh Dauda aliyefungiwa kwa Kukomolewa na Visasi hukujitokeza Kukemea hivi kuwa Visasi ni Vibaya? Mnafiki Mkubwa Wewe.
 
Manara watu wameshampuuza sana labda wajinga wajinga wasiojua kupambanua mambo. Wtu waliujua unafki wa manara alipojaribu kumchafua babra na Mo, walivomchunia akahamia kuichafua club yenyewe ya simba kwa tuhuma mbali mbali, So dont worry tanzania imeshamdgarau saaana manara kwani ni chawa asiyefugika.
 
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa 'Kidiplomasia' ila siyo kukubali Kukutana nae.

Kitendo cha Haji Manara Kukaririwa tena akijigamba kabisa kuwa hakufanya Jambo lolote Arusha na kwamba ameandaa Jopo la Mawakili ilitosha Kukuonyesha jinsi alivyo Jeuri na Nyodo ila wenye Akili tumekushangaa mno Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kuonana nae.

Sasa Rais wa TFF Wallace Karia jiandae Kuuona Unafiki wa Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara pale tu Kamati ya Maadili ikimpa Adhabu Kali ambapo nina uhakika kwa kuwa anapenda attention na kutafuta Huruma kwa 'Public' atakachokifanya ni kuitisha 'Press Conference' ambapo atakuchamba mno, atatoa Siri zako na ataichafua TFF yako.

Umeharibu kwa kule Kuonana nae!!!!!
Inaonekana unatabia ta wivu na uchoyo
 
Back
Top Bottom